Nililiongea Hapa kuhusu TRA ya juzi waliopangiwa kuna mtu alijibu inaonyesha waliofanya TRA ya nyuma hawakukidhi mahitaji ya mwajiri.....Hatari sana
Duh
Ukiona hvyo ujue mwajiri hataki watu wa database, anataka wale waliopiga interview husika fresh.... Mkuu eGA hapo si unajua kuna unyama mwingi hapo.Dah inaumiza sana kada na TAASISI nilofanya usaili imetangaza Tena nafasi means kanzdata chenga
Bajeti ya mwaka Jana 2022 inaisha 30 June 2023Wanavyotuambia kuwa ni bajeti ya mwakajana wanamaanisha nini?? Wanatulisha matangopori ausio.
Jukumu la kutoa hayo maamuzi ni la utumishi au mwajiri?Ukiona hvyo ujue mwajiri hataki watu wa database, anataka wale waliopiga interview husika fresh.... Mkuu eGA hapo si unajua kuna unyama mwingi hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusidanganyane kwenye ishu hy ya mwajiri hataki wakati Utumishi wamepewa nguvu ya control taaasisi zote ambazo zipo chini yake...Wanatumia mwanya huo kupitisha watu kwa rushwa kwa neno hilo la mwajiri hataki au hujakizi ..Ukiona hvyo ujue mwajiri hataki watu wa database, anataka wale waliopiga interview husika fresh.... Mkuu eGA hapo si unajua kuna unyama mwingi hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku e-GA nasikia Asali inamwagika sana, kila la kheri wahusika kwenye kuipambania AsaliHaya kazi kwenu inayowahusu. Tuchangamkie fursa.
Nimekupa fact, utaamua wewe uichukue au uiache mkuu.Tusidanganyane kwenye ishu hy ya mwajiri hataki wakati Utumishi wamepewa nguvu ya control taaasisi zote ambazo zipo chini yake...Wanatumia mwanya huo kupitisha watu kwa rushwa kwa neno hilo la mwajiri hataki au hujakizi ..
Kaka mtumishi habari za Southern Highlands..Maelezo mazuri sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huenda wamezingatia ushauri wako wasije kuwapangia watu kazi sehemu ambazo hawazitaki Mkuu.
Waseme wanatengeza per diem ni hilo tu kati ya mwajiri na utumishi...
[emoji23][emoji23][emoji23] mimi nipo kumkubusha tuu Mkuu hahahah![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umekuja na comeback ya kibabe sana, huyu jamaa anatetea mambo halafu anasahau alichokitetea
Database nafasi zinakaribia kuisha wanatoa kidogo kidogo.Alisema database itatoka mwezi February, Cha ajabu SS n march 15, vimeshatoka kama vipisi vi 4 ivi vya KB
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kb zile!!!!!!Database nafasi zinakaribia kuisha wanatoa kidogo kidogo.
Hilo unalosuburia ni ndoto.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kb zile!!!!!!
Nafasi 19 si haba. Bora kupata kitu kuliko kukosa kitu.Huku e-GA nasikia Asali inamwagika sana, kila la kheri wahusika kwenye kuipambania Asali
Tusidanganyane kwenye ishu hy ya mwajiri hataki wakati Utumishi wamepewa nguvu ya control taaasisi zote ambazo zipo chini yake...Wanatumia mwanya huo kupitisha watu kwa rushwa kwa neno hilo la mwajiri hataki au hujakizi ..
Ni swala la Mda....sentence yako utaisahishaHilo unalosuburia ni ndoto.
Kufata barua utumishi ni siku 7, kupeleka kwa muajiri ni siku 7 pia...kuna siku 7-14 nyingine za taasisi kuhakiki vyeti na ishu nyingine.Hivi kwa wale ambao wapo makazini private sector wanaotakiwa kutoa notice ya mwezi mmoja wanaporesign ( mikataba) baada ya kupata kazi serikalini huwa inakuaje? Maana nasikia kureport kituo cha kazi ni within 15 days.
Kuna bwana mmoja aliamuliwa kulipa mishahara 3 kwenye kampuni X kama anataka kutoka bila 28 days notice sijui waliishia wapi.