HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sekretarieti ya Ajira .
Psrs walijua SS tumetoka tichoholi, kumbe SS misheni town kitambo sana, tupo tuna wadere TU, natumeamua kukiwasha Yan.
 
Wewe ni mkandaji 😁 unakataaje posho.

Ss vijana wa Raisi Samia tunataka taasisi na mashirika wafanye usaili wenyewe kama zamani
Ili kuondoa bureaucracy.

Na hili litatimia kwa uwezo wa mungu 🙏
 
Unaweza jiuliza knachosababisha siku kuwa nyingi waga ni nini??
Yaaan tangu tangazo lnatangazwa hadi watu kuitwa kazini almost mwaka
Mbaya zaidi tunafasi tunakogombaniwa unakuta ni 10 kati ya watu zaidi ya buku...

Haya yote ni kukosa vya kufanya....ukiwa na mishe yako inayoeleweka huwezi kwenda kugombania hii na hawana aibu wanaiannounce tukagombanie watukande

Aisee ukiwa na roho ya huruma PSRS kazi hufanyi maana ukiangalia wanaokuja fanya usaili unawahurumia lkn ndo hvyo ww huna shida padiemu inasoma wafaulu wasifaulu shauri yao[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nchi hii, private sector ingekua stable katika nyanja zote, hakika hizi purukushani huku zisingefika kiasi hiki.
 
Mijitu yenye uroho wa perdiem hainaga huruma mkuu tuishi tuu
 
Wewe ni mkandaji 😁 unakataaje posho.

Ss vijana wa Raisi Samia tunataka taasisi na mashirika wafanye usaili wenyewe kama zamani
Ili kuondoa bureaucracy.

Na hili litatimia kwa uwezo wa mungu 🙏
 
Nchi hii, private sector ingekua stable katika nyanja zote, hakika hizi purukushani huku zisingefika kiasi hiki.
Enzi za JK Private sector ilikuwa inakua kwa kasi
Vjana walkuwa wanaamua wenyewe wafanye wapi...serikalini ilikuwa kama 2nd option...
Njoo sasa hvi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wote macho na masikio ni kwa PSRS
 
Yeah ni kweli, sekta binafsi inapumulia mashine, sio mashirika sio NGO, haijalishi unalipwa kiasi gani, muda wowote unajikuta bench mikataba mifupi mifupi tu kama ya vibarua ambayo haina uhakika ya kuhuisha.
 
Wakandaji (Psrs)ni kama waosha maiti TU
 
Wewe ni mkandaji [emoji16] unakataaje posho.

Ss vijana wa Raisi Samia tunataka taasisi na mashirika wafanye usaili wenyewe kama zamani
Ili kuondoa bureaucracy.

Na hili litatimia kwa uwezo wa mungu [emoji120]
Unataka wewe peke yako.

Sisi tunasema waboreshe uharakishaji wa michakato kutoka interview mpaka kupangiwa placement wa shorten muda, hilo la kupeleka mchakato kwa akina yuda hatutaki.

Inaonesha we jobless mwenzetu una ka connection mahala sasa psrs wanakuwekea ka uzibe.
Wadau wengi wanakuelimisha ila huelewi tu.
Unakera sasa.
We huoni testimony za watoto wa wakulima wanalamba asali, kila mmoja wetu ameshuhudia miongoni mwetu wakifaulu kupata Kazi bila connection.

Acha upuuzi wako.
 
Kipindi cha Xavier Daudi, kuna wakati mchakato ulikuwa unachukua wiki tatu tu placement hiyo hapo.

Sijui ilitokea nini hapo kati, kikubwa waboreshe huduma zao.
 
Enzi za JK Private sector ilikuwa inakua kwa kasi
Vjana walkuwa wanaamua wenyewe wafanye wapi...serikalini ilikuwa kama 2nd option...
Njoo sasa hvi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wote macho na masikio ni kwa PSRS
Kipindi Cha jk maisha yalikuwa na maana Kwa wasaka mirija ya asali
 
Kipindi cha Xavier Daudi, kuna wakati mchakato ulikuwa unachukua wiki tatu tu placement hiyo hapo.

Sijui ilitokea nini hapo kati, kikubwa waboreshe huduma zao.
Ilitokea posho na hongo za hapa na pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…