Hao ni kunyamaza tu....watajitafakari?Tuhuma nzito sana hizi. Kuna ushahidi? Tunaweza kuwapeleka PCCB. Njoo inbox kama una evidence tufanye kitu
Mkishalamba asali mnakua hamuoni tena mapungufu..haya mkuu tumekuelewaKikubwa vijana wenzangu huu muda wa kulalamika humu ungetumiwa kujipanga Kwa ajili ya Usaili ingependeza sana...
Hawa Utumishi Mimi binafsi naona hawana shida,nadhani mwakani kila kitu kitaenda sawa tu.Mnajua huwezi kuajiri watu wengi Kwa mkupuo,unatoa Gape kidogo Kwa ajili ya kushughulikia mishahara nk........
Ndio maana unaona hata Leo hii,Wameanza Uhamiaji,Polisi hadi sasa Hakuna PDF,halafu baadae unaona JWTZ wametangaza kazi.....Ma gape lazimaa....
Vivyo hivyo kwenye kukamilisha Taratibu za Ajira,watu wengine Wanaanza wanapewa malipo na wengine wanafuatia hivyo hivyo.....
Mimi nashauri wenzangu tutumie fursa hii ya kujisahihisha kutokana na saili zetu za Nyuma kufanya vibaya,iwe chachu ya kujiandaa vyema,kusoma Kwa Bidii na kufanya mazoezi ya Kuongea kila siku hata kujiangalia kwenye kioo,Yaani uwe vizuri kwenye kujiamini nk..
Naimani kila Mmoja wetu akifanya haya saili zijazo humu kila mtu atafanikiwa na tutaongea Lugha Moja na hamtalalamikia Tena PSRS,Binafsi mdau
Mwifwa kwangu alikuwa darasa tosha la kutokata tamaa,nilijifunza vingi nilijisahihisha na baada ya Oral nikasema Shida ya PSRS ni kuchelewesha Placements tu ila mengine ni Juhudi zako mtu mwenyewe.Lakini pia baadae nikajipa muda wa Kujifunza pia,nikagundua Taasisi husika ndio huwa zinachelewesha baadhi ya michakato baada ya Usaili kwenda Kwa PSRS,Ukiona Taasisi yoyote placement imetoka haraka baada ya Oral basi ujue Taasisi hiyo imekamilisha kila kitu haraka mahitaji ya PSRS...
Ndugu Zangu,tuzidi kumuomba Mungu na hii mitandao tuitumie vizuri,tusome zaidi na Kujifunza mengi,Hakika wote tutalamba Asali.Mhe.Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwake Ajira zinamwagwa za kutosha,Kikubwa mbinu kwetu vijana ni kufualu saili tu,maana Wasomi tupo wengi na ajira Zina ushindani sana.
Sekretarieti ya Ajira endeleeni kufanya kazi Kwa weledi,kufuata kanuni hivyo hivyo,Ili vijana wengi tushuhudie na tuwe mawakala Wazuri kwenu siku zote.Sisi tunasimana nanyi tunajua mlivyo Makini na mnajua vyema mmebeba dhamana za vijana wengi...
#Kazi Iendelee
#PSRS
Uliona wapi mtu anachafua mkono unaomlisha by the way mazaga one kwa sasa kumbuka ni sehemu ya wakandaji😂😂😂 tuendelee kupambana kitaelewekaMkishalamba asali mnakua hamuoni tena mapungufu..haya mkuu tumekuelewa
Bora sisi tuliopo humu na tunasema chochote kwa mitazamo yetu. Wengine washapotea kabisa humu baada ya kupata nafasi.Mkishalamba asali mnakua hamuoni tena mapungufu..haya mkuu tumekuelewa
[emoji3][emoji3][emoji3]....Watanzania ndo tulivyo wachache sana wenye mioyo ya kusahisha makosa alipo!!!!!!!!Asali ni Tamu mno.......Tuzidi kuchochea kuni kwa lugha nzuri!Mkishalamba asali mnakua hamuoni tena mapungufu..haya mkuu tumekuelewa
Nina imani na psrs .
Wale tunasubiri database la muhagama tujaribu kuwa Wapole kidogo jana nilipata bahati ya kuzungumza na afisa mmoja wa psrs.
Swali langu lilienda direct kuhusu mkeka wa database kama alivyosema Jennester Mhagama.
Jamaa alisema hivi ni kweli mkeka utakuwepo lakini mpaka sasa haijulikani ni lini kwa jinsi serikali inavyofanya kazi unaweza shangaa inapita hata miaka miwili kwa sababu mpaka sasa hakuna utekelezaji wowote wa hili suala .
Waziri alisema ndio ila watekelezaji ni psrs na wao wanasubiri mpango kazi kwa maboss na miongozo ya namna ya kulitekeleza hilo ila haiwezi kua ndani ya huu mwaka wa fedha.
Nawasilisha wakuu naomba msinipige mawe mimi nimewasilisha ujumbe tu.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Tumuombe mungu, tuwe na positive mindset, asali IPO inshallahDah inaumiza sana kada na TAASISI nilofanya usaili imetangaza Tena nafasi means kanzdata chenga
Kamba hiyo uongo haiwezi kuwa miaka 2 wakati huku watu bado wanaendelea kuingia kanzidata maelezo ya waziri yalisema mwezi wa 2 na sio miaka kama unavyosema. Tatizo utumishi jipu chungu wanachotoa matangazo ya kazi ni nini wakat database watu wapo.
Poa kanuni zao zinaelezea kabisa hawataitisha usahili ikiwa kanzidata ina watu means hapo wanatafuta posho tu hamna la ziada.
Kikubwa tumtafute mama atusaidie kwa hili au waziri mhusika mwenyew atupe maelekezo
Tuna shukuru kwa mrejesho,Nina imani na psrs .
Wale tunasubiri database la muhagama tujaribu kuwa Wapole kidogo jana nilipata bahati ya kuzungumza na afisa mmoja wa psrs.
Swali langu lilienda direct kuhusu mkeka wa database kama alivyosema Jennester Mhagama.
Jamaa alisema hivi ni kweli mkeka utakuwepo lakini mpaka sasa haijulikani ni lini kwa jinsi serikali inavyofanya kazi unaweza shangaa inapita hata miaka miwili kwa sababu mpaka sasa hakuna utekelezaji wowote wa hili suala .
Waziri alisema ndio ila watekelezaji ni psrs na wao wanasubiri mpango kazi kwa maboss na miongozo ya namna ya kulitekeleza hilo ila haiwezi kua ndani ya huu mwaka wa fedha.
Nawasilisha wakuu naomba msinipige mawe mimi nimewasilisha ujumbe tu.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ushalamba asali umesahau ulipotoka utumishi wanawatesa vijana hilo halipingiki. Suala la ucheleweshaji ni wao wenyewe kama taratibu bado wanatangaza ili iweje. Mama mwenyew amekiri utumishi ndio wanachelewesha utaratibu huku taasis zikisubiri mda mrefu lakin bado wewe unawatetea.Kikubwa vijana wenzangu huu muda wa kulalamika humu ungetumiwa kujipanga Kwa ajili ya Usaili ingependeza sana...
Hawa Utumishi Mimi binafsi naona hawana shida,nadhani mwakani kila kitu kitaenda sawa tu.Mnajua huwezi kuajiri watu wengi Kwa mkupuo,unatoa Gape kidogo Kwa ajili ya kushughulikia mishahara nk........
Ndio maana unaona hata Leo hii,Wameanza Uhamiaji,Polisi hadi sasa Hakuna PDF,halafu baadae unaona JWTZ wametangaza kazi.....Ma gape lazimaa. Vivyo hivyo kwenye kukamilisha Taratibu za Ajira,watu wengine Wanaanza wanapewa malipo na wengine wanafuatia hivyo hivyo.....
Mimi nashauri wenzangu tutumie fursa hii ya kujisahihisha kutokana na saili zetu za Nyuma kufanya vibaya,iwe chachu ya kujiandaa vyema,kusoma Kwa Bidii na kufanya mazoezi ya Kuongea kila siku hata kujiangalia kwenye kioo,Yaani uwe vizuri kwenye kujiamini nk..
Naimani kila Mmoja wetu akifanya haya saili zijazo humu kila mtu atafanikiwa na tutaongea Lugha Moja na hamtalalamikia Tena PSRS,Binafsi mdau
Mwifwa kwangu alikuwa darasa tosha la kutokata tamaa,nilijifunza vingi nilijisahihisha na baada ya Oral nikasema Shida ya PSRS ni kuchelewesha Placements tu ila mengine ni Juhudi zako mtu mwenyewe.
Lakini pia baadae nikajipa muda wa Kujifunza pia,nikagundua Taasisi husika ndio huwa zinachelewesha baadhi ya michakato baada ya Usaili kwenda Kwa PSRS,Ukiona Taasisi yoyote placement imetoka haraka baada ya Oral basi ujue Taasisi hiyo imekamilisha kila kitu haraka mahitaji ya PSRS...
Ndugu Zangu,tuzidi kumuomba Mungu na hii mitandao tuitumie vizuri,tusome zaidi na Kujifunza mengi,Hakika wote tutalamba Asali.Mhe.Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwake Ajira zinamwagwa za kutosha,Kikubwa mbinu kwetu vijana ni kufualu saili tu,maana Wasomi tupo wengi na ajira Zina ushindani sana.
Sekretarieti ya Ajira endeleeni kufanya kazi Kwa weledi,kufuata kanuni hivyo hivyo,Ili vijana wengi tushuhudie na tuwe mawakala Wazuri kwenu siku zote.Sisi tunasimana nanyi tunajua mlivyo Makini na mnajua vyema mmebeba dhamana za vijana wengi...
#Kazi Iendelee
#PSRS
Hamna cha subra hapo kikubwa tuandamane uzuri mama anapenda demokrasia na haki tusikubali kuteseka na kuonewaTuna shukuru kwa mrejesho,
Ndugu wasaka mirija ya asali inabidi tuwe na subira,
Au kama tuandamane mpaka ng'ong'ona kwa Migiro
Kweli uncleHuo ndio ukweli hapo ni subra na kuomba nafasi mpya zinazotangazwa lakini mtu ukibahatika kupangwa kwenye placement zinazotoka mshukuru Mungu.
Si ndio alafu ukitaka kujua utumishi wanazingua ona PDF wanachotoa kidogo kama zile za juz tarehe 14 wamegawa vipdf 2 vya kuzugia wameshindwa nini kutoa PDF mojaNa miaka miwili means data base iliyopo sasa itakuwa haipo.
Fanya hivyo mkuu.Bunge ni tarehe tatu mwezi wa nne tarehe moja nitakuwa na speaker pamoja na jopo la mawaziri Arusha, nitaomba mbunge mmoja juma tatu yake ahoji issue ya pdf ya kazi data
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kwani hizo nafasi si za fani mbalimbali, nasio fani Moja, au naongea uongo ndugu zanguNafasi 19 si haba. Bora kupata kitu kuliko kukosa kitu.
Hii ina kaukwel kidogo tangazo litoke mwezi juni 2022 usail February 2023, hapo status mabadiliko kibao, Mtu Mda wote kiroho Juu juu,Ushalamba asali umesahau ulipotoka utumishi wanawatesa vijana hilo halipingiki. Suala la ucheleweshaji ni wao wenyewe kama taratibu bado wanatangaza ili iweje. Mama mwenyew amekiri utumishi ndio wanachelewesha utaratibu huku taasis zikisubiri mda mrefu lakin bado wewe unawatetea.
Pia jifunze kusimamia ukweli usipende kupelekwa na upepo.
Jobless wenzangu kuhusu PDF la database tuwadai tusikubali kabisa tunatumia mda mwingi na pesa nying alafu unafaulu then Kuna watu wanachomekwa kirahis tu wewe uliyepambana hupati nafasi