monoclinic
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 262
- 323
Kwa upande wangu naona PSRS Wana afadhali maradufu.
Siku hizi watoto wa masikini wanapata kazi
Sahili zikirudi kwenge taasisi binafsi tumekwisha
Mambo ya-
"Mwambie aje aanze kazi jumatatu"
"Baba kanituma.."
"nipe utamu basi nikupe kazi..."
"Nipe milioni 1 nikufanyie connection..."
"aaah yule si wa machame, Kagera, same... Mlete tu"
Hayo mambo yatarudi kwa Kasi kubwa sana.
Ni kweli utumishi Wana mapungufu yao ni jambo zuri kutafuta mbinu za kuyapunguza mapungufu kama sio kuyaondoa kabisa
Watoto wa masikini wote pigeni Sala zenu mandate ya kufanya usaili isirudi mashirikani, mtakuwa mmekwisha.
Mimi binafsi Niko serikalini miaka 9 nasaka mrija mpya wa asali huu nilio nao Sasa niwaachie wengine jobless wa mtaa
Sawa malafyaleHujamuelewa Mwifwa,ni kwamba Veta hawakutangaza nafasi za kazi katika post hizo walizopangiwa wadau,hii inamaanisha hizo post zote ni kutoka database na mm nakubaliana na mwifwa sijawai kuona tangazo la veta lenye post zilizochukua wadau leo katika pdf
Sio lazima taasisi na mashirika kutuma post utumishi sawa nduguWakuu hivi kwanini baadhi ya kazi nyingine ambazo hitolewaa na taasisi za serikali lakini ajira portal hawaziweki. Mfano Kuna kipindi EWURA walitangaza nafasi za kazi lakini ajira portal wao hawakuweka, tareh 13 mwezi huu TEMESA nao pia walitangaza nafasi za ajira lakini hivyo hivyo ajira portal hawajaweka. Kwa anaefaham naomba anieleweshe
Ulicho Sema ni ukweli 💯
Database hamna,Kingine hizo nafasi 1700+ zinaweza kuwa zipo ila idadi ya watu wa database ikawa pungufu, maana hakuna anayejua juu ya database. Mkashangaa ndo haya matangazo yanayotangazwa ya Nafasi za kazi.
Database si hyo mkuu inatoka mdgo mdgo hawawez kutoa zote 1700 wale ngumu sn hiyo tubsrie tu hiz hizi kb huenda tukapitiwa na akina sieDatabase hamna,
Tuandamane TU
Database Gani unayo izungumzia nduguSio kuwajua,VETA hawakutangaza nafasi za post zilizochukua watu kwenye pdf leo ,kwa hiyo hao ni wa database moja kwa moja
Sema kuna PSRS kuna mwanya mdogo usiseme hamna mwanya kbsaPSRS waendelee na kazi bado taasisi haziwezi kuajiri kwa usawa. Watu weusi tuna weakness sana kwenye RUSHWA na UNDUGU kama mfumo ukiwa lege lege, Mfumo wa PSRS ni mgumu sana usio na mianya ya kipuuzi.
Na ndio chanzo cha wafanyakazi wengi kukosa weledi na kuchelewesha maendeleo. Acha PSRS wapitishe chujio.
Hata kama kuna mwanya kidogo huwezi kufananisha na taasisi. Hapo nyuma TRA iliwahi kujaza waajiriwa kutoka pande zote za TARAKEA mpaka HIMO[emoji1]Sema kuna PSRS kuna mwanya mdogo usiseme hamna mwanya kbsa
Mpk nw ipo hivy sema % zinapungua kila mwakaHata kama kuna mwanya kidogo huwezi kufananisha na taasisi. Hapo nyuma TRA iliwahi kujaza waajiriwa kutoka pande zote za TARAKEA mpaka HIMO[emoji1]
Shukrani mkuu lakini nimepata taarifa kamili kua ajira za muda hua haziwekwi ajira portal.Sio lazima taasisi na mashirika kutuma post utumishi sawa ndugu
May be presentation inakosewa issue si mtoto wa masikini au Tajiri, issue ni standards zinazowapima watu wote kwa usawa. Issue ni QUALIFICATIONS no matter wewe ni nani.Wakuu hamna tuzo ya kuteseka na sio kwamba ukipitia mateso ndio utapata raha badae. Nashangaa kila mtu mtoto wa maskin kapata Kaz kupitia utumishi Yan ni huzun kwa kweli kwani matajiri hawapati kupitia utumishi.
Nashangaa kuona mtu anafurahia kujiita mtoto wa maskin na mtu umepata elimu.
Ukiona tatizo mahali jaribu kupambana nalo na kujua hitimisho lake sio kukubali na kuvumilia kisa wewe ni mtoto wa maskin asa umesoma ili nini kama fikra zako hazijafunguka
Tuache roho mbaya ya kufurahia tajiri akiteseka au akikosa fursa Fulani aliyabarikiwa kabarikiwa tu aliyekupita kakupita huwezi kumshusha kwa maneno. Hata watoto wa matajiri wakipats kazi ni sawa na maendeleo yatakuwepo na pia watawaajiri na nyinyi msiokua na kazi.
Wanasema ajira za muda kumbe ni permanent kabisa Kwan mtajua😁Shukrani mkuu lakini nimepata taarifa kamili kua ajira za muda hua haziwekwi ajira portal.
Yeah hapo umesema sawa waache kila saa mtoto wa maskin mtoto wa maskin hamna tuzo utayopewaMay be presentation inakosewa issue si mtoto wa masikini au Tajiri, issue ni standards zinazowapima watu wote kwa usawa. Issue ni QUALIFICATIONS no matter wewe ni nani.
Binafsi siwezi kufurahia kum-undermine tajiri ila ni furaha kwangu napoona watu wote wanapimwa sawa
Hapa kuna kupata kazi kwel kwa staili hii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nina imani na psrs .
Wale tunasubiri database la muhagama tujaribu kuwa Wapole kidogo jana nilipata bahati ya kuzungumza na afisa mmoja wa psrs.
Swali langu lilienda direct kuhusu mkeka wa database kama alivyosema Jennester Mhagama.
Jamaa alisema hivi ni kweli mkeka utakuwepo lakini mpaka sasa haijulikani ni lini kwa jinsi serikali inavyofanya kazi unaweza shangaa inapita hata miaka miwili kwa sababu mpaka sasa hakuna utekelezaji wowote wa hili suala .
Waziri alisema ndio ila watekelezaji ni psrs na wao wanasubiri mpango kazi kwa maboss na miongozo ya namna ya kulitekeleza hilo ila haiwezi kua ndani ya huu mwaka wa fedha.
Nawasilisha wakuu naomba msinipige mawe mimi nimewasilisha ujumbe tu.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app