Mwangu1024
Member
- Feb 6, 2023
- 91
- 179
Daah huyu jamaa ni wa Joshua Sanaa haiwezekan Kama unahangaika Kama mm uanze kuponda wengne hata Kama ni laki mojaMzee unasifia sana mishahara ya watu unaponda mingine[emoji1787]
Wewe unalamba asali tokea pande zipi
Anyway mi najua hata ukiwa ticha ukipamba kuanzia m Moja wewe uko vizuri [emoji1]sema umekosea posho tu.
Wewe unainyonya asali ya mama tokea mrija upi!?
Kuna watu kutoka Database nimeona kwa sababu walipopangiwa sikuona tangazo la kazi la hizo taasisi.Kuna kamkeka kengine wameweka Sasa iv chungulien
Nchi hii ya kwetu sote, haipendezi watu tuliowapa majukumu ya kutusimamia ,wanatusaliti.Kabla hamja andamana ni bora mngeandika barua ya wazi kwa waziri husika ama straight kwa Mama ila maandamano hapana.
KBKuna watu kutoka Database nimeona kwa sababu walipopangiwa sikuona tangazo la kazi la hizo taasisi.
Nalamba asali nikiwa kijiweniMzee unasifia sana mishahara ya watu unaponda mingine[emoji1787]
Wewe unalamba asali tokea pande zipi
Anyway mi najua hata ukiwa ticha ukipamba kuanzia m Moja wewe uko vizuri [emoji1]sema umekosea posho tu.
Wewe unainyonya asali ya mama tokea mrija upi!?
😂😂😂😂 kuna Tangazo moja la veta lilitoka 14 june,2022 mpaka leo hakuna short list, nikiri katika hili mchakato ungefanywa na VETA wenyewe siku nyingi watu wangekua mzigoniHii ina kaukwel kidogo tangazo litoke mwezi juni 2022 usail February 2023, hapo status mabadiliko kibao, Mtu Mda wote kiroho Juu juu,
Moja ya TATIZO kuu ni upungufu wa wafanyakazi.Kwa upande wangu naona PSRS Wana afadhali maradufu.
Siku hizi watoto wa masikini wanapata kazi
Sahili zikirudi kwenge taasisi binafsi tumekwisha
Mambo ya-
"Mwambie aje aanze kazi jumatatu"
"Baba kanituma.."
"nipe utamu basi nikupe kazi..."
"Nipe milioni 1 nikufanyie connection..."
"aaah yule si wa machame, Kagera, same... Mlete tu"
Hayo mambo yatarudi kwa Kasi kubwa sana.
Ni kweli utumishi Wana mapungufu yao ni jambo zuri kutafuta mbinu za kuyapunguza mapungufu kama sio kuyaondoa kabisa
Watoto wa masikini wote pigeni Sala zenu mandate ya kufanya usaili isirudi mashirikani, mtakuwa mmekwisha.
Mimi binafsi Niko serikalini miaka 9 nasaka mrija mpya wa asali huu nilio nao Sasa niwaachie wengine jobless wa mtaa
Unafiki wangu niachie mwenyeweWewe ni Mnafki.. Upo kazini miaka 9
Uliingiaje kazini? Au PSRS ndio walikupa placement?
Au wewe mtoto wa TAJIRI?
MAANA umesema watt wa maskini hawawez kutoboa kama utaratibu si wa PSRS!
Umepata kazi kupitia PSRS au kabla ya PSRS?
Alafu simple TU .Hamna cha subra hapo kikubwa tuandamane uzuri mama anapenda demokrasia na haki tusikubali kuteseka na kuonewa
Tuwasagie kunguni utumishi
unawajua kumbe, hongera.Kuna watu kutoka Database nimeona kwa sababu walipopangiwa sikuona tangazo la kazi la hizo taasisi.
Nahisi lile tangazo walilopuuza labda, waliona waahirishe tuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna Tangazo moja la veta lilitoka 14 june,2022 mpaka leo hakuna short list, nikiri katika hili mchakato ungefanywa na VETA wenyewe siku nyingi watu wangekua mzigoni
mmmhDatabase inatema cheche mm mwenyewe ni mmoja wapo niliopataga via data base na nimeona watu wengine leo nao wajua nilifanya nao wamekula asali ya database, haya mambo ni suala la muda tu safi sana.
Kuna watu kutoka Database nimeona kwa sababu walipopangiwa sikuona tangazo la kazi la hizo taasisi.
Tupieni pdf humu.Kuna kamkeka kengine wameweka Sasa iv chungulien
Kiongozi Ndugu zako Nini Hawa?
Hujamuelewa Mwifwa,ni kwamba Veta hawakutangaza nafasi za kazi katika post hizo walizopangiwa wadau,hii inamaanisha hizo post zote ni kutoka database na mm nakubaliana na mwifwa sijawai kuona tangazo la veta lenye post zilizochukua wadau leo katika pdfKiongozi Ndugu zako Nini Hawa?
Ahsante kwa ufafanuzi mkandajiDatabase inatema cheche mm mwenyewe ni mmoja wapo niliopataga via data base na nimeona watu wengine leo nao wajua nilifanya nao wamekula asali ya database, haya mambo ni suala la muda tu safi sana.
hii pdf ya leo kuna unaye mfahamu mkuu?Database inatema cheche mm mwenyewe ni mmoja wapo niliopataga via data base na nimeona watu wengine leo nao wajua nilifanya nao wamekula asali ya database, haya mambo ni suala la muda tu safi sana.
unawajua kumbe, hongera.
Sio kuwajua,VETA hawakutangaza nafasi za post zilizochukua watu kwenye pdf leo ,kwa hiyo hao ni wa database moja kwa mojaunawajua kumbe, hongera.