HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nimewaza hili wazo lako unaweza pia kuliapply kwenye mambo ya ufaulu wa Chuo?

Mtu afaulu course work, practical, field work halafu kwenye UE akaja akapata sifuri(au asilimia chache) am ambapo average ya ujumla ikawa below pass mark, huyu pia afaulishwe kisa alifaulu mengine nyuma?.

Ili kuondoa mkanganyiko kama huu ndio zikaandaliwa kanuni ili kuongoza kwenye kutoa maamuzi ya mwisho!
 
Hapo ndio tujiulize sasa, halaiki yote hii ya jobless kila mmoja anaweza kuwa na Kaka yake kwenye kila taasisi? Jibu ni hapana. Hiki kitu kinakuwa ni kichomi sana.

Tupanze sauti, tukikatae
 
Nmeandika na kufuta!
Ngoja ninyamaze tu!!!!
 
TCRA 2m!!, faamasiala nini! Ni 3.4m
 
Kikubwa utumishi wajitahidi wanapofanyisha usaili ule wa oral usipite mwezi watu hawajajua hatma yao....vinginevyo malalamiko juu ya hilo yataendelea sana na litaonekana ni tatzo kubwa mno kuliko ilivyo kawaida!!!!
Haiwezekani kuendelea kuwafanya watu wasubiri kama ilvyosasa hadi miezi minne au sita.....
Hadi wanaitisha usaili wahakikishe mambo yashapangwa kuhusu utaratibu wa waajiriwa watarajiwa!!!!
 
HESLB 15%
PSSSF 5%
PAYEE 15%
WCF 2%
NHIF 3%
kama ni mwalimu kuna CWT 3%

NB: Makato ya chini kabisa ni 40% na juu ni 45% sababu walimu wengi huwa kujiunga WCF ni hiari hivyo huwa hawajiungi huko, wanaishia CWT
Nilisoma namna WCF wanavyofanya kazi zao, nikaona kuwa mwajiri ndio mwenye mamlaka ya kulipa hela kwenda WCF na sio kukata mshahara wa kila mtumishi.

NB: Kama siko sahihi naomba kusahihishwa
 
Nilisoma namna WCF wanavyofanya kazi zao, nikaona kuwa mwajiri ndio mwenye mamlaka ya kulipa hela kwenda WCF na sio kukata mshahara wa kila mtumishi.

NB: Kama siko sahihi naomba kusahihishwa
Ndio wcf ni jukumu la mwajiri na ni asilimia 1 tu ndio anayotakiwa kuilipa sio mfanyakazi
 
Yani unapata kazi leo unamvimbia Boss unajua ushatoboaa kumbe Kazini unaingiaa Miezi 6 ijayoo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yani unapata kazi leo unamvimbia Boss unajua ushatoboaa kumbe Kazini unaingiaa Miezi 6 ijayoo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Weee jamaa hadi huku upo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee wa kuila kimasihara

Aiseee kuna na ile unasikilizia utumishi PDF.....
miezi yote hiyo halaf haumo na kazini ushaonesha kadalili ka kwamba ndo unasepa hvyo aiseee kama ni mhindi akagundua umepigwa chini na utumishi nae lazima afanye namna[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…