Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 3,243
- 4,502
Umeambiwa baadhi tu ya taasisi mkuu asa zile ambazo mishahara yao haitgemei hazina mfano Tanroads,Rea,Tanesco n.k halmashauri na taasisi zote zinazotegemea mishahara hazina zitaendelea na utaratibu wa PSRSKwahiyo jengo jipya linalojengwa kwa ajili ya kukanda watahiniwa wanachezea kodi za wananchi.......kwahiyo serikali kuu kazi yao itakuwa ni nn?....maana sasa hivi vibali vyote vya kazi vinapitia huko tofauti na kipindi cha utawala wa jakaya
Tanesco[emoji2955][emoji2955]....labda ulikuwa unamaanisha taasisi ambazo zipo chini ya wizara mfano:tanroad,vyuo,Tanapa etcUmeambiwa baadhi tu ya taasisi mkuu asa zile ambazo mishahara yao haitgemei hazina mfano Tanroads,Rea,Tanesco n.k halmashauri na taasisi zote zinazotegemea mishahara hazina zitaendelea na utaratibu wa PSRS
Hivi ukubwa wa taasisi unapimwa na nini?Ukwel ni kwamba Taasisi nying kubwa kubwa kama TRA,EWURA,BOT,TANAPA,TCRA mishahara yao haitegemei hazina daah kwa huu mfumo hizo taasisi zikipewa ruhusa kuajiri zenyew nepotism itarud itakuw ngm sana kupata asali maeneo hayo bila connection
YesTanesco[emoji2955][emoji2955]....labda ulikuwa unamaanisha taasisi ambazo zipo chini ya wizara mfano:tanroad,vyuo,Tanapa etc
Ukwel ni kwamba Taasisi nying kubwa kubwa kama TRA,EWURA,BOT,TANAPA,TCRA mishahara yao haitegemei hazina daah kwa huu mfumo hizo taasisi zikipewa ruhusa kuajiri zenyew nepotism itarud itakuw ngm sana kupata asali maeneo hayo bila connection
Tutaisoma nambaUkwel ni kwamba Taasisi nying kubwa kubwa kama TRA,EWURA,BOT,TANAPA,TCRA mishahara yao haitegemei hazina daah kwa huu mfumo hizo taasisi zikipewa ruhusa kuajiri zenyew nepotism itarud itakuw ngm sana kupata asali maeneo hayo bila connection
Hizi taasisi zipo chini ya wizara gani...mfano ;Tan road (wizari ya ujezi)ukiangalia wafanyakazi wake wote wakuu wa idara wametoka wizarani cjui huko kupojeUkwel ni kwamba Taasisi nying kubwa kubwa kama TRA,EWURA,BOT,TANAPA,TCRA mishahara yao haitegemei hazina daah kwa huu mfumo hizo taasisi zikipewa ruhusa kuajiri zenyew nepotism itarud itakuw ngm sana kupata asali maeneo hayo bila connection
Iliwahi kwisha hiyo??BABA KANITUMA. , INARUDI WAZEE
Ndiyo mzeeIliwahi kwisha hiyo??
Noma sana.BABA KANITUMA. , INARUDI WAZEE
Hapo Utumishi ndo wanapokosea....ndo maana taasisi zinataka zijiendeshe zenyewe maana wanaweka usili ambao taasisi wanahisiHao 11 wanapatikanaje? Au hizo nafasi watatangaza Tena? Hapa huwa ndo siwaelewi wale jamaa.
Tufumbe macho tuzibe masikioNdiyo mzee
Tufumbe macho tuzibe masikio tuombe Mungu kisha tuzidishe mapambano wandugu hata Obama alikuwa raisi wa USA and he is pure Blackman product from KenyaNdiyo mzee
Oral mmeenda 48 wanaohitajika 50,hapa mlitakiwa mchukuliwe wote ukichukulia kua practical wamefaulu, nawaonea huruma sana waliokosa nafasi. Hii inauma kuliko zote ninazozijua kwenye usailiWanaohitaji Developer/programmer 50 TRA
Tumefanya 836 written
Wamepunguzwa 687
Tumebaki 149.
Tumefanya practical 149,
Tumefaulu 48.
Wamepunguzwa 101,
Tunaenda oral interview 48
Wamepunguzwa 9,
Tumebaki 39.
mkuu tatizo sio ela za mikando i hope we ushashika salary unajua inavokata though tumeajiriwa ila gari, watoto na vingine unajikuta ela imekata ukimwambia mtu haamin
Mimi huwa naangalia majina ya wadau ninaowafahamu.Duh mtu anasomaje majina yote hayo mpaka aone jina lako au anakua anakutafuta? Mimi ua naangalia kada niliyoomba na aina ya kaz zilizoitwa kazini maana majina ni mengi
paragraph ya mwisho imekaa kiufundi sana.Wapo wachache watakao ona ni jambo jema ila ni moja kati ya maamuzi ya hovyo na yenye maumivu kwa wengi,
Japo wengi wana omba kazi utumishi na kukosa ila wengi bado wanaimani kubwa na utumishi kwenye hizo taasisi zote zimejaa ukititimba na ubinafsi mkubwa ikiwa ni kweli basi vijana wengi wa kitanzania wasaka mrija wa asali watabaki na majonzi makubw amioyoni mwao na kukata tamaaa.
“Ukiona wenye akili wamekubaliana jambo la kijinga basi tambua wote wako na malisahi nalo”
kweliUkwel ni kwamba Taasisi nying kubwa kubwa kama TRA,EWURA,BOT,TANAPA,TCRA mishahara yao haitegemei hazina daah kwa huu mfumo hizo taasisi zikipewa ruhusa kuajiri zenyew nepotism itarud itakuw ngm sana kupata asali maeneo hayo bila connection