Sidhan kama watatoa mkeka wa database kama waziri alivoadi.Miaka 10 co hoja ya Msingi!!!
Hoja!![emoji117]Vijana wanauliza yaliyosemwa na Waziri Jenista Mwagama mbona hayatekelezwi ?....
Mnamuangusha Mama(rais) ndo mnatumia kama kisingizio hicho
😓😓😭😭Sidhan kama watatoa mkeka wa database kama waziri alivoadi.
Watakuwa wanatoa vipisi , vipisi vya KB, alafu baadae unasikia Ile idadi aliosema mh waziri imetimia(ndoige).
Hivi Kuna mahali ali specify kuwa hiyo database itatokaje?Sidhan kama watatoa mkeka wa database kama waziri alivoadi.
Watakuwa wanatoa vipisi , vipisi vya KB, alafu baadae unasikia Ile idadi aliosema mh waziri imetimia(ndoige).
Hutakuwa polisi Ila utakuwa Afisa wa wizara ya mambo ya ndaniKumbe kuna uwezekano wa kupelekwa PT...hapo sijui ndo utatambulika kama Police pia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndipo ile nyimbo ya bwana misosi inanijiaa...Hivi Kuna mahali ali specify kuwa hiyo database itatokaje?
Alisema mwezi huu wa pili tutachukua vijana 1769 kutoka kanzidata na kuwapangia majukumuHivi Kuna mahali ali specify kuwa hiyo database itatokaje?
Sidhani kma upo sahihi...kitenge na mh waziri ni nani mkuu?Kauli ya mwanasiasa ni tofauti na ya mtendaji msikilize bwana KITENGE Waziri amesomea kutoa hopes
Vipi imekubali?Ngoja nijaribu kama itakubali
Toka unasikia ajira za Tamisemi ulishawai kusikia Mtendaji Mkuu anazungumza ajira zinatoka?...Kauli ya mwanasiasa ni tofauti na ya mtendaji msikilize bwana KITENGE Waziri amesomea kutoa hopes
Yameshaanza kutoa faraja, tangazo la kuita watu kwa usaili linaandaliwa tarehe 10-03-2023, kwa usaili wa tarehe 16&17 mwezi huu wa tatu, psrs wamepost leo, tarehe 15-03-2023. Candidate lazima ufurahiToka unasikia ajira za Tamisemi ulishawai kusikia Mtendaji Mkuu anazungumza ajira zinatoka?...
Na siku hizi hata mtendaji mkuu nae ni siasa tu haya mambo ya kuteu ndo janga lilipo aza...Ila ninaimani safu aliyoiweka ya katibu na Naibu mpya Utumishi yatatoa faraja tu ni swala la mda ....
Unajua tofauti ya waziri na Katibu?Sidhani kma upo sahihi...kitenge na mh waziri ni nani mkuu?
Aisee hata mimi nimeshangaa sana...interview kesho, tangazo wanatoa leoYameshaanza kutoa faraja, tangazo la kuita watu kwa usaili linaandaliwa tarehe 10-03-2023, kwa usaili wa tarehe 16&17 mwezi huu wa tatu, psrs wamepost leo, tarehe 15-03-2023. Candidate lazima ufurahi
Mnawafanya Utumishi wakose Aman....Aisee hata mimi nimeshangaa sana...interview kesho, tangazo wanatoa leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesoma mijadala mingi ya watu kukosoa utumishi wengine kuwatetea ila kiukweli kuna sehemu hawa jamaa wanazingua big time.Mnawafanya Utumishi wakose Aman....
Duh tangazo limetolewa na Mzumbe. Hapa kuna sintofahamu kati ya Utumishi na Mzumbe yaani mkazi wa Kigoma asafiri leo leo.Aisee hata mimi nimeshangaa sana...interview kesho, tangazo wanatoa leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Alisema database itatoka mwezi February, Cha ajabu SS n march 15, vimeshatoka kama vipisi vi 4 ivi vya KBHivi Kuna mahali ali specify kuwa hiyo database itatokaje?
Tumeongea sana , tunaambia SS Tuna negative attitudeNimesoma mijadala mingi ya watu kukosoa utumishi wengine kuwatetea ila kiukweli kuna sehemu hawa jamaa wanazingua big time.
Haiwezekani mchakato wa ajira kuanzia tangazo la kazi hadi placement lichukue zaidi ya miezi 9, lazima kuna sehemu haipo sawa.
Ngoja nielezee kisa kimoja hivi.
Mwezi wa 3 2022 utumishi walitangaza nafasi za ajira ya mkataba wa miezi 3 (wizara ya ardhi), wataalamu tukaomba fresh.
Ilipofika tar 26 April, majina ya interview ya oral yakatoka, usaili unaonesha tutafanya tar 2 May Singida Lake secondary.
Wataalamu tukakata ticket ili kuanza safari hiyo tar 1 May. Nakumbuka nipo kwenye bus la Singida saa 1 asubuhi ndo tunaingia kibaha, napigiwa simu na rafiki yangu anasema utumishi wameweka tangazo lingine kwamba hakuna interview bali tunatakiwa kuripoti tar 9 May kwenye vituo vya kazi tulivyopingiwa(waliainisha kwenye tangazo).
Imagine tangazo la mabadiliko limetolewa saa 12 asubuhi May 1, kuna watu walikua wanatoka Mtwara hawa walishanza safari tangu April 30, wanakuja kupata taarifa kama hii.
Wengi tulilalamika sana kuchomeshwa nauli zetu, ila ndo hivyo hatukua na jinsi.
Ndo kama ishu iliyotokea leo, Tangazo linaonesha ni la tar 10 ila limetolewa leo tar 15 likionesha interview tar 16[emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app