Psrs hawaeshimu kauli ya waziri wao daa,Mbona kama unabadili Kauli ya Mh.Jenista Mhagama-Hajazungumza "Kama"...Nafasi imepatika
Note[emoji116]View attachment 2551738
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Futa hiyo sentence utafanya Mh.Mhagama apangiwe majukumu mengine maana Mama(rais) hapendi kusikia vijana wake wanateseka wakati kawapa vibari vya kuajiri
Tuzidi kuomba mbele za Mungu kauli zao ziwe hasilia....
Mkandaji mkuu anatoa TU PDF cha kb ,what Fu@#Mbona kama unabadili Kauli ya Mh.Jenista Mhagama-Hajazungumza "Kama"...Nafasi imepatika
Note[emoji116]View attachment 2551738
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Futa hiyo sentence utafanya Mh.Mhagama apangiwe majukumu mengine maana Mama(rais) hapendi kusikia vijana wake wanateseka wakati kawapa vibari vya kuajiri
Tuzidi kuomba mbele za Mungu kauli zao ziwe hasilia....
isije ikawa wamevuta watu kutoka ofisi za TISS ndio wamewekwa hapo we unajifariji ni data base😀😀😀Ss kama huamini database hao waliopangiwa polisi wamefnya lini usaili huko polisi?
Unatakiwa kusikilizwaisije ikawa wamevuta watu kutoka ofisi za TISS ndio wamewekwa hapo we unajifariji ni data base😀😀😀
mana najiuliza raia wa kawaida akafanye kazi jeshi la polisi halafu sio polisi????
si ndo mwanzo wa uvujishwaji wa siri za jeshi la polisi huo utakuwa😀😀😀😀
nimewaza tu lkn wazee
Hapo ukifatilia kwa jicho la ndani wanafanya hvy ili overtime ziwepo kwa siku kwa ajili ya kusaini barua nje ya mda wa kazi kwa watu 1700+.....Mkandaji mkuu anatoa TU PDF cha kb ,what Fu@#
Mbona wapo raia wanafanya kazi kwenye taasisi za kijeshi tokea zamani kuna kipindi tukiwa tunaishi barracks walikuwa na sehemu yao ya kuishi peke yao ilikuwa inaitwa uraiani yaani kuwatofautisha na wanajeshi.isije ikawa wamevuta watu kutoka ofisi za TISS ndio wamewekwa hapo we unajifariji ni data base[emoji3][emoji3][emoji3]
mana najiuliza raia wa kawaida akafanye kazi jeshi la polisi halafu sio polisi????
si ndo mwanzo wa uvujishwaji wa siri za jeshi la polisi huo utakuwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
nimewaza tu lkn wazee
Word.isije ikawa wamevuta watu kutoka ofisi za TISS ndio wamewekwa hapo we unajifariji ni data base[emoji3][emoji3][emoji3]
mana najiuliza raia wa kawaida akafanye kazi jeshi la polisi halafu sio polisi????
si ndo mwanzo wa uvujishwaji wa siri za jeshi la polisi huo utakuwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
nimewaza tu lkn wazee
Na Takukuru watapeleka raia wa kawaida hasa kwenye jengo lao utawala kwenye taasisi yao ni kawaida .....Sema huko ni choka mbaya mshahara+ malupulupu hayapo tofauti na sehemu nyingineisije ikawa wamevuta watu kutoka ofisi za TISS ndio wamewekwa hapo we unajifariji ni data base[emoji3][emoji3][emoji3]
mana najiuliza raia wa kawaida akafanye kazi jeshi la polisi halafu sio polisi????
si ndo mwanzo wa uvujishwaji wa siri za jeshi la polisi huo utakuwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
nimewaza tu lkn wazee
Nao hulipwa posho katikati ya mwezi?Mbona wapo raia wanafanya kazi kwenye taasisi za kijeshi tokea zamani kuna kipindi tukiwa tunaishi barracks walikuwa na sehemu yao ya kuishi peke yao ilikuwa inaitwa uraiani yaani kuwatofautisha na wanajeshi.
Hadi magereza wapoMbona wapo raia wanafanya kazi kwenye taasisi za kijeshi tokea zamani kuna kipindi tukiwa tunaishi barracks walikuwa na sehemu yao ya kuishi peke yao ilikuwa inaitwa uraiani yaani kuwatofautisha na wanajeshi.
ww jamaa unafaa sana humu, kuwa push hawa jamaaPsrs hawaeshimu kauli ya waziri wao daa,
Psrs nilisema inahujumu juhudi Raisi Samia, Ss Naona mnaamza kuelewa kidogo kidogo
Hapana mzee kuna mmoja namjua tulisoma chuo kimoja ila fani tofauti na kaitwa jeshi la polisiisije ikawa wamevuta watu kutoka ofisi za TISS ndio wamewekwa hapo we unajifariji ni data base😀😀😀
mana najiuliza raia wa kawaida akafanye kazi jeshi la polisi halafu sio polisi????
si ndo mwanzo wa uvujishwaji wa siri za jeshi la polisi huo utakuwa😀😀😀😀
nimewaza tu lkn wazee
Hii sikuifahamu niliishi barracks kama mtoto/familia ya mpiganaji tuu so sijajua kama nao wana ration.Nao hulipwa posho katikati ya mwezi?
Vijana wasikilizwe wanataka Nini , nasio kuwapangia , utake usi take utaenda TU, huu ni udikteta uchwara
Jeshi la police litakuwa Bora Sana Kwa sasa, Kwa sababu wameanza kuajiri watu kwa meritocracy.Hapana mzee kuna mmoja namjua tulisoma chuo kimoja ila fani tofauti na kaitwa jeshi la polisi
Kwan hapo kabla bila hata ya kuisema hadharani walikuwa hawatoi watu kwenye database? Kama hakumaanisha tunachoulizia kila sku kulikuwa na haja gani ya kuliaddress vile ilihali suala la database limekuwepo tangu hapo kabla?Mfumo wa database mbona upo mda mrefu tu...wetu wengi hawakuelewa ile kauli ya database 1700+ ..ni kwamba watu watapangiwa nafasi za kazi kama ikitokea nafasi imepatikana/zimepatikana katika taasisi/ofisi husika ndio watakuwa wanachukua humo kwenye 1700+ lakini sio kwamba kuna pdf inakuja ya watu 1700+ ...
Pia tuwe na subira wakuu haya mambo ni bahati tu hakuna haja ya kutoa lawama na pia tujifunze kukubaliana na matokeo
Just do your best the rest muachie Sir God.
NB; sijalamba asali bado nasubiri placement pia ila nipo ready kwa matokeo yoyote yale na siwezi kutoa lawama kwa yoyote yule.
Mama Samia amejitahidi sana kutoa ajira pongezi sana kwa Raisi wetu. Nimeona watu wanatoa shuhuda humu za kulamba asali hongereni sana wakuu.
FactKwan hapo kabla bila hata ya kuisema hadharani walikuwa hawatoi watu kwenye database??
Kama hakumaanisha tunachoulizia kila sku kulikuwa na haja gani ya kuliaddress vile ilihali suala la database limekuwepo tangu hapo kabla??
Alivyolisemea hadharani na kutaja idadi means ungetoka mkeka wenye watu hao 1700+ kumaliza mzizi wa fitna
Matangazo mengi ya Placement hata kabla ya kauli ya waziri wanasemaga wameinclude watu kutoka kwenye database.....
Kuna neno mwisho naona halionekani hapo ninalikazia Mh.JENISTA MHAGAMA alisema ni budget ya nyuma inamaana 2021/2022....Ni swala la kuachia Pdf la watu hao 1700+...NinawasilishaKwan hapo kabla bila hata ya kuisema hadharani walikuwa hawatoi watu kwenye database??
Kama hakumaanisha tunachoulizia kila sku kulikuwa na haja gani ya kuliaddress vile ilihali suala la database limekuwepo tangu hapo kabla??
Alivyolisemea hadharani na kutaja idadi means ungetoka mkeka wenye watu hao 1700+ kumaliza mzizi wa fitna
Matangazo mengi ya Placement hata kabla ya kauli ya waziri wanasemaga wameinclude watu kutoka kwenye database.....
Dah ila sema sisi wabongo tuna longo longo sna sjui kwa nn hua hatupo smart ....uongo mwingi porojo tuKuna neno mwisho naona halionekani hapo ninalikazia Mh.JENISTA MHAGAMA alisema ni budget ya nyuma inamaana 2021/2022....Ni swala la kuachia Pdf la watu hao 1700+...Ninawasilisha