Asa najiuliza kwanini utumishi wasitoe maelezo na ufafanuzi kupunguza stress kwa vijana sababu waziri ameshasema na ndio boss wao inawashinda nn kutoka public na kutoa maelezo maana mwezi wa pili umepita.Kuna neno mwisho naona halionekani hapo ninalikazia Mh.JENISTA MHAGAMA alisema ni budget ya nyuma inamaana 2021/2022....Ni swala la kuachia Pdf la watu hao 1700+...Ninawasilisha
Mnataka msage kunguni [emoji23][emoji23][emoji23]Asa najiuliza kwanini utumishi wasitoe maelezo na ufafanuzi kupunguza stress kwa vijana sababu waziri ameshasema na ndio boss wao inawashinda nn kutoka public na kutoa maelezo maana mwezi wa pili umepita.
Au tumfate mama yetu IG and twitter tukawasemee maana mama anatusaidia vijana lakini wao wanatuchelewesha
Wawasagie tu kwa kweli 🤣🤣🤣Mnataka msage kunguni [emoji23][emoji23][emoji23]
yaah,kazi za muda mfupi
Yaani kweli lazima tuchanganyikiwe kumbe hata October bado hawajaisha!!!![emoji848]Nishautuma hapo juuu...
Wameandika taasisi mbalimbali za umma
Watu wa tangu Oct. 2022.....🫠🫠
in contract terms sio za kudumu hizo
Hilo PDF la polisi lipo wapiii??Hapana mzee kuna mmoja namjua tulisoma chuo kimoja ila fani tofauti na kaitwa jeshi la polisi
Ndo ushangae halaf uwe unajipa matumaini ya database[emoji3][emoji846][emoji846][emoji846][emoji846][emoji846][emoji846]Yaani kweli lazima tuchanganyikiwe kumbe hata October bado hawajaisha!!!![emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nfikiri ndo database hiyo mkuuYaani kweli lazima tuchanganyikiwe kumbe hata October bado hawajaisha!!!![emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa ninavyoelewa database ni wale waliofaulu ila kutokana na ufinyu wa nafasi wkakosa kupangiwa vituo vya kazi....sasa ukiangalia mfano hao wanasheria wa NPS mkeka wao ulishatoka na nafikiri idadi ya post iliyotangazwa ilishatimia so hawa waliotoka jana ni kutoka databaseNdo ushangae halaf uwe unajipa matumaini ya database[emoji3][emoji846][emoji846][emoji846][emoji846][emoji846][emoji846]
Wenzako walofaulu usaili wa moja kwa moja hadi wa Oct wapo.....
Mwenzangu na mm unaesubiri PDF la kanzidata si ndo upaukiane jaman[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Page ya utumishi psrsHilo PDF la polisi lipo wapiii??
Duuuu, hao sijawahi omba aisee kwanza si ndo huwa wanazingatia sana experience! Wengine huku experience ni za kuchechemea.mkuu mbona kawaida tu umewahi omba kazi kwenye hizi UN AGENCIES call for interview pekee smtimes inachukua miez 6. kikubwa PSRS tuwaombe wawe wawazi hasa oral results, placement na waliopo database
KabisaMkuu kwa ninavyoelewa database ni wale waliofaulu ila kutokana na ufinyu wa nafasi wkakosa kupangiwa vituo vya kazi....sasa ukiangalia mfano hao wanasheria wa NPS mkeka wao ulishatoka na nafikiri idadi ya post iliyotangazwa ilishatimia so hawa waliotoka jana ni kutoka database
Lakini kikubwa ni asali tuuu,Kazi ya uendesha mashtaka tofauti yake na walimu ni ndogo sana
Kumbe kuna uwezekano wa kupelekwa PT...hapo sijui ndo utatambulika kama Police pia?Mkeka wa Nov 2022View attachment 2551228
Mungu akutete!!sijalaza damu mkuu bado navizia chimbo,nikiotea nitakuja kuaga hapa jukwaani kwa muda
Ni kitu kinawezekana kama wangekuwa wanatoa pdf zilizoshiba angalao mbili kila siku.Mpk ifike hyo 1769 sio leo kwa mwendo huu duh