Sasa ni matokeo gani ilihali anaejua amefaulu ni yule ataketokea kwenye mkeka wa kuitwa kazini...hao wengine ni fumbo hawaelwi walifeli wa walifauluMatokeo ni baada ya wiki 3.
Hii kauli wasiiseme
hayo ndo matokeo yenyeweSasa ni matokeo gani ilihali anaejua amefaulu ni yule ataketokea kwenye mkeka wa kuitwa kazini...hao wengine ni fumbo hawaelwi walifeli wa walifaulu
Waweke wazi hamna sbb ya msingi kuficha tokeo la oral...as long wameweka itrtbu wa kanzi data ss ubaya uko wp kumjulisha muombaj w kaz kwamba amefaulu au amefeli?hayo ndo matokeo yenyewe
Mimi nikijulishwa nimefaulu nipo database baada ya wiki nitaanza kusumbua mbona sipangiwi kazi akati nimefaulu.Waweke wazi hamna sbb ya msingi kuficha tokeo la oral...as long wameweka itrtbu wa kanzi data ss ubaya uko wp kumjulisha muombaj w kaz kwamba amefaulu au amefeli?
Watu wa sheria mna kimkeka chenu hukoo...hongerni mliopata mrija wa asalimi
Hii sio hoja ya msingiMimi nikijulishwa nimefaulu nipo database baada ya wiki nitaanza kusumbua mbona sipangiwi kazi akati nimefaulu.
Tumeni hyo mikeka tuoneTumikeka twa psrs tunakera sana sikuiz
Nishautuma hapo juuu...
mkuu mbona kawaida tu umewahi omba kazi kwenye hizi UN AGENCIES call for interview pekee smtimes inachukua miez 6. kikubwa PSRS tuwaombe wawe wawazi hasa oral results, placement na waliopo databaseHii nchi ina upuuzi mwingi sanaa, haipendezi utangaze nafasi za kazi kuanzia mchakato mpaka watakaopatikana kazini ichukue zaidi ya miezi minne. Ni uduwanzi mkubwa sanaa, watu wanafanya tuu makusudi, sitaki kuamini kwamba kuna issues special kiasi hicho cha kuwasubirisha watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani acha tu tumikeka hatuna afyaTumikeka twa psrs tunakera sana sikuiz
Kaka punguza sauti kuna watu watakuja mishipa imesimama kuwateteaTumikeka twa psrs tunakera sana sikuiz
yaani hawa jamaa psrs kuna vijielement wanavyo inadhihirisha 100% wanakusudia kuwaumiza na kuwastress majobless kwa mfano huu mtindo wanaandika taasisi mbalimbali alafu ndani taasis mbili mfano kamkeka ka leo na kale ka watu wa PSRS.Nishautuma hapo juuu...
Wameandika taasisi mbalimbali za umma
Watu wa tangu Oct. 2022.....🫠🫠
Kazi ya uendesha mashtaka tofauti yake na walimu ni ndogo sanaWatu wanakula placement bwana[emoji91][emoji91]View attachment 2551167
Hongereni sana wakuu kwa kupata nafasi katika utumishi wa umma. Aidha kama mnavyojua, kuajiriwa ni bahati so mlifanya vizuri lakini Mungu ameamua this time iwe zamu yenu.
Kafanyeni kazi zenu kwa weledi na haki, epukeni rushwa, msinyanyue mabega yenu kwa kuvimba na mjue pia hizi kazi ni za muda, leo upo kesho haupo so jitahidini kujiandaa na maisha baada ya utumishi.
Kuna nafasi za kazi kwenye sehemu mbali mbali hua zinatokea kwenye mashirika makubwa Africa na duniani, EAC, SADC, AU, UN na mashirika yake etc. Kazi hizi huwa zina mamishahara makubwa up to 100k USD per annum.
Ukiweza, omba hizi uchukue likizo bila malipo ukapamanie kombe for few years.
Adios muchachos
Kazi ya uendesha mashtaka tofauti yake na walimu ni ndogo sana
Unajuaje Sina kazi?Ambayo hauna sasa kaka[emoji23]