Watusaidie kutuweka kwenye PDF kwa database au sio??Watusaidie jaman maana kuañza upya tena ni gharama mno na maumivu makali plus pressure
I
Lazimaa akufanyee utoke jashoo[emoji3][emoji3][emoji3]Weee jamaa hadi huku upo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee wa kuila kimasihara
Aiseee kuna na ile unasikilizia utumishi PDF.....
miezi yote hiyo halaf haumo na kazini ushaonesha kadalili ka kwamba ndo unasepa hvyo aiseee kama ni mhindi akagundua umepigwa chini na utumishi nae lazima afanye namna[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ila mpaka mrija wa asali unafunguka....vjana tunapitia mengi tu!Lazimaa akufanyee utoke jashoo[emoji3][emoji3][emoji3]
Ramli tu hizo mkuu jamaa hawatbirikiWazee kuna mkeka mwengine soon utapandishwa sehemu ya placement pale, kama sio leo ni kesho.
Kwa sababu mkeka mmoja umeshafutwa pale nahisi wa NiRC na ASA.
Tutarajie mkeka mwengine soon.
Watabiri je ni mkeka gani huo utakaoshushwa?
Nahisi keka hili litakuwa limeshiba sana.💥💥💥
Mzee hii uhakika kwa experience za wadau humu tena wabobezi katika maswala ya placementRamli tu hizo mkuu jamaa hawatbiriki
Hili suala la kusbria muda mrefu linaumiz sn vjna bs tu...tok unapply kz mpk unaitwa kzn almost mwaka na hiyo ni kz moja ss si tutazeeka aisee tunahangaikia kz t za utumishiWazee kuna mkeka mwengine soon utapandishwa sehemu ya placement pale, kama sio leo ni kesho.
Kwa sababu mkeka mmoja umeshafutwa pale nahisi wa NiRC na ASA.
Tutarajie mkeka mwengine soon.
Watabiri je ni mkeka gani huo utakaoshushwa?
Nahisi keka hili litakuwa limeshiba sana.💥💥💥
Hamna lolote wapiga ramli tu kuondoka kwa mkeka wa placemnt wala hakumaanishi mwingine ndo unakuja kwan pale wanaeza kuweka hata mikeka 10 na ikakaa muda mrefu wanaoutakaMzee hii uhakika kwa experience za wadau humu tena wabobezi katika maswala ya placement
Mzee pale kwenye placement inakaa mikeka saba, sehemu ya interview inakaa mikeka saba, na sehemu ya advertisment inakaa mikeka 10.Hamna lolote wapiga ramli tu kuondoka kwa mkeka wa placemnt wala hakumaanishi mwingine ndo unakuja kwan pale wanaeza kuweka hata mikeka 10 na ikakaa muda mrefu wanaoutaka
Huo ni uongoMzee pale kwenye placement inakaa mikeka saba, sehemu ya interview inakaa mikeka saba, na sehemu ya advertisment inakaa mikeka 10.
Turudi kwenye placement kuondoka mkeka mmoja lazima mwengine upandishwe.
Sawa mkuu siko kubishana.Huo ni uongo
Na hiki ndo kilio kikubwa kwa vjanaHili suala la kusbria muda mrefu linaumiz sn vjna bs tu...tok unapply kz mpk unaitwa kzn almost mwaka na hiyo ni kz moja ss si tutazeeka aisee tunahangaikia kz t za utumishi
Mmh kweli watu mnafanya uchunguzii. Hata sikulijua hiliMzee pale kwenye placement inakaa mikeka saba, sehemu ya interview inakaa mikeka saba, na sehemu ya advertisment inakaa mikeka 10.
Turudi kwenye placement kuondoka mkeka mmoja lazima mwengine upandishwe.
yeaah makato huwa ni mengi upo sahihiHESLB 15%
PSSSF 5%
PAYEE 15%
WCF 2%
NHIF 3%
kama ni mwalimu kuna CWT 3%
NB: Makato ya chini kabisa ni 40% na juu ni 45% sababu walimu wengi huwa kujiunga WCF ni hiari hivyo huwa hawajiungi huko, wanaishia CWT
Sasa TGS D si ndo kubak na nauli tu[emoji23][emoji23][emoji23],ghaiiii shida kila pahalayeaah makato huwa ni mengi upo sahihi
ila kwenye Pay As You Earn (PAYE) % yake inategemeana na mshahara wa mtu mfano walimu sababu mishahara yao ni midogo huwa wanakatwa chini ya 10% nadhan kwa sasa wanakatwa kama 9% au 8% na huwa inaendelea kushuka kama sikosei
kuna mchizi namfahamu anapokea 2.5m PAYE anakatwa laki 5 na vi shilingi kadhaa kwaio hapo tiari inakuwa ni zaid ya hiyo 15% uliyoiweka
hizo makato zingine zipo sahihi
kuna mdau humu aliwahi kusema ukiwa na mshahara mdogo na ukachukua na mkopo mwisho wa siku unabaki na nauli ya kwenda kazini na kurudi nilicheka sana siku hiyo😆😆😆😆Sasa TGS D si ndo kubak na nauli tu[emoji23][emoji23][emoji23],ghaiiii shida kila pahala
Kwan hii ni sh ngap??Sasa TGS D si ndo kubak na nauli tu[emoji23][emoji23][emoji23],ghaiiii shida kila pahala
Mungu asimame likawe la data base....Wazee kuna mkeka mwengine soon utapandishwa sehemu ya placement pale, kama sio leo ni kesho.
Kwa sababu mkeka mmoja umeshafutwa pale nahisi wa NiRC na ASA.
Tutarajie mkeka mwengine soon.
Watabiri je ni mkeka gani huo utakaoshushwa?
Nahisi keka hili litakuwa limeshiba sana.[emoji95][emoji95][emoji95]
Ahsante kwa kukazia mkuuNdio wcf ni jukumu la mwajiri na ni asilimia 1 tu ndio anayotakiwa kuilipa sio mfanyakazi
Ni kwel aseekuna mdau humu aliwahi kusema ukiwa na mshahara mdogo na ukachukua na mkopo mwisho wa siku unabaki na nauli ya kwenda kazini na kurudi nilicheka sana siku hiyo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]