hadi nmekasrika sana kwa huyo mhanga aliepiga oral af akaletewa mauza uza
PSRS wawe wakali kwenye haya masuala wao si ndio wanaotoa kibali cha utumishi au mm ndo sielewi vizuri hapo?
Isije ikawa wanachukua tu watoto wa " baba kantuma" , hivo vi pdf vya mchongo kb nina mashaka navyo ,Period , kama ni kutoa mkeka watoe mkeka moja ulioshiba ieleweke , watu walioko Data base wachukuliwe wapangiwe kazi waende ,kuna uhaba wa watumishi ,Taasisi kama TANESCO sijui hata mara ya mwisho kuajiri ilikuwa ni lini ,ina maana watumishi kule huwa hawafi au kustaafu ?, Hivi vi pdf kama texts za mtu anayetongoza mke wa mtu ,ni upuuz .Sio kuwajua,VETA hawakutangaza nafasi za post zilizochukua watu kwenye pdf leo ,kwa hiyo hao ni wa database moja kwa moja
- umeona sasa Mimi nazungumzia kipindi hiki.2020
- umeona sasa Mimi nazungumzia kipindi hiki.
Still nyie mliobaki mliokuwa BestlooserKazi za kiofisa ni Mimi mmoja wapo TRA 2020 position ya Accountant II, nilitokea database. Kutokea database haimaanishi ulikua best loser. Inamaanisha ulifaulu usahili ila nafasi zilikua chache. Mfano kwenye oral mmeingia watano but kwawakati huo nafasi ilikua 1, wakwanza kapata 90, wapili 85, watatu 70, then wawili wakapata below 50. Kiuhalisia hao watatu wakwanza wote wamefaulu, Ila kwakua nafasi ilikua moja kwa wakati huo atachukuliwa wakwanza mwenye90 then hao wawili wanawekwa database
Taja wewe Nafasi zilikuwa ngapKwanzia lin, had Lin? Unakumbuka nafasi zilizotangazwa mwez October 2021 interview ikafanyika mwez march 2022. Kwenye tangazo mfano position ya Tax management officer walikua wanatakiwa wangapi na kazin wakaitwa wangap
Kwa waliofanikiwa kuingia oral kipindi kile na kupata kuanzia 50 wote waliitwa kazin. Ndo tangazo likatoka tenaKwanzia lin, had Lin? Unakumbuka nafasi zilizotangazwa mwez October 2021 interview ikafanyika mwez march 2022. Kwenye tangazo mfano position ya Tax management officer walikua wanatakiwa wangapi na kazin wakaitwa wangap
Ila nipo tra nakula asaliStill nyie mliobaki mliokuwa Bestlooser
Hongera yako wewe best performerIla nipo tra nakula asali
Kwa hiyo ukiwa tra unaona umemaliza Kila kitu! Unawaza locallyIla nipo tra nakula asali
hongera sana mzee baba ukawe mtumishi mwemaMie Leo nimelamba asali ashukuriwe Mungu,,,
Mbona makasiriko tena, nilikua nataka kukuprove kuhusu databaseKwa hiyo ukiwa tra unaona umemaliza Kila kitu! Unawaza locally
Mimi nilikuwa nazungmzia database ya kipindi hiki,Mbona makasiriko tena, nilikua nataka kukuprove kuhusu database
Ahsante kwa muongozo mh mka..nda..ji..Wale wa AFYA mkaongeze received huko ministry of Health(MOH).
Hongera na kila la kheri mkuu, Ukawe Mtumishi mwema!Mie Leo nimelamba asali ashukuriwe Mungu,,,
AMINA SANAAAAA[emoji120][emoji16]Bado ila utakula placement Tantrade, wizarani, Brela au TIC. Sema amina
Hahahaa, wizy alianza mtindo huu naona na wengine wameufuata.hongera sana mzee baba ukawe mtumishi mwema
ila nina swali kwann wengi humu mnaolamba asali mnatumia akaunti mpya kuja kutoa ushuhuda??? hamtumii akaunti zenu tunazokandana kwenye hii thread
Sorry kiongoz, hatukuelewana naomba tusamehaneMimi nilikuwa nazungmzia database ya kipindi hiki,
Hongera sana kwa kulamba asaliMie Leo nimelamba asali ashukuriwe Mungu,,,