HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mwambie mbunge wako tutoka Burundi na msalimu sana.
Rukweza
 
Psrs rushwa inatembea kama Kawa, Ukifuatilia kwa makini utalingudua Hilo, in very smart way, but you may unclouse their dirt
 
Kwann Rais siku ile aliona kama utumishi kuna shda???
Hadi akasema kuna mlolongo mrefu akasema taasisi kama zinao uwezo znakaendeshe tu michakato ya ajira zenyewe...hapo bado unawaona wanaosema taasisi kama znaweza zifanye mchakato zenyewe ni hamnazo?
 
Oral mmeenda 48 wanaohitajika 50,hapa mlitakiwa mchukuliwe wote ukichukulia kua practical wamefaulu, nawaonea huruma sana waliokosa nafasi. Hii inauma kuliko zote ninazozijua kwenye usaili
Huo ni ukatili mkubwa sana waliowafanyia vijana wa kitanzania. No one is perfect...mtu amepambana written, practical yani kwa mimi hata oral angepata 25% ningembeba mzima mzima. Na ndiyo maana ni ngumu hii nchi kuendelea mtu anayeweza vitendo ni mzuri zaidi wangewapanga tuu.
 

Bahati mbaya you are not the only person in the panel. Maamuzi yanafanyika collectively. Bahati mbaya sana, but unakuta taratibu zinasema lazima ameet vigezo, otherwise, readvertisement.
 
Cha ajabu ukishaanza kuipata unaiona ndogo, unaona walio juu yaku ndo wanafaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
yaan mshahara ulipwe hata million 5 nmeamin hautoshi asee

nlikwepo najitolea bila kulipwa chochote nkasema nikiwa nalipwa hata laki 5 basi nmeula

nikaanza kuandikiwa posho laki 7 majukum hayo mlima ikawa ndogo
 
Kijana amesoma miaka 3,4,5 aka graduate vizuri kabisa.
Alafu unakuja kumsumbua kwenye interview za kikuda.

Raisi Samia anairudusha nchi Mahali pake, watu wamekwandwa sana.

Rais kajaga twende
Mmmh,sijui kwa kweli...hapa rushwa za kila aina zitatembea....
 
Hayo maswali yao ya kukariri umention ndio
Bahati mbaya you are not the only person in the panel. Maamuzi yanafanyika collectively. Bahati mbaya sana, but unakuta taratibu zinasema lazima ameet vigezo, otherwise, readvertisement.
Uhukumu hana vigezo?waache roho ngumu wawape vijana kz mtu kapambana wrttn prac kafika oral bado tu hana vigezo? Ujinga
 
Bahati mbaya you are not the only person in the panel. Maamuzi yanafanyika collectively. Bahati mbaya sana, but unakuta taratibu zinasema lazima ameet vigezo, otherwise, readvertisement.
Hii ishu ya readvertisement haijakaa sawa!!!!!
Ishu ni vjana wapate kazi na vjana ndo hao hao...what if ukareadvertise huyohuyo ulomkata akaomba tena na akapata hiyo nafasi...tuseme ndo atakuwa amekuwa mbobevu wa kumudu kazi tulohisi hakuwa na vigezo hapo awali???????
 
Na mara nyingine hizo nafasi hubaki wazi bili kujziwa zikapotezewa mazimaa ilihali vijana wapo waliofaul...unajiuliza ss lengo ni watu wapte kz au wafeli wakose kz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…