Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,317
- 7,808
555,000/= kwa ambae alikua na heselb na 671,000/= ambae hakua na heselbNi ya kweli hii?
Ata hviyo kama makato ni hayo wanayosema wadau take home haifiki laki 5,kwa vyovyote vile utachukua laki 4+
Tgts D sawa ni 776k na chenga chenga zakeWalimu wa science wanaanza na TGTS D3 wapo kwenye 805,000/=
Kama ni hivyo sio mbaya angalau mkata wa kula555,000/= kwa ambae alikua na heselb na 671,000/= ambae hakua na heselb
Nimeajiriwa ajira za mwaka Jana Mwezi wa 7 naingia nakutana na ongezeko kwahiyo ni 805kTgts D sawa ni 776k na chenga chenga zake
Walimu wa art wanaanza na TGTS d1 wakati wale wa science wanaanza na TGTS d3Tgts D sawa ni 776k na chenga chenga zake
Hela ndogo tu ukizingatia hakuna means yoyote ile mpaka Mwisho wa Mwezi, labda baada ya miaka 4 tukishapanda daraja tutaanza kuchukua kwenye 850k take home (kwa wale wasiokua na heselb)Kama ni hivyo sio mbaya angalau mkata wa kula
Mwalimu wa hesabu yupo kwenye sayansi?Nimeajiriwa ajira za mwaka Jana Mwezi wa 7 naingia nakutana na ongezeko kwahiyo ni 805k
NdioMwalimu wa hesabu yupo kwenye sayansi?
Miaka 4 parefu sana hapo kumbuka hujakopa bank😀😀Hela ndogo tu ukizingatia hakuna means yoyote ile mpaka Mwisho wa Mwezi, labda baada ya miaka 4 tukishapanda daraja tutaanza kuchukua kwenye 850k take home (kwa wale wasiokua na heselb)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]DaaahMiaka 4 parefu sana hapo kumbuka hujakopa bank[emoji3][emoji3]
Kukopa sio lazima ni utashi wa mtu tu, mfano Mimi Kila mwezi bank wananikata 300k Kama akiba tokea nilipoanza ajira, Niko nafanya mchakato wa kuondoka huku poroni after 3 years nadhani nitakua na 10,800,000 ambayo sijakopa kwa kuanzia harakati sio mbaya.Miaka 4 parefu sana hapo kumbuka hujakopa bank😀😀
Ukikopea laki 2 utabaki na laki 3😁😁[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daaah
Sasa mkuu kwa makto hayo si una take home ya laki na nusu?Kukopa sio lazima ni utashi wa mtu tu, mfano Mimi Kila mwezi bank wananikata 300k Kama akiba tokea nilipoanza ajira, Niko nafanya mchakato wa kuondoka huku poroni after 3 years nadhani nitakua na 10,800,000 ambayo sijakopa kwa kuanzia harakati sio mbaya.
Kukopa sio lazima ni utashi wa mtu tu, mfano Mimi Kila mwezi bank wananikata 300k Kama akiba tokea nilipoanza ajira, Niko nafanya mchakato wa kuondoka huku poroni after 3 years nadhani nitakua na 10,800,000 ambayo sijakopa kwa kuanzia harakati sio mbaya.
Unafundisha masomo yapi ya sayansi mkuu?Kukopa sio lazima ni utashi wa mtu tu, mfano Mimi Kila mwezi bank wananikata 300k Kama akiba tokea nilipoanza ajira, Niko nafanya mchakato wa kuondoka huku poroni after 3 years nadhani nitakua na 10,800,000 ambayo sijakopa kwa kuanzia harakati sio mbaya.
Physics nimemaliza 2021, 2022 nikaletwa porini hukuUnafundisha masomo yapi ya sayansi mkuu?
Psrs ni jipu uchunguNdo hvyo Mkuu, psrs wanafanya mtu akiulizwa anafanya Kazi Gani, ajibu anafanya Kazi ya kutafuta Kazi,. Mana kutafuta Kazi kupitia psrs ni Kazi tosha!! Unaweza malizia hadi mwaka na zaidi
Physics nimemaliza 2021, 2022 nikaletwa porini huku
Hongera sana yaani hujasota kabisa kitaa ndp raha ya masono ya sayansiPhysics nimemaliza 2021, 2022 nikaletwa porini huku
Mimi chuo nilichaguliwa computer and software engineering huko ndio pazuri na Kuna Hela, but kutokana na kuzaliwa familia maskini nikaamua kwenda EducationHongera sana yaani hujasota kabisa kitaa ndp raha ya masono ya sayansi
Ulifanya option nzuri kwa maana uliangalia nature ya familia uliyotokaMimi chuo nilichaguliwa computer and software engineering huko ndio pazuri na Kuna Hela, but kutokana na kuzaliwa familia maskini nikaamua kwenda Education
Ujachelewa kaka, mambo yakikaa poa omba ruhusa nenda kasomeMimi chuo nilichaguliwa computer and software engineering huko ndio pazuri na Kuna Hela, but kutokana na kuzaliwa familia maskini nikaamua kwenda Education