Mhhhhhh....si umesikia atakuwa na 10M na ushehe baada ya miaka mitatuKwa Hali hii Kuna kununua SUBARU FORESTER kweli..!![emoji848][emoji848][emoji848]
Ila hongera maana uhakika wa kula unao huko Maporini, huwezi kung'oa Mihogo ya watu[emoji2]
Hahahaha ni kweli mkuu, ualimu ni ndoto kuishi maisha unayoyataka wewe mkuu ndio maana napigana niondoke hapa nilipo nirudi sehemu ambayo najua nitafanya michongo mpaka ikubali.Kwa Hali hii Kuna kununua SUBARU FORESTER kweli..!!🤔🤔🤔
Ila hongera maana uhakika wa kula unao huko Maporini, huwezi kung'oa Mihogo ya watu😃
Kuna watu wanakula mema ya nchi aiseeYes hapa niliwahi fanyia research yang hapo! Yaaan nilifanyia hapo bure....vifaa hawakunitoza hata senti
Na msosi mchana nilikuwa nakula na staff[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa wiki tatu..
Na mashine nlokuwa natumia ilikuwa inalala on inakausha samples...aiseeee Mungu awabless hawa jamaaa....
Kuna kitu nilitaka kusema na kuleta uthibitisho labisa sema nkaona isiwe kesi nkawa mpole[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mmmh mbona hapa ni 765,000View attachment 2547441
All the best bro Ila hii yote ni mipango na usijari kuoa kwanza utakuja hapa kutuuliza benki yenye riba nafuu ni ipiSioni kama biashara itakufa unajua kwanini haitokufa?...baada ya hiyo miaka 3 ambayo nitakua nimefungua biashara sitogusa chochote humo kwenye biashara kwa mahitaji binafsi (ushauri wa mzee wangu)...na salary inakua full so nitatumia salary kuendesha maisha na biashara ikijiendesha yenyewe....Lakini pia biashara kufa inawezekana but Mimi sioni ikitokea Io kitu.
Hapo walimu wa science wanaanza na D3...art wanaanza na D1Mmmh mbona hapa ni 765,000View attachment 2547441
Nachojua wenye digrii walimu walkuwa wanaanza na 710k....then maza alivyoongeza ndo ikapanda.....Mmmh mbona hapa ni 765,000View attachment 2547441
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa Hali hii Kuna kununua SUBARU FORESTER kweli..!![emoji848][emoji848][emoji848]
Ila hongera maana uhakika wa kula unao huko Maporini, huwezi kung'oa Mihogo ya watu[emoji2]
Kuajiriwa sio ndoto zangu ni umaskini tu, Ili ni Chaka la kupatia mtaji, wanaokula maisha na wana-enjoy mishahara Yao ni hao watu wa TRA, TPDC, TRA n.kMhhhhhh....si umesikia atakuwa na 10M na ushehe baada ya miaka mitatu
Ataizungusha hyo na mwishowe anunue hadi Harrier
Hahaha mkuu, nimeoa Niko mwaka wa pili na mtoto tayari.All the best bro Ila hii yote ni mipango na usijari kuoa kwanza utakuja hapa kutuuliza benki yenye riba nafuu ni ipi
Yap, walikua wanapewa 716k zamani wa Sasa wa art nadhani ni 770k Sina hakika , nadhani muongozo mpya ulianza kutekelezwa mwaka 2021, ya kuwapromote walimu wa science kwa kuana na d3Nachojua wenye digrii walimu walkuwa wanaanza na 710k....then maza alivyoongeza ndo ikapanda.....
Hii ya kusema arts wanalipwa tofauti na sayansi nmeisikia leo
Mpende sana mkeo mkuu na bila shaka atakuwa wa kijijini. Kwa take home ya laki 3.7 anaendelea kukuvumilia kwa miaka zaidi ya 3.Hahaha mkuu, nimeoa Niko mwaka wa pili na mtoto tayari.
Hawa ndio wanaokula maisha, Bado safari, seminar na kuiba Hawa mashahara wa Mwalimu anaupata kwa siku moja tu.TRA Gross salary 2,500,000/=
PAYE 578,000/=
UKITOA PAYE
2,500,000 - 578,000 = 1,922,000/=
Fanya kweli uondoke hapo,, tukutane Serikali kuu sio Huko LGA..Hahahaha ni kweli mkuu, ualimu ni ndoto kuishi maisha unayoyataka wewe mkuu ndio maana napigana niondoke hapa nilipo nirudi sehemu ambayo najua nitafanya michongo mpaka ikubali.
Yeah ndio hivyo, Lakini naona future yangu ikiwa bright kwa miaka yangu 24, nawaza nikifika 30 nitakua wapi? Kaka angu mkubwa kapata TRA mwaka Jana Lakini ni baada ya kumaliza chuo 2011 nikiwa darasa la saba na kudumu mtaani miaka 12Mpende sana mkeo mkuu na bila shaka atakuwa wa kijijini. Kwa take home ya laki 3.7 anaendelea kukuvumilia kwa miaka zaidi ya 3.
Ndio inavyotakiwa mkuuFanya kweli uondoke hapo,, tukutane Serikali kuu sio Huko LGA..
Mwanamume ni kupambana naamini kuwa utakaza ili upande Green Pasture yakueleweka
Aiseeee Acha tuvumilie tu[emoji23][emoji23]Inaweza fika mana bogi letu si mchezo
Dogo una content sanaSioni kama biashara itakufa unajua kwanini haitokufa?...baada ya hiyo miaka 3 ambayo nitakua nimefungua biashara sitogusa chochote humo kwenye biashara kwa mahitaji binafsi (ushauri wa mzee wangu)...na salary inakua full so nitatumia salary kuendesha maisha na biashara ikijiendesha yenyewe....Lakini pia biashara kufa inawezekana but Mimi sioni ikitokea Io kitu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ata TBS kuna lunch ya bure.....wadau nkipata TMDA au basi.....[emoji1787]