You must be my comrade!!! My fellow vet, ni kweli eehπππTo be honest, huu uzi umenipa peace of mind kipindi ninamawazo. Nilikuwa nawaza nilichojibu kwenye oral ya tarehe 28.11.2022 kwenye taasisi x.tulikuwa watu 7 na nafasi zilikiwa 2. Mpaka sasa akili yangu imejiandaa kwa lolote lile kikipata,heri. Nikikosa pia sawa, majibu yote naimani ni mipango ya mungu
Alieanzisha huu huzi, asante sana na mungu akubariki, maana wadau wanatupa moyo sana.
# GIVING UP IS NOT AN OPTION.
Taasisi zina mengi ya siri zisiruhusiwe kuajiri bora iboreshwe PSRS hata hizi ajira za majeshi ikiwezekana zipite huko psrs walau kidogo ukiritimba mdogoHapo ndio tujiulize sasa, halaiki yote hii ya jobless kila mmoja anaweza kuwa na Kaka yake kwenye kila taasisi? Jibu ni hapana. Hiki kitu kinakuwa ni kichomi sana.
Tupanze sauti, tukikatae
Dadeki nikiona comment za namna hii roho inaniuma natoneshwa kidonda cha kuikosa asali ya tra
Hahahaha ila mkuu bora ata wizarani wanapata safari sana hivyo asali ya perdiem wanainyonya huko halmashauri ni shimoniKwa halmashauri na wizarani huu ni mshahara wa afisa mwenye degree aliyefanya kazi miaka 5.
Dadeki nikiona comment za namna hii roho inaniuma natoneshwa kidonda cha kuikosa asali ya tra
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Naelewa ict technicianDadeki nikiona comment za namna hii roho inaniuma natoneshwa kidonda cha kuikosa asali ya tra
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mshahara wa mwalimu ni mdogo ukilinganisha na nani?yeaah makato huwa ni mengi upo sahihi
ila kwenye Pay As You Earn (PAYE) % yake inategemeana na mshahara wa mtu mfano walimu sababu mishahara yao ni midogo huwa wanakatwa chini ya 10% nadhan kwa sasa wanakatwa kama 9% au 8% na huwa inaendelea kushuka kama sikosei
kuna mchizi namfahamu anapokea 2.5m PAYE anakatwa laki 5 na vi shilingi kadhaa kwaio hapo tiari inakuwa ni zaid ya hiyo 15% uliyoiweka
hizo makato zingine zipo sahihi
Nenda google search "payee calculator" af fuata maelekezo utaona kodi yakoEbu nitoe tongo tongo kwenye Calculation ya PAYE, inakokotolewaje?
Hahaahaha hakika connection huwa tamuMkuu taasisi kuajiri wenyewe ni shida.
2015 niliomba kazi taasisi X, majina yalipotoka sipo. Nikampigia simu kaka yangu aliyeniambia niombe ile nafasi. Akaniamba ngoja amcheki Classmate wΓ ke anaefanya kazi kwenye ile taasisi X makao makuu. Baada ya muda akanipigia akaniambia siku ya interview nibebe vyeti niende hata kama jina halipo. Nilipoenda Siku ya interview nakuta jina langu la mwisho limeandikwa kwa pen majina mengine yote yako typed. Nikaingia nikapiga paper.
alafu kuna mtu anapinga utumishi wasiwapangia watu waliopata passmark oral (data base)kwenye placement...Nchi ngumu hiiHahaahaha hakika connection huwa tamu
Na utumishi Kuna mengi ya sirini piaTaasisi zina mengi ya siri zisiruhusiwe kuajiri bora iboreshwe PSRS hata hizi ajira za majeshi ikiwezekana zipite huko psrs walau kidogo ukiritimba mdogo
Ndio wcf ni jukumu la mwajiri na ni asilimia 1 tu ndio anayotakiwa kuilipa sio mfanyakazi
Kwa hiyo mwamba na 3% yake katulisha tango pori?Ndio wcf ni jukumu la mwajiri na ni asilimia 1 tu ndio anayotakiwa kuilipa sio mfanyakazi
Acha kupotosha uma.payee ni 9%kama unakumbuka Mama alipunguza hadi single digit.NSSF sijui PSSF ni 10%ya mshahara unaobaki baada ya kukatwa payee.nhif ni 3 na WCF ni 3.HESLB 15%
PSSSF 5%
PAYEE 15%
WCF 2%
NHIF 3%
kama ni mwalimu kuna CWT 3%
NB: Makato ya chini kabisa ni 40% na juu ni 45% sababu walimu wengi huwa kujiunga WCF ni hiari hivyo huwa hawajiungi huko, wanaishia CWT
Na hiyo Wcf nadhan pia ilipunguzwa na huwa inalipwa kwa muajili wako kulingana na mshahara wako sio kwakoAcha kupotosha uma.payee ni 9%kama unakumbuka Mama alipunguza hadi single digit.NSSF sijui PSSF ni 10%ya mshahara unaobaki baada ya kukatwa payee.nhif ni 3 na WCF ni 3.
Na utumishi Kuna mengi ya sirini pia
Rushwa za kutoa majibu.
Bureaucracy isiyo kuwa na kikomo wala kuisha.
Matatizo ya psrs hayaja tatuliwa HAta moja ,zida siko palepale Yan π
Ila mkuu utumishi kuna mtu anapenya bila michakato ya usaili akapangiwa kazi?.Na utumishi Kuna mengi ya sirini pia
Rushwa za kutoa majibu.
Bureaucracy isiyo kuwa na kikomo wala kuisha.
Matatizo ya psrs hayaja tatuliwa HAta moja ,zida siko palepale Yan π
nimebeba ujumbe nkimansha kwa sekta zote zinazofanana mishahara mfano hizo TGS DMshahara wa mwalimu ni mdogo ukilinganisha na nani?
Mkianza kazi halmashauri/wizarani/taasisi zote zenye scale ya TGS kwa fani zote za degree ya miaka 3 zisizo za science mwalimu anawazidi mshahara.
Mfano:
1. Afisa hesabu, mchumi, HR-TGS D=710000
2. Mwalimu TGTS D-716000
Anawazidi kwa elfu 6.
πππ kama ni kweli wanachoongea hapa wadau utajikuta unabaki laki 4+ maana hayo makato si ya kitotoππ ndo maana Mr.tutor anaoambana atoke huko kwenye TGSSasa TGS D si ndo kubak na nauli tu[emoji23][emoji23][emoji23],ghaiiii shida kila pahala
π€£π€£π€£π€£πππ kama ni kweli wanachoongea hapa wadau utajikuta unabaki laki 4+ maana hayo makato si ya kitotoππ ndo maana Mr.tutor anaoambana atoke huko kwenye TGS
Kama paye ni 9% basi TRA kutakuwa na asali ya TaboraππππAcha kupotosha uma.payee ni 9%kama unakumbuka Mama alipunguza hadi single digit.NSSF sijui PSSF ni 10%ya mshahara unaobaki baada ya kukatwa payee.nhif ni 3 na WCF ni 3.
PAYE hesabu yake ni cumulative Mzee mwenzangu.Acha kupotosha uma.payee ni 9%kama unakumbuka Mama alipunguza hadi single digit.NSSF sijui PSSF ni 10%ya mshahara unaobaki baada ya kukatwa payee.nhif ni 3 na WCF ni 3.