[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1], daaa kweli huu uzi unapitia vipindi vingi sana. Kipindi cha nyuma ilikuwa na status, ikaja placement, database, salary, sasahv watu wanavimbiana kuhusu asali. Haya bhana kazi iendeleee...Kwa taarifa yako tu ni kwamba last week nimelamba ASALI tena Asali nzito ile nyeusiiiiii... Hata ukidilute kwa maji lita 100 utamu upo pale pale.
Endelea kujitapa Mkuu.
Msichofahamu ni kwamba MDA & LGA washaanza kutoa placement taratibu, ndio hizo nafasi mnazoana watu wanapata. Kama baadhi waliofanya usaili November washaanza kupangiwa vituo. So zingine sio database ni zile za MDA & LGA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unalamba asali ya mavi ?Database inatema cheche mm mwenyewe ni mmoja wapo niliopataga via data base na nimeona watu wengine leo nao wajua nilifanya nao wamekula asali ya database, haya mambo ni suala la muda tu safi sana.
Ni kweli Raisi Samia hanashida kabisa.Tuendelee kupambana mama yetu SSH Ana nia njema na vijana
JE posho zikiondolewa , Ilo chujio litachuja mchangaPSRS waendelee na kazi bado taasisi haziwezi kuajiri kwa usawa. Watu weusi tuna weakness sana kwenye RUSHWA na UNDUGU kama mfumo ukiwa lege lege, Mfumo wa PSRS ni mgumu sana usio na mianya ya kipuuzi.
Na ndio chanzo cha wafanyakazi wengi kukosa weledi na kuchelewesha maendeleo. Acha PSRS wapitishe chujio.
Shida ni psrs 👈 Hawa wametela matatizo makubwa sanaNi suala la muda sawa ila kwa kucheleweshwa huku kunakoendelea haijakaa vzr!
Ukitembelea maofisi mengi ya umma utakuta kuna upungufu mkubwa wa wafanyakazi
Ukifuatilia idadi ya wenye taaluma za kuweza kufanya hizo kazi wamerundikana mtaaani...unajiuliza nini shida..tatzo lipo wapi??? Anyway mine are eyes let me be patient
Accountant IIprofession gani
Wanasema database ni mabest losser😂TRA ndo mabingwa wa database sasa kama hujui hahahah!
Haya ni makasiriko mkuu[emoji1787][emoji1787] au shida ni ipi hapoUnalamba asali ya mavi ?
Kwa hiyo database inabidi uwe na marks 85😂Kazi za kiofisa ni Mimi mmoja wapo TRA 2020 position ya Accountant II, nilitokea database. Kutokea database haimaanishi ulikua best loser. Inamaanisha ulifaulu usahili ila nafasi zilikua chache. Mfano kwenye oral mmeingia watano but kwawakati huo nafasi ilikua 1, wakwanza kapata 90, wapili 85, watatu 70, then wawili wakapata below 50. Kiuhalisia hao watatu wakwanza wote wamefaulu, Ila kwakua nafasi ilikua moja kwa wakati huo atachukuliwa wakwanza mwenye90 then hao wawili wanawekwa database
Wewe ni muongo MzeeHaya ni makasiriko mkuu[emoji1787][emoji1787] au shida ni ipi hapo
Uongo umeingiaje hapo, uongo wangu upo wapi?Wewe ni muongo Mzee
Daah mkuu wewe una shida, ina maana sheria ya utumishi ufaulu wa oral si inajulikana kuanzia 50 na yeye katolea mfano tu hapoKwa hiyo database inabidi uwe na marks 85[emoji23]
Kwanzia 50Kwa hiyo database inabidi uwe na marks 85😂
Hahaha Asali yangu sio ya hawa wababaifu hii kutoka Nchi za NATO... Haina cha selected for Null wala selected for nyoko.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1], daaa kweli huu uzi unapitia vipindi vingi sana. Kipindi cha nyuma ilikuwa na status, ikaja placement, database, salary, sasahv watu wanavimbiana kuhusu asali. Haya bhana kazi iendeleee...
Sent using Jamii Forums mobile app
NDio database ni second selection, kama ulisoma la 7 kipindi Cha nyuma utakuwa unakumbukaDaah!!! Baada ya neno kukanda/kukandwa kukubalika na wengi,... Neno "best loser" liko katika mchakato.
Hakika! Uzi unapitia katika vipindi tofauti katika ukuaji.