HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nakazia Pia...Mheshimu.Jenista mhagama&Ridhiwan Kikwete Msimuangushe Mama(rais) kwenye kauli ya Kazi Data kata kiu ya vijana waliopo mtaani ...Ni hayo tu

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Maneno kama haya yenye matumaini na kukonga moyo ndio tunapaswa kuyasikia asubuhi hii.

Psrs iendelee kupiga kazi, maana wengi wetu tuna imani nayo.
Majibu ya ora Kwan nn yawe ni Siri , mambo ya Siri ni mambo ya shetani. Na Ndio maana mkeka unachelewa kwa sababu majibu ya mengi sana ni ya kupachika pachika

Nakama tuna ndugu zetu huko juu kwenye taasisi na mashirika unafikiri tunashindwa kupita kwenye psrs Tena kwa taarifa yako tunapita kirahisi sana Yan.

Kama tulivyowapitasha kwenye TRA na zingine , na bado tunaendelea kuwa pitasha na hamna la kufanya ,nyie shida yenu si posho TU
 
Nakazia Pia...Mheshimu.Jenista mhagama&Ridhiwan Kikwete Msimuangushe Mama(rais) kwenye kauli ya Kazi Data kata kiu ya vijana waliopo mtaani ...Ni hayo tu

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Hao mawaziri Hawana shida sana , kwa sababu wao sio watendaji , waongeaji TU,

Shida Iko kwenu nyie jipu uchungu
 
Kuilalamikia utumishi haimaanishi kwamba tunailalamikia kisa tumekosa mrija la hasha

Kuhusu michakato ya eti taasisi ndo znazochelewesha na sio utumishi sasa hapo tumlaumu nani kama aliyetangaza na kusimamia mchakato mzima ni UTUMISHI (PSRS) wenyewe??
Halaf kitu kingne ndg zang tunavyosema taasisi zenyewe zkafanye mchakato sio kwamba tunao watu kule au sisi sio watoto wa maskini sjui nn ni kujaribu kuweka mambo sawa....kwan miaka ya KIKWETE wakati mashirika yanajichukulia watu wao ajira ilionekana ni shida na mzunguko mrefu kama baada ya kuwa chini ya PSRS?? Au kipindi kile watoto wa maskini walkuwa hawachukuliwi kisa hawana watu kule???

Hv ndg yang ni juzi tu hapa tulikuwa tunaulalamikia huu mfumo wa kuchelewesha watu.....yaaan mchakato hadi wa mtu aitwe kazini tangu anaomba mpaka placement kutoka ni almost mwaka mmoja...hujaweka miaka kama mitano alokaa kitaaani......tunazalisha taifa la watu wa aina gani?? Waendeleee kufikiria kusubiri subiri tu ajira?? Najua ni rahisi kuwaambia wenzako endelea kupambana.

Kuweni wavumilivu n.k lkn jueni ni kuendelea kuwasononesha vijana kuspokuwa na sababu za msingi, tunafasi twenyewe tunakuwa tudogo(tuchache) wanaotugombania ni wengi halaf hadi hatma ya walofaulu usaili ijulikane ni mwaka mzima.....imajini!!!!!!!!!

Hatuna shida na PSRS na namna ya kupata wanaolamba asali ila mchakato mzima unachukua muda mrefu mno, kama wao sio wa kulaumiwa haya malalamiko washayapata sana wawaambie hizo taasisi wanazozisaidia kutafuta vjana unapofanyika usaili mara moja vjana wachukuliwe na kuripot kazini uone kama tutailalamikia tena hii.

Au results zile za oral zitolewe walofaulu wajijue mapema ili walofeli waendelee na mambo mengne walofaulu wasubiri kuitwa rasmi kazini.

Ila huu usiri huuuuuuu ndo utatufanya tuendeleee kuilalamikia mno PSRS na kuisema utumishi sio mpaka uwe hujalamba asali mm hata nikishailamba sitaacha kuishinikiza kuwaisha mchakato watu waendelee na mambo mengne
 
Umeongea point mkuu
 
Kupata kwangu placement hakunifanyi niwe kipofu,ila nimeamua kuongea ninachokiona au baada ya kufanya Utafiti na nikagundua.

Hata Mimi mwanzo nilisema jamaa wanachelewesha Placements na ndio madhaifu Yao Makubwa. Lakini nimejiridhisha ya kuwa Taasisi husika ndio Kuna baadhi ya Vitu huwa wanachelewesha mpaka kufikia placements kuchelewa.
 
Ukienda kufanya field huko, unapigwa Lunch kwa kipindi chote na posho juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi ingekuwa chuo na sehemu ya field nafanya mkoa mmoja ningekuwa simalizi muda wangu wa field [emoji23]
 
Ambao wenye Certificate ya
-Business Administration
-Public Administration
-Human Resources
-Statistics
-N.k

Kuna Asali ya viguduria 16 huko TAA, changamkieni muongeze received then maisha yaendelee
Wa Accountancy inakubali?
 
Mkuu, naomba kufahamu.
Halmashauri ilipewa kibali cha kuajiri toka mwezi wa 5, 2022. Usaili umemalizika mwezi February, 2023. Lakini mpaka leo placement bado. Hapa lawama tumbebeshe LGA au PSRS?
 
Kwa mantiki hiyo serikali ndo haiko serious!
Kwani haya mashirika ya umma yenyewe yapo chini ya mamlaka yapi?

Yaani wao wapo juu ya mamlaka zao za kiutumishi kiasi kwamba wanajiamlia wanavyotaka wao?

Mambo yanaenda hovyo badala ya yarekebishwe ila ndo yanazidi kuwa hovyo kabisa, tunavyolalamika hv sio kwamba ni hatujajua knachoendelea, tunafahamu ndo maana tunajaribu kuyaaddress publically vifanyiwe marekebisho.

Imajini dunia ya sasa hivi ya ulimwengu wa sayansi na tecnolojia, jambo la kumalizika ndani ya muda mfupi linachukua miezi au hata miaka.

Je, enzi zile ambapo tulikuwa bado nyuma kitecnolojia si ndo hadi miaka kibao ingepita bila kueleweka nn inaendelea?
 
Na walihama kutoka kwenye mfumo wa manula kuja kwenye mfumo wa kielectroniki ili kurahisihsa michakato ya ajira....sasa kuna umaana gani kama the time taken ni zaidi ya mfumo wa manual...WABADILIKE ua wapunguziwe majukumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…