Kitaa sio Poa......Wao wamwage mkeka 1700+ hata kama kuingia ni mwenzi wa saba haina shida kuliko kuishi bila matumain!!!!Vijana tulieni tatizo la Ajira ni kubwa sana hasa ukizingatia awamu ya 5 watu hawajaajiriwa. Mama ameonyesha matumaini vijana wengi wamepata ajira na wengine wamehifadhiwa kwenye kanzi data wakiendelea kuitwa taratibu. Kuweni na subira tatizo haliwezi kuondoka kwa 100% lakini linaweza kupunguzwa kwa kiasi kikubwa. Punguzeni ukubwa wa matarajio lolote linaweza kutokea Plan B ni muhimu.
Nahisi ikitokea mtu anapelekwa kwenye vyombo vya ulinzi yeye atakuwa ni mfanyakazi wa kawaida tuu. Hatochukuliwa kama askari, labda itokee sasa yeye mwenyewe apende kuingia humo na akakidhi vigezo stahiki.Hii sio, na wala sio utaratibu unaofaa kumpangia post ambayo mtu hakuiyomba,
Patatokea malalamiko makubwa watu kupangiwa post ambayo HAta hakuiyomba,
HAta kama ni shida ya ajira ndio uka mtupe mtu kwenye Kazi ambayo hakuitarajia.
Psrs mnatengeneza matatizo badala ya kupunguza yaliyopo
Wale waliokuwa wanasubiria SUA mkeka ndo huo, inawezekana hawapo labda.Hadi sasa bado sijaona mrejesho wa yeyote aliyelamba Asali kwenye hii mikeka ya leo.
Leteni mirejesho, tuwapongeze na tufurahie sote
Bora hata wizara ya elimu wanazingatia sana ufaulu, ila psrs mmmmh, siri wanayo wenyewe. Tusubirie tuu kupangiwa vituo.Yan utumishi Wana wapangia watu kazi kama wizar ya elimu inavyo wapangia shule za kwenda walio fauli la 7
Hakyanan ajira hazina maana Tena ,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], ila daaah watu mnajua kukejeliana humu ndani.Sasa wewe mtoto wa tajiri badala ungekuwa Dubai unakula maisha upo hapa una hanikiza hanikiza vilio kwa utumishi ili iweje?
Ni kweli aisee, gharama za kwenda kufanya kuusaili ni kubwa sana+muda unaoutumia kujianda, mpaka unakuja kusubiri ni mwingi mno. Kikubwa pdf tuu.Mkuu upo against sana sana, na isingekuwepo database ungesema pia hebu shukuru kwa yote na database unapangiwa kada yako labda taasisi tu tofauti, na hiyo imesaidia wengi kupunguza gharama baada ya kupata, usiwe na makasiriko kiasi hiko uko against sana una jambo lako wewe sio bure.
Subiri placement tu km ulifanya oral wakati wako ukifika utapata usiwe mbinafsi sana. Unachoona hakikusaidii wewe, wapo wengine wanashukuru kimewasaidia hujioni ni wewe tu, ...
Thanks
Sina hakika na hilo, japo naamini vyovyote inawezekana. Na pia tukumbuke watumishi wote serikalini wanapaswa kutunza siri, ni vitu vinawezekana kabisa.isije ikawa wamevuta watu kutoka ofisi za TISS ndio wamewekwa hapo we unajifariji ni data base[emoji3][emoji3][emoji3]
mana najiuliza raia wa kawaida akafanye kazi jeshi la polisi halafu sio polisi????
si ndo mwanzo wa uvujishwaji wa siri za jeshi la polisi huo utakuwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
nimewaza tu lkn wazee
Yeah na tena hao Waendesha mashtaka Wana privilege nyingi tu mfano Posho ya Nyumba,Posho ya umeme na maji, na Posho ya mavazi .
Huku kitaa kuna wakongwe wamekaa mpaka miaka 10 wakisubiri ajira, vumilia tu.Kitaa sio Poa......Wao wamwage mkeka 1700+ hata kama kuingia ni mwenzi wa saba haina shida kuliko kuishi bila matumain!!!!
Hatarii kubwaHuku kitaa kuna wakongwe wamekaa mpaka miaka 10 wakisubiri ajira, vumilia tu.
Kama ndivyo ilivyo, basi na wao wanakula mema ya nchi vilivyo.Yeah na tena hao Waendesha mashtaka Wana privilege nyingi tu mfano Posho ya Nyumba,Posho ya umeme na maji, na Posho ya mavazi .
Yeah sio kama watumishi wa afya
Walio chaguliwa sio walio omba 😂Wale waliokuwa wanasubiria SUA mkeka ndo huo, inawezekana hawapo labda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kutambulika kama police.Kumbe kuna uwezekano wa kupelekwa PT...hapo sijui ndo utatambulika kama Police pia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa humu unajua tuna mingapi tunasubiri ajira??Huku kitaa kuna wakongwe wamekaa mpaka miaka 10 wakisubiri ajira, vumilia tu.
Watoto wadogoWa humu unajua tuna mingapi tunasubiri ajira??
Miaka 10 co hoja ya Msingi!!!Watoto wadogo
Hii issue ya Address naomba iwe inazingatiwa mimi ni mmoja wa muhanga wa hili, kama umeambia adreess ipitie taasisi husika fanya hivyo, Kuna post ya UDOM sikuwa shortlisted kwa kutotumia address ya taasisi husika, kuhusu uchambuzi PSRS ndo wanafanya uchambuzi wote kama kawaida.Hamna kitu kama hyo.. kama hii ya Bunge japo wame-command utumie address ya Bunge Ila mfumo wa kutuma Maombi ni AjiraPortal. So PSRS ndo wahusika wa uchambuaji wa Maombi yote then watawatumia Taasisi husika