HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kwa maana rahisi watu wasitarajie kuitwa kwenye taasisi kama Tra, EWURA, LATRA,tasac, TPA,tpdc, Pura, TANAPA, eGA nk nk
Mimi kuna wadau wa karibu mno wamekula asali hapo TpA kutokea Database,,, Na kuna mtoto wa jirani hapa yeye alifanya oral ya tanapa security guard ila amekula shavu tpA kama security guard na sasa hivi anaendelea kula asali
 
Tabia za kipumbavu sana hizo ,
 
Yah ni hvyo wanazitoa taratibu za MDA & LGA, So sio wote wanaokua kwenye mkeka ni database.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi pia nimegundua kitu hiki pia ..wameshaanza kutoa placement kwa wale wa MDA LGA hasa wale waliofanya November. Mfano ni kada ya sheria na quantity surveyor QS na wahasibu( sio afisa hesabu ) na hata muhadrolojia maabara pia nimeona.

Hongera mama samia unaupiga mwingi. Hongera PSRS na utumishi mnajitahidi sana
 
Nazungumzia kazi za kiofisa
Kazi za kiofisa ni Mimi mmoja wapo TRA 2020 position ya Accountant II, nilitokea database. Kutokea database haimaanishi ulikua best loser. Inamaanisha ulifaulu usahili ila nafasi zilikua chache. Mfano kwenye oral mmeingia watano but kwawakati huo nafasi ilikua 1, wakwanza kapata 90, wapili 85, watatu 70, then wawili wakapata below 50. Kiuhalisia hao watatu wakwanza wote wamefaulu, Ila kwakua nafasi ilikua moja kwa wakati huo atachukuliwa wakwanza mwenye90 then hao wawili wanawekwa database
 
Na nafasi niliyoomba mwanzo nikaikosa haikua ya asali kubwa kuliko shavu nililopata kutokea database. Ya mwanzo ilikua Accountant wa chuo nikaikosa, nikaja kulamba shavu TRA tokea database
 
Kweli kuna mtu alifanya accountant grade II tarehe 23/11/22 amepangiwa Veta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…