HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hata watoe pdf ya GB unaweza usiwemo pia. pamoja na jitihada zetu lakini kama wakati wako haujafika huwezi kutoboa. tuwapongeze waliopata. na tuwe na matumaini siku yetu itafika.
Htr tuzidi kuomba mungu...waliopata hongerni sana mukawe watumishi wema mkumbuke ugumu wa kupata mrija itawasiaidia kuwa waadilifu
 
Wanavyoandika 23-28Nov waliofanya usail wanamaanisha nn!!!
 
Wewe nae mjinga na limbukeni kauli ya watoto maskin ilikua ya mwendazake kila mtu ana haki ya kupata kazi awe tajir au maskin hivyo usiwatetee psrs kwa kuwahadaa maskin
 
Huu uzi kwa sasa umejaa watoa lawama kuliko wafariji. Negativity imechukua nafasi kuliko positivity. Kuna muda nasoma humu hizi comment naishia kushukuru kimoyo moyo kwa kulamba asali maana ningekuwa na hali mbaya sana kimawazo kupitia comments za humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…