HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Tuone leo kama kutakuwa na placement ya database, haloo hakuna kukata tamaa
Kwani Data base aliyosema Mh.Mhagama ,Buget ya mwaka wa nyuma. Waliofanya Usail wakapita Oral before Tangazo lake kutoka.

Mungu ni mwema kuna Asali inakuja. Tusiache kuomba mbele za Mungu kilio kisikike UTUMISHI huko maana kitaa hakufai Mambo ni magumu sana
 
Mimi mwenyewe Niko kwenye asali nataka nihamie kwenye asali tamu[emoji1]
 
Mkuu kama una GPA nzuri undergraduate nenda kapige masters then fukuzia nafasi za assistant lecturer sababu hizo nafasi huwa ziko miaka na miaka zinatangazwa.

Mimi nataka nirudi shule nikalambe masters nenda nifuzie hizo nafasi.

Pia Kuna nafasi za kuhamia hizo taasisi zenye asali Nene na mazingira mazuri ya kazi.

Ni kujiongeza tu
 
Kwani GPA ya kupiga master ni ngapi?
Hapa nchini na kwa nchi za nje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…