Utafikiwa kwa wakati wako Chief.Kwa hiyo PDF la database 1767 halipo tena ni huzuni kwa kweli kwa vipdf hivi unafikiri Kuna cha kanzidata tena
sijalaza damu mkuu bado navizia chimbo,nikiotea nitakuja kuaga hapa jukwaani kwa mudaNamna hiyo na wengine ikibidi watupwe JWTZ wakafundishwe kufunga mdomo [emoji23][emoji23][emoji23] angalizo ikitokea post kama hiyo mtakuwa hamjamkomoa Mkuu mfwende sawadogo [emoji23][emoji23][emoji23]
Muhimu tunza damu Mkuu.sijalaza damu mkuu bado navizia chimbo,nikiotea nitakuja kuaga hapa jukwaani kwa muda
Wakat upi utumishi jipu chungu tu la kutumbuaUtafikiwa kwa wakati wako Chief.
Hamna kitu kama hyo.. kama hii ya Bunge japo wame-command utumie address ya Bunge Ila mfumo wa kutuma Maombi ni AjiraPortal. So PSRS ndo wahusika wa uchambuaji wa Maombi yote then watawatumia Taasisi husikaKuna kitu nime-notice kwa ajira hiz zinazotoka sasa, ni kwamba maombi yanaandikwa kwa adress ya taasisi husika, na sio kwa katibu mkuu psrs tena. Maana yake inawezanikawa kwamba, taasisi husika sasa wanatupiwa mpira wa kuchambua maombi na kufanya shortlist wenyewe, naona kiaina psrs wameshaanza kupunguza majukumu. Ni hatua nzuri.
Mpk ifike hyo 1769 sio leo kwa mwendo huu duhhiyo hiyo inapunguzwa
Kilicho bakia tuandamane TU, Ili Hawa wahuni watuelewe YanKwa hiyo PDF la database 1767 halipo tena ni huzuni kwa kweli kwa vipdf hivi unafikiri Kuna cha kanzidata tena
Ss hiyo story listed wanatumia vigezo vp Mzee, kumbuka psrs Kila kitu eti ni Siri 😂Kuna kitu nime-notice kwa ajira hiz zinazotoka sasa, ni kwamba maombi yanaandikwa kwa adress ya taasisi husika, na sio kwa katibu mkuu psrs tena. Maana yake inawezanikawa kwamba, taasisi husika sasa wanatupiwa mpira wa kuchambua maombi na kufanya shortlist wenyewe, naona kiaina psrs wameshaanza kupunguza majukumu. Ni hatua nzuri.
Ninaongea hii kwa proof mzee, kazi za bunge awamu iliyopita tuliomba kwa ku-channel maombi kwa katibu psrs, maana yake katibu psrs na office yake ndio walikua responsible katika kuchakata haya majina.Hamna kitu kama hyo.. kama hii ya Bunge japo wame-command utumie address ya Bunge Ila mfumo wa kutuma Maombi ni AjiraPortal. So PSRS ndo wahusika wa uchambuaji wa Maombi yote then watawatumia Taasisi husika
Hilo ni swala lao sasa kati ya psrs na office ya bunge. Sio kila kitu cha kuanikwa, haipo hiyo duniani popote pale.Ss hiyo story listed wanatumia vigezo vp Mzee, kumbuka psrs Kila kitu eti ni Siri 😂
Hii sio, na wala sio utaratibu unaofaa kumpangia post ambayo mtu hakuiyomba,Namna hiyo na wengine ikibidi watupwe JWTZ wakafundishwe kufunga mdomo [emoji23][emoji23][emoji23] angalizo ikitokea post kama hiyo mtakuwa hamjamkomoa Mkuu mfwende sawadogo [emoji23][emoji23][emoji23]
Itakuwa ni database, sikuwahi kuona interview yaoHivi hawa waliotwa Jeshi la polisi walikuwa wamefanya interview au ni database..?
Lipi lililo bora kwako waliopangiwa washafurahi kama ni hasira basi unachukua shuka unajifunika gubigubi then fart inside it [emoji1787] (joking)Hii sio, na wala sio utaratibu unaofaa kumpangia post ambayo mtu hakuiyomba,
Patatokea malalamiko makubwa watu kupangiwa post ambayo HAta hakuiyomba,
HAta kama ni shida ya ajira ndio uka mtupe mtu kwenye Kazi ambayo hakuitarajia.
Psrs mnatengeneza matatizo badala ya kupunguza yaliyopo
Mimi sio muumini wa database na siamini uwepo wa database. Nime quote tu toka kwenye tangazo la kuitwa kazini.Database Gani unayo izungumzia?
Ss kama huamini database hao waliopangiwa polisi wamefnya lini usaili huko polisi?Mimi sio muumini wa database na siamini uwepo wa database. Nime quote tu toka kwenye tangazo la kuitwa kazini.