HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kama paye ni 9% basi TRA kutakuwa na asali ya TaboraπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
😁😁😁😁 mm nafikiri hii unakatwa kulingana na mshahara wako
Haiwezekani mtu mwenye 2.3m akatwe sawa na mtu wenye laki 7,ikiwa hivyo wakata kodi wataenda motoni tena watachomwa kwa moto wa gesi
 
Walimu wa science wanaanza na TGTS D3 wapo kwenye 805,000/=
 
Hili suala la kusbria muda mrefu linaumiz sn vjna bs tu...tok unapply kz mpk unaitwa kzn almost mwaka na hiyo ni kz moja ss si tutazeeka aisee tunahangaikia kz t za utumishi
Ndo hvyo Mkuu, psrs wanafanya mtu akiulizwa anafanya Kazi Gani, ajibu anafanya Kazi ya kutafuta Kazi,. Mana kutafuta Kazi kupitia psrs ni Kazi tosha!! Unaweza malizia hadi mwaka na zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…