Polen sana mwamba, usijali mambo yatakaa sawa tuu soon.Dadeki nikiona comment za namna hii roho inaniuma natoneshwa kidonda cha kuikosa asali ya tra
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hapana nachukua 671k, nakaa nyumba ya Shule wakikata 300k nabakiza 371 ya kuzurura porini hukuSasa mkuu kwa makto hayo si una take home ya laki na nusu?
Ingekua wewe ungeenda kusoma fani gani mkuu tayari nikiwa na bachelor?..ningekua na dip ningechagua bachelor yoyote mfano account, IT n.kUjachelewa kaka, mambo yakikaa poa omba ruhusa nenda kasome
Hyo 671k ni baada ya makato yote ya HESLB....NSSF....Bima n.k??Hapana nachukua 671k, nakaa nyumba ya Shule wakikata 300k nabakiza 371 ya kuzurura porini huku
Unajua kama ningekua na diploma ndio ingekua rahisi, maana nasoma bachelor ya kitu kingine then halmashauri wanafanya categorizations nadhani wanakuhamisha idara nyingine, mfano Niko na bachelor tayari nikienda kusoma eg law, nikirudi hata kama nikibaki halmashauri nitaanza na mshahara wa TGS D ambao nilianza nao miaka nyuma.Ulifanya option nzuri kwa maana uliangalia nature ya familia uliyotoka
Hilo la fani unayotaka unaweza kupambanis sasa kwakua upo kwenye mfumo wa ajira pia endelea kutupia maombi utumishi utapata penye unafuu zaidi
Kuna jamaa namfahamu nae alisoma education ili apate ajira tu lakini ndoto yake ni IT baada ya kuingia kwenye ajira kasoma diploma ya IT miaka 2 kiutumikia field anayo penda huo ni mfano tu
Ukipambana inawezekana
Ndio mzeeHyo 671k ni baada ya makato yote ya HESLB....NSSF....Bima n.k??
Hyo 671k ni baada ya makato yote ya HESLB....NSSF....Bima n.k??
Sijajua pia, mfano nikienda kusoma IT, computer science je naweza omba kazi huko utumishi wakati nimeshaajiriwa huku local government?..maana wanasema Kuna mfumo wa malipo unaitwa Lawson, ukishaajiriwa ni ngumu kuomba ajira idara nyingine, unaweza pata ndio Lakini mfumo ukakukataa sijajua ukweli wa Ili.Ulifanya option nzuri kwa maana uliangalia nature ya familia uliyotoka
Hilo la fani unayotaka unaweza kupambanis sasa kwakua upo kwenye mfumo wa ajira pia endelea kutupia maombi utumishi utapata penye unafuu zaidi
Kuna jamaa namfahamu nae alisoma education ili apate ajira tu lakini ndoto yake ni IT baada ya kuingia kwenye ajira kasoma diploma ya IT miaka 2 kiutumikia field anayo penda huo ni mfano tu
Ukipambana inawezekana
Sawa mkuuNenda google search "payee calculator" af fuata maelekezo utaona kodi yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwahi kuonesha mabishano humu mpaka useme nabishana kila kitu??Usibishe Kila kitu, bisha Ukiwa na data na uhakika
Ungekua na data usingesema kama wote wanaanza na scale moja, Lakini nadhani umepata elimu mpyaNiliwahi kuonesha mabishano humu mpaka useme nabishana kila kitu??
Nina taaluma ya Afya mkuuMkuu Naot unafanya kama IT?
Utaishi maisha ya nyoka kula unga mkavu kwa miaka yote 3. Uombe Mungu hiyo biashara utakayoianzisha kwa akiba yako ya miaka 3 iende vizuri ila ikifa ndio mwanzo wa umasikini wako. Au utasave tena miaka 3 mingine?Kukopa sio lazima ni utashi wa mtu tu, mfano Mimi Kila mwezi bank wananikata 300k Kama akiba tokea nilipoanza ajira, Niko nafanya mchakato wa kuondoka huku poroni after 3 years nadhani nitakua na 10,800,000 ambayo sijakopa kwa kuanzia harakati sio mbaya.
Inalambwa sana huko, wanakulaga hadi Lunch bure[emoji3][emoji3]TMDA wanakula parefu Kuna mmoja nampata Yuko huko asali anayolamba famchezo [emoji28]
Ni huzuni kwa kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama ni kweli wanachoongea hapa wadau utajikuta unabaki laki 4+ maana hayo makato si ya kitoto[emoji23][emoji23] ndo maana Mr.tutor anaoambana atoke huko kwenye TGS
Ata TBS kuna lunch ya bure.....wadau nkipata TMDA au basi.....🤣Inalambwa sana huko, wanakulaga hadi Lunch bure[emoji3][emoji3]
Sioni kama biashara itakufa unajua kwanini haitokufa?...baada ya hiyo miaka 3 ambayo nitakua nimefungua biashara sitogusa chochote humo kwenye biashara kwa mahitaji binafsi (ushauri wa mzee wangu)...na salary inakua full so nitatumia salary kuendesha maisha na biashara ikijiendesha yenyewe.Utaishi maisha ya nyoka kula unga mkavu kwa miaka yote 3. Uombe Mungu hiyo biashara utakayoianzisha kwa akiba yako ya miaka 3 iende vizuri ila ikifa ndio mwanzo wa umasikini wako. Au utasave tena miaka 3 mingine?
Hahaaa
Yes hapa niliwahi fanyia research yang hapo! Yaaan nilifanyia hapo bure....vifaa hawakunitoza hata sentiInalambwa sana huko, wanakulaga hadi Lunch bure[emoji3][emoji3]
Mhhhhh...nmekaa nao for almost 2 weeks sjaona hii ktu ya msosi wa bure mchana!Ata TBS kuna lunch ya bure.....wadau nkipata TMDA au basi.....[emoji1787]
Mmmh mbona hapa ni 765,000Tgts D sawa ni 776k na chenga chenga zake