Kama haitegemei hazini kulikuwa kunasababu gani kumtoa mkuu wa hazina kumuweka mwingine....Ukwel ni kwamba Taasisi nying kubwa kubwa kama TRA,EWURA,BOT,TANAPA,TCRA mishahara yao haitegemei hazina daah kwa huu mfumo hizo taasisi zikipewa ruhusa kuajiri zenyew nepotism itarud itakuw ngm sana kupata asali maeneo hayo bila connection
Hapo Utumishi ndo wanapokosea....ndo maana taasisi zinataka zijiendeshe zenyewe maana wanaweka usili ambao taasisi wanahisi
1.Ni pesa inatembea kupata kazi
2.wanaona asali wanailamba vitengo vya utumishi kwa kupitia interview
3.Kucheleweshwa kwa mchakato wa ajira kwa mda mrefu alafu hakuna sababu yoyote
Oral mmeenda 48 wanaohitajika 50,hapa mlitakiwa mchukuliwe wote ukichukulia kua practical wamefaulu, nawaonea huruma sana waliokosa nafasi. Hii inauma kuliko zote ninazozijua kwenye usaili
Hapo Utumishi ndo wanapokosea....ndo maana taasisi zinataka zijiendeshe zenyewe maana wanaweka usili ambao taasisi wanahisi
1.Ni pesa inatembea kupata kazi
2.wanaona asali wanailamba vitengo vya utumishi kwa kupitia interview
3.Kucheleweshwa kwa mchakato wa ajira kwa mda mrefu alafu hakuna sababu yoyote
Ngoja zirudi kule kwenye taasisi zao waajiri ndo utaona hayo unayozungumza ipi inafaida...Yani mkuu unalazimisha taasisi ichukue hata kama mtu hajakidhi viwango?? Unajua maana ya readvertisement???
Katika watu wote walioingia oral/practical, wao wameona 39 pekee ndio wamekidhi vigezo. Hizo zilizobaki watatangaza tena au watatumia utaratibu mwingine kuwapata.
Hawa developer ni watu wa practical siyo maneno maneno, wangefeli practical kweli....I feel for themMkuu.
Mtu amefeli oral exam unataka achukuliwe hivyo hivyo?? Sasa interview ni ya nini kama watu wanafeli na wanachukuliwa??
Mkuu, mahitaji ya mwajiri yanazingatiwa na hii sio shida ya PSRS
Ulishawai kupewa matokeo yako ya oral toka unafanya Utumishi!!!Unaposema amefeli unauwakika gan hujampa majibu....!!!Na kauli ya mh;mhagama ilikuwa inamantiki sana kuliko hizi ajira zipelekwa huko kwenye taasisiMkuu.
Mtu amefeli oral exam unataka achukuliwe hivyo hivyo?? Sasa interview ni ya nini kama watu wanafeli na wanachukuliwa??
Mkuu, mahitaji ya mwajiri yanazingatiwa na hii sio shida ya PSRS
Lini iliishaga? Hujui hadi leo watu wanaenda Kazini kwa Vimemo?Ndiyo mzee
Hawa developer ni watu wa practical siyo maneno maneno, wangefeli practical kweli....I feel for them
Mkuu;Ulishawai kufanyaga interview za Tanroad!....Yani mkuu unalazimisha taasisi ichukue hata kama mtu hajakidhi viwango?? Unajua maana ya readvertisement???
Katika watu wote walioingia oral/practical, wao wameona 39 pekee ndio wamekidhi vigezo. Hizo zilizobaki watatangaza tena au watatumia utaratibu mwingine kuwapata.
Mkuu;Ulishawai kufanyaga interview za Tanroad!....
Kule anayepata kazi hafanyi mtihani kakaa nyumbani...ila wengine mnaotafuta kazi mnafanya mtihani..mwisho wa siku aliyekaa nyumban kapata kazi...ipi bora!Sijawahi. Nimesoma issues za afya.
Hatari !Kule anayepata kazi hafanyi mtihani kakaa nyumbani...ila wengine mnaotafuta kazi mnafanya mtihani..mwisho wa siku aliyekaa nyumban kapata kazi...ipi bora!
Kwani huko kwenye taasisi huwa watu wanapewa majibu yao ya oral?Ulishawai kupewa matokeo yako ya oral toka unafanya Utumishi!!!Unaposema amefeli unauwakika gan hujampa majibu....!!!Na kauli ya mh;mhagama ilikuwa inamantiki sana kuliko hizi ajira zipelekwa huko kwenye taasisi
[emoji848]wakuu mimi nimekata tamaa na psrs database japo nipo INGO inayonilipa over 2 milion ila serikali napapenda sana ata kwa TGS
wakuu mimi nimekata tamaa na psrs database japo nipo INGO inayonilipa over 2 milion ila serikali napapenda sana ata kwa TGS
Nmescroll hadi chini nkijua ntakuta kuna mtu kakujibu, wizara ya ardhi ndo kuna ofisi ya msajili wa nyaraka, deed poll ni lazima isajiliwe watu wawe aware kuwa umebadilisha jina na taifa kwa ujumla.Samahani lakini, ningependa kujua zaidi hivi Kuna uhusiano gani deadpoll kusajiliwa wizara ya ardhi na isiwe labda RITA ambapo tumezoe wanatoa hati za vizazi na Vifo.
Tuna msubiri Raisi wetu mpenda haki aruhusu TUKwani ishakua official taasisi zitarecruit zenyewe?
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
We jamaa, per dm zimekunigea sana, Acha kuwa potezea Muda wasaka mirija ya asaliKule anayepata kazi hafanyi mtihani kakaa nyumbani...ila wengine mnaotafuta kazi mnafanya mtihani..mwisho wa siku aliyekaa nyumban kapata kazi...ipi bora!