HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mbona naona pale kwenye page ya matangazo ya psrs walifanya mwezi wa pili?

Au mliitwa kwa wakati tofauti kutokana na kada zenu?

Kama ni hivyo placement yenu itachelewa kidogo mkiitwa muitwe wote kwa pamoja.
Tuvute subra
Yote mema
 
Mbona naona pale kwenye page ya matangazo ya psrs walifanya mwezi wa pili?

Au mliitwa kwa wakati tofauti kutokana na kada zenu?

Kama ni hivyo placement yenu itachelewa kidogo mkiitwa muitwe wote kwa pamoja.
MDA LGA ni treni ndef sana interview zilifanyika kwa mafungu kibao,sielew hyo placement itakuaje[emoji119]
 
Naomba ule utaratibu wa kupata deed poll na je inawezekan mtu akakufuatilia ww ukiwa haupo? Na nin tofaut Yao na affidavit kwenye matumizi hapo utumishi


Nb: Faida kwa wakandwaji wapya humu
 
Wakuu naomba kuuliza let say post ya kazi ilikuwa ikitaka watu wawili alaf ikaja ikatoka placement ya post ile ya kazi ikiwa na watu 6 means wameongeza nafasi je jambo hilo limeshawahi kutokea?
Yaaani...ilotokea ni walihtajika wanne wakachukuliwa wawili......
Sasa sjui hao wawili ndo watapatikanaje tena🥸🥸🥸
 
Naomba ule utaratibu wa kupata deed poll na je inawezekan mtu akakufuatilia ww ukiwa haupo? Na nin tofaut Yao na affidavit kwenye matumizi hapo utumishi


Nb: Faida kwa wakandwaji wapya humu
Hello
Kwanza ahsante kaka Mwifwa kwa kunishtua nitoe muongozo[emoji3]
Tuanze na Affidavit
Affidavit kwa kiswahili ni kiapo, unaapa kuwa hayo majina yote uliyonayo ata kama yamekosewa yatambulike tu kuwa ni yako
Sasa kwa affidavit ni document official but shida ake ni kuwa, kila sehem utakapopata shida ya majina utahitaji kuwa affidavit ya sehemu husika yaan inayoaddress sehemu husika.
Deed poll ni document more genuine, hiyo unakataa majina yako yote unayohisi huyataki, yamekosewa etc halafu unakubali jina moja, au kama unataka badilisha jina kabisa, deed poll inaandaliwa na mwanasheria halafu ikishaandaliwa inaenda kusajiliwa Wizara ya Ardhi.
Kama una muda tengeneza deed poll ni more genuine, kwa utumishi kuna wanaokubali affidavit na kuna wanaoforce uwe na deedpoll, but kisheria deed poll na affidavit zote ni documents sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…