Hahahahaha, kabisakabisa na iwe hvyo nasi tumeliki ndingaMkuu umsema kazi yako itakuwa ya field kwa sana. Hapo lazima upate perdiem.
Subaru utapata, tena utakuwa unaitumia weekend kula bata maana siku za kazi uko zako huko field
Habari,
Hii ipo sawa salary za ICTO 2?
1. TPDC==I don't know
2. TCRA==2.0m
4. Ngorongoro==1.8m
3. Ewura==I don't know
4. WCF==2.0m
5. TBS==I don't know
5. TANAPA==1.8m
5. Tume ya madini==I don't know
6. Mamlaka ya chakula na dawa==I don't know
7. SSRA==2.0m
8. NSSF/PSSS==I don't know
9. BOT==I don't know
9. Bunge==I don't know
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali==I don't know
10. TASAC==1.5m
10. TRA==2.5m
11. MSD==I don't know
11. TAKUKURU==I don't know
11. EGA==2.61m
12. NHIF==1.6m
13. TPA==1.6m
13. TIC==I don't know
Ana diploma huyo badala ya kuongeza Elimu unajivunia kuwa na diplomaAhaa sawa, wenye degree ndio wapo maofisni kwa sana ee
Tena nahis Engineers wanakula kwenye 4mTCRA 2m!!, faamasiala nini! Ni 3.4m
NaonSijawahi kushuhudia hili ila kama wewe una ushahidi wa hili sawa mkuu ila naamini mpaungufu ya utumishi yatakua kidogo sana
NB: mishahara ya wanasiasa hawakati , wanapata asali ambayo haija zimuliwaTRA Gross salary 2,500,000/=
PAYE 578,000/=
UKITOA PAYE
2,500,000 - 578,000 = 1,922,000/=
Kaangalie CPA T wanavyolipwaTRA Gross salary 2,500,000/=
PAYE 578,000/=
UKITOA PAYE
2,500,000 - 578,000 = 1,922,000/=
Hii skendo iliwahi kutokea pia huko nyuma tena mwaka jana kama sio mwaka juzi hizi incidences za watu kuvujishiwa paper za mitihani zipo pia nadhani wenyeji wa jamii forum mtakuwa mashuhuda wa hili kwenye hizi nyuzi tena moja ilikuwa ni ile ya 2021 kazi za TRA ile mitihani ilivuja,majitu yaliingia kwenye vyumba vya mitihani na "NONDO" ,hii ni aibu kwa utumishi ,nadhani watakuwa wakifanyia kazi yale mapungufu ,Watu kuwa na majibu kabla ya interview je π , mbona Hilo ulizungumzii.
Mmekula per dm sana, Sasa ni muda wa kupumuzika
Hahah sawa sawa mkuuMmmh hii ndo JF, kirahis tu humu unataja miaka yako..!!!
Usikute una miaka zaidi ya 35...
Haya hebu niache "Ya Ngoswe TUMWACHIE Ngoswe" but joking tu Bwa Mdogoππ maana kama ni WAmiaka hyo wewe ni dogo wangu sana
Wanaoenda kwa Kanda, Kanda ya ziwa walikua Mwanza, singida,morogoro, PWANI n.k wanaenda MorogoroHiyo semina si ndio iliisha wiki iliyopita? kuna mtu alisafiri nahisi alikuwa semina wiki hiyo, nataka kuprove
Mkuu unavyohangaika na huo mshahra hatari...nenda kfnye kz mshahra utaukuta hukoTRA Gross salary 2,500,000/=
PAYE 578,000/=
UKITOA PAYE
2,500,000 - 578,000 = 1,922,000/=
aka mwanasiasa@Jenister_Muhagama
π€π€π€π€π€π€π€π€π€π€π€
Bado hujakutana na kitu kizito cha kikokotoo cha mafao ,ππππ, kazi ni nzuri ila watumishi hawatakiwi kubweteka kamwe , ni kujiongeza na kujiwekea vitega uchumi vingine ili kuongeza kipato na usalama zaidi hata siku ukistaafu au likitokea jambo la wewe kutoka kwenye hiyo ajira yako ,ila hii ya kubweteka labda uamue kuwa full time thief kwenye hizo taasisi ,Ndio maana wafanyakazi wengi wana maisha ya kawaida.
Aisee kuna taasis wanaenjoy sana[emoji1787]dohInalambwa sana huko, wanakulaga hadi Lunch bure[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muache mwenzako [emoji1787]Mkuu unavyohangaika na huo mshahra hatari...nenda kfnye kz mshahra utaukuta huko
Najaribu kuchuja asali nipate Ile tamu sana ππππMkuu unavyohangaika na huo mshahra hatari...nenda kfnye kz mshahra utaukuta huko
Muache ajue kipimo Cha asali, inamfanya asikate tamaa kutafuta kutafuta mirija[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muache mwenzako [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Muache ajue kipimo Cha asali, inamfanya asikate tamaa kutafuta kutafuta mirija
Mhhhhh...nmekaa nao for almost 2 weeks sjaona hii ktu ya msosi wa bure mchana!
Nilitoboka mfukon mwangu!!!
Au mwenyeji wangu ndo hakunipatia mwongozo wa lunch inakuwagaje??
Tofauti na TMDA...hawa walinikamua mkwanja uloenda shule
πππ We jamaa daah!!Ana diploma huyo badala ya kuongeza Elimu unajivunia kuwa na diploma
Kweli aisee, huyo jamaa alienda Moro alispend wiki nzima huko. Jamaa ni Head Master huko SingidaWanaoenda kwa Kanda, Kanda ya ziwa walikua Mwanza, singida,morogoro, PWANI n.k wanaenda Morogoro