Utumishi wezi aiseeNililiongea Hapa kuhusu TRA ya juzi waliopangiwa kuna mtu alijibu inaonyesha waliofanya TRA ya nyuma hawakukidhi mahitaji ya mwajiri.....
Utumishi wanatafuta posho tena hasa vitengo vya taasisi kubwa(mishahara ya juu)..
Mama(Rais) atizame kwa jicho la tatu hapa Utumishi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], nchi ngumu sana hiii , ni ngumu kuwaelewa watendaji na wanasiasa.Asante Ndugu, kwa kutupa ushirikiano.
Ina maana hakuna programers, cyber security, Database administrators an other ICT field, walio fanya oral interview Waka baki kwenye database.
Wanangu wa ICT , nawapa pole sana, jiandaeni na interview, kwenye mkeka ampo kabisa Yan [emoji23],,
Tuandamane mpaka ng'ong'ona kwa Migiro YanUshalamba asali umesahau ulipotoka utumishi wanawatesa vijana hilo halipingiki. Suala la ucheleweshaji ni wao wenyewe kama taratibu bado wanatangaza ili iweje. Mama mwenyew amekiri utumishi ndio wanachelewesha utaratibu huku taasis zikisubiri mda mrefu lakin bado wewe unawatetea.
Pia jifunze kusimamia ukweli usipende kupelekwa na upepo.
Jobless wenzangu kuhusu PDF la database tuwadai tusikubali kabisa tunatumia mda mwingi na pesa nying alafu unafaulu then Kuna watu wanachomekwa kirahis tu wewe uliyepambana hupati nafasi
Ohooo, Pole sana mkuu.Dah inaumiza sana kada na TAASISI nilofanya usaili imetangaza Tena nafasi means kanzdata chenga
Tuandamane mpaka ng'ong'ona kwa Migiro Yan
Yeah eGA CPA analipwa mara karibu nne ya Mfamasia wa halmashauriHuku e-GA nasikia Asali inamwagika sana, kila la kheri wahusika kwenye kuipambania Asali
Yeah eGA CPA analipwa mara karibu nne ya Mfamasia wa halmashaurHuku e-GA nasikia Asali inamwagika sana, kila la kheri wahusika kwenye kuipambania Asali
Hawa ma ICT wanalipwaje eGA?Yeah eGA CPA analipwa mara karibu nne ya Mfamasia wa halmashaur
Vizuri Sana, wako juu kuliko traHawa ma ICT wanalipwaje eGA?
Sekretariet ipo chini ya Utumishi!!!hilo ombi linaweza kuwa limewafikia ila yajayo kwenye hiyo pdf....?maana wanaojua data base ni sekretarit hapo watachomeka watu hata oral hawajawai kufany ?Swali la kujiuliza dogo tuHata mm napenda kuwacheki Sekretarieti hasa kwa namba ya ttcl hvi anapokeaka mdada/mama yuko pisi sana mnaweza ongea hata lisaa lizima akakupa na faraja,
Nikamuulizia ishu ya mkeka wa database akanambia piga tena satisa then mi nikamcheki akanijibu hivii
- hilo suala halijafika mezani kwao ila wamelisikia kama mlivosikia ila kama utumishi watalileta mezani pa sekratariat basi wataanza kulifanyia kazi.
Hitimisho.nimebaini UTumishi ni mkubwa kuliko sekretariat ya ajira. so hawa sekretariat wanapokea order na kuzitekeleza kutoka utumishi kuu so nazani hili suala la database na ile idadi ya 1700+ ipo ila haijawekwa mezani official kuanza kufanyiwa kazi ama labda wanatekeleza ila hawatuambii cc.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] famasiala na asali nn?Mkishalamba asali mnakua hamuoni tena mapungufu..haya mkuu tumekuelewa
aiseehSekretariet ipo chini ya Utumishi!!!hilo ombi linaweza kuwa limewafikia ila yajayo kwenye hiyo pdf....?maana wanaojua data base ni sekretarit hapo watachomeka watu hata oral hawajawai kufany ?Swali la kujiuliza dogo tu
-Walioitwa TRA oral mwaka jana 2022 idadi ilikuwa watu 580-(down) waliowapangia kwenye kazi ni 500+ na bado kunawatu wanasema hawajakizi marks 50%
Baada ya Tangazo la Mh.Jenista Mhagama
-Walioitwa TRA oral mwaka huu idadi ilikuwa 790(down)waliopangiwa 180+
Hapo tutafakari hiyo Data base
Mh:Jenista Mhagama alikosea wakati anatangaza hilo Pdf lipo kwenye system ila kwa style ile tena sekretari wanafurahi tunapolalamika huku ndo maana ukiwauliza majibu yao wanakupa yakukuchochea uzidi kukoleza moto ili walambe Pesa kwa mgongo wa PDF
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], daaaa kweli usimuamini mwanasiasa sasa yule mh kujibalaguza mbele ya vyombo vya habari kwamba February kuna mkeka ndo nini sasa? Na huu ni mwezi March!!!!Nina imani na psrs .
Wale tunasubiri database la muhagama tujaribu kuwa Wapole kidogo jana nilipata bahati ya kuzungumza na afisa mmoja wa psrs.
Swali langu lilienda direct kuhusu mkeka wa database kama alivyosema Jennester Mhagama.
Jamaa alisema hivi ni kweli mkeka utakuwepo lakini mpaka sasa haijulikani ni lini kwa jinsi serikali inavyofanya kazi unaweza shangaa inapita hata miaka miwili kwa sababu mpaka sasa hakuna utekelezaji wowote wa hili suala .
Waziri alisema ndio ila watekelezaji ni psrs na wao wanasubiri mpango kazi kwa maboss na miongozo ya namna ya kulitekeleza hilo ila haiwezi kua ndani ya huu mwaka wa fedha.
Nawasilisha wakuu naomba msinipige mawe mimi nimewasilisha ujumbe tu.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hii nchi imekaa kama yale ma-bus ya zamani ya kwenda mikoani yalikuwa flat mbele na nyuma mpaka unashindwa kuelewa nyuma wapi na mbele ni wapi? Yani haileweki mh, alitoa ile kauli kwa kuwahadaa tuu watu au alikuwa anamaanisha?[emoji848]Kamba hiyo uongo haiwezi kuwa miaka 2 wakati huku watu bado wanaendelea kuingia kanzidata maelezo ya waziri yalisema mwezi wa 2 na sio miaka kama unavyosema. Tatizo utumishi jipu chungu wanachotoa matangazo ya kazi ni nini wakat database watu wapo.
Poa kanuni zao zinaelezea kabisa hawataitisha usahili ikiwa kanzidata ina watu means hapo wanatafuta posho tu hamna la ziada.
Kikubwa tumtafute mama atusaidie kwa hili au waziri mhusika mwenyew atupe maelekezo
Hapo kama kuna ukweli ndani yake, taratibu na miongozo ya kazi si itakuwa imekiukwa.Maelezo aliyokupa ni uongo kwasababu kuwa database ni miezi 12 baada ya placement. Sasa wewe unasema hata baada ya miaka miwili!
Wewe ni Mnafki.. Upo kazini miaka 9Mimi binafsi Niko serikalini miaka 9 nasaka mrija mpya wa asali huu nilio nao Sasa niwaachie wengine jobless wa mtaa
Mzee unasifia sana mishahara ya watu unaponda mingine[emoji1787]Dereva wa EWURA analipwa Salary zaidi ya 1.35m
Kingine hizo nafasi 1700+ zinaweza kuwa zipo ila idadi ya watu wa database ikawa pungufu, maana hakuna anayejua juu ya database. Mkashangaa ndo haya matangazo yanayotangazwa ya Nafasi za kazi.Hata mm napenda kuwacheki Sekretarieti hasa kwa namba ya ttcl hvi anapokeaka mdada/mama yuko pisi sana mnaweza ongea hata lisaa lizima akakupa na faraja,
Nikamuulizia ishu ya mkeka wa database akanambia piga tena satisa then mi nikamcheki akanijibu hivii
- hilo suala halijafika mezani kwao ila wamelisikia kama mlivosikia ila kama utumishi watalileta mezani pa sekratariat basi wataanza kulifanyia kazi.
Hitimisho.nimebaini UTumishi ni mkubwa kuliko sekretariat ya ajira. so hawa sekretariat wanapokea order na kuzitekeleza kutoka utumishi kuu so nazani hili suala la database na ile idadi ya 1700+ ipo ila haijawekwa mezani official kuanza kufanyiwa kazi ama labda wanatekeleza ila hawatuambii cc.