Kila laheri chief...Sioni kama biashara itakufa unajua kwanini haitokufa?...baada ya hiyo miaka 3 ambayo nitakua nimefungua biashara sitogusa chochote humo kwenye biashara kwa mahitaji binafsi (ushauri wa mzee wangu)...na salary inakua full so nitatumia salary kuendesha maisha na biashara ikijiendesha yenyewe....Lakini pia biashara kufa inawezekana but Mimi sioni ikitokea Io kitu.
Wanoendaga kufanya field kule, wanablessiwa hadi posho mbali na kula bure[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yes hapa niliwahi fanyia research yang hapo! Yaaan nilifanyia hapo bure....vifaa hawakunitoza hata senti
Na msosi mchana nilikuwa nakula na staff[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa wiki tatu..
Na mashine nlokuwa natumia ilikuwa inalala on inakausha samples...aiseeee Mungu awabless hawa jamaaa....
hahaa afsaKwa Hali hii Kuna kununua SUBARU FORESTER kweli..!!🤔🤔🤔
Ila hongera maana uhakika wa kula unao huko Maporini, huwezi kung'oa Mihogo ya watu😃
Mkuu umsema kazi yako itakuwa ya field kwa sana. Hapo lazima upate perdiem.Kwa Hali hii Kuna kununua SUBARU FORESTER kweli..!![emoji848][emoji848][emoji848]
Ila hongera maana uhakika wa kula unao huko Maporini, huwezi kung'oa Mihogo ya watu[emoji2]
Nimeona jamaa hapo juu katupia screen shot ya Calculation ya Paye ambapo utaicalculate baada ya kutoa PSSSF, NHIF.TRA Gross salary 2,500,000/=
PAYE 578,000/=
UKITOA PAYE
2,500,000 - 578,000 = 1,922,000/=
Mbona sijaiona mdauNimeona jamaa hapo juu katupia screen shot ya Calculation ya Paye ambapo utaicalculate baada ya kutoa PSSSF, NHIF.
Ebu fanya hivyo tuone Paye itakuwa ngapi
Hapo sawa kama imefanyiwa maboresho hyo mwaka 2021Yap, walikua wanapewa 716k zamani wa Sasa wa art nadhani ni 770k Sina hakika , nadhani muongozo mpya ulianza kutekelezwa mwaka 2021, ya kuwapromote walimu wa science kwa kuana na d3
Ndio hivyo mkuu, japo ni hela ya maandazi kwa watu wa sector nyingine.Hapo sawa kama imefanyiwa maboresho hyo mwaka 2021
Maana 2019 niliona ilkuwa hyo ya 716k
Kabisa ndugu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tunapigika sana na ujobless ila ukipata chimbo la Asali original, unayasahau yote magumu uliyowahi kuyapitia.
Nimeona jamaa hapo juu katupia screen shot ya Calculation ya Paye ambapo utaicalculate baada ya kutoa PSSSF, NHIF.
Ebu fanya hivyo tuone Paye itakuwa ngapi
Kinachobakia ni kuanza, yote ni mipango tu ya kwenye makaratasi but hata hiyo miaka mitatu nitakua na zaidi ya hiyo mfano juzi tumeenda seminar wametoa around 750K, kusimamia na kusahiisha mitihani unaokoteza okoteza, nilipo huku nimekuta hawawezi kuandaa matokeo kwenye Excell, na Mimi kwenye hayo maswala ndio mambo yangu, nimetengeneza mifumo Mimi na kulipwa😀😀 na harakati za hapa na pale, Sasa ukiamua kusave kwa ajili ya baadae au kula Bata ni wewe, nilichokiona humu wengi wamezaliwa maisha mazuri sana ndio maana wanashangaa mtu kusave 300k per month, na kuishi kwa 370k 😁😁😁Dogo una content sana
-bora turudi huko huko tu, Psrs Kazi imewashindatupe na EVIDENCE
Life la utumishi lishaanza mkuuVipi NAOT Mkuu
Daah, zinarudi zilikotoka aiseeFormula ya PAYE ni ndefu sana simply fanya hivi:-
salary 2,500,000
PSSSF ni 5% (assumption)
So to calculate PAYE
salary 2,500,000
Less PSSSF (2,500,000*5%)
So Goss salary 2,375,000
Chukua hiyo gross nenda kwenye PAYE calculator ya TRA iweke uone.
NB. Allowable deduction huwa ni approved retirement contributions hii ya ku less na NHIF ili kupata gross salary ya ku calculate PAYE,hapana labda kama sheria imebadilika.
Ila NHIF,HESLB,WORKERS UNION watadeduct waajiri wako kisha upate Net pay ya kupeleka home.
Hiyo semina si ndio iliisha wiki iliyopita? kuna mtu alisafiri nahisi alikuwa semina wiki hiyo, nataka kuproveKinachobakia ni kuanza, yote ni mipango tu ya kwenye makaratasi but hata hiyo miaka mitatu nitakua na zaidi ya hiyo mfano juzi tumeenda seminar wametoa around 750K, kusimamia na kusahiisha mitihani unaokoteza okoteza, nilipo huku nimekuta hawawezi kuandaa matokeo kwenye Excell, na Mimi kwenye hayo maswala ndio mambo yangu, nimetengeneza mifumo Mimi na kulipwa[emoji3][emoji3] na harakati za hapa na pale, Sasa ukiamua kusave kwa ajili ya baadae au kula Bata ni wewe, nilichokiona humu wengi wamezaliwa maisha mazuri sana ndio maana wanashangaa mtu kusave 300k per month, na kuishi kwa 370k [emoji16][emoji16][emoji16]
Yeah ndio hivyo, Lakini naona future yangu ikiwa bright kwa miaka yangu 24, nawaza nikifika 30 nitakua wapi? Kaka angu mkubwa kapata TRA mwaka Jana Lakini ni baada ya kumaliza chuo 2011 nikiwa darasa la saba na kudumu mtaani miaka 12
Hahaaa ! , wazee wa kula mshahara wa milioni kumi na mbili kwa kukalia viti vya kuzunguka , kuenjoy AC na kupiga makofi kwenye mabenchiNchi hii kuendelea ni ngumu, bungeni kigezo mtu ajue kusoma na kuandika lakini huku kwengine mtu unakaziwa. Kiukweli kuna mahali hii nchi inakilema cha laana.