HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kwenye issue ya kuchelewesha matokeo ya oral na placements psrs naamini haihusiki. Mfano kwenye matokeo ya Written mbona wanatoa matokeo ndani ya siku 1-5
Hapo kwenye kuchelewa placement kuna wa kulaumiwa ila sio psrs. Bajeti, bajeti, bajeti, bajeti
Hapo kwenye bajeti ndio kuna ukiritimba mwingi kweli kweli
 
Naomba niliongelee ili suala la Mzumbe na uzoefu wangu katika kupambanaaa Asali..issue iko ivii,wale wote walioitwa kwenye usahili wameshapigiwa simu na wanazo taarifa bila shaka, naikumbuka hii pia mwaka jana nlipigiwa simu interview moja UDOM pale ambapo pdf walilitoa siku moja kabla ya interview.

Bila shaka angekwepo mtu umu aliyeomba hizo za Mzumbe na kaitwa na hana taarifa ndio kajua leo,hapa tunalalamika tu kwakua hatufanyi sisi ila naamini walioomba hizo ajira wanajua tarehe ya usahili vzuri.

Pia hamjawai ona placement inatolewa na chuo then inapita siku kama 4 au 5 psrs ndo wanaipandisha, nawasilisha ilo last Mzumbe, point to note me sio mkandaji ni jobless najaribu kuwaza na uwenda ikawa ni ivoo.
 
Duh tangazo limetolewa na Mzumbe. Hapa kuna sintofahamu kati ya Utumishi na Mzumbe yaani mkazi wa Kigoma asafiri leo leo.
Mwenyezi Mungu ni mwingi wa Rehema.
Hizi post zinazo itaji mtu 1 au 2 Alafu unakuta kwenye hiyo taasisi Kuna intern, alafu zinaletwa utumishi,

Ni kupoteza muda TU, .

Najua utumishi hawataki kuachia atakama Post ni ya mtu Moja, .

Wanataka kukomba posho zote za wasaka mirija ya asali nchi nzima,mwaka huu msipo nunua Yutong , BaSi hamtanunua Tena Yan 😂
 
Haya kazi kwenu inayowahusu. Tuchangamkie fursa.
Asante Ndugu, kwa kutupa ushirikiano.

Ina maana hakuna programers, cyber security, Database administrators an other ICT field, walio fanya oral interview Waka baki kwenye database.

Wanangu wa ICT , nawapa pole sana, jiandaeni na interview, kwenye mkeka ampo kabisa Yan 😂,,
 
Nchi ngumu hii
 
Maelezo mazuri sana
 
Dah inaumiza sana kada na TAASISI nilofanya usaili imetangaza Tena nafasi means kanzdata chenga
 
Huenda wamezingatia ushauri wako wasije kuwapangia watu kazi sehemu ambazo hawazitaki Mkuu.
 
Nchi nguma sana!!!!
Tuendelea kuomba Mungu naona maombi yanajionesha sasa mpk wanapost Tangazo bila wao kupitia kama lipo wrong au......mfano Tangazo hilo wanaficha salary scale kwa ajili gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…