We waache waandike ujinga tu , tunaona vijana wenzetu wanavyosuffer kitaa huku ,wao wanaleta uzwazwa hapa .Daaah...
Hapo nyuma kidogo kabla ya baadhi yetu kupungua kutoka ujobless kwenda kwenye mirija ya asali lugha ilkuwa moja
Sasa hv naona tunaparuana balaaa....
Kushajengeka dhana ya watoto wa maskini na matajiri...
Wenye kulamba asali na ambao bado hawajalamba asali.....
Mm nishasema hata nikilamba asali haitanifanya kunyamazia mapungu ya wazi kabisa yanayotokana PSRS na wote watoa mirija ya asali.....na sio vyema vijana kuendelea kunangana sisi kwa sisi badala ya kusimama kwa pamoja
Wanaoilalamikia UTUMISHI wasionekane wana nongwa kisa tu hawajatoboa.......mapungufu ya utumishi aiseeee yanastressisha basi tu ukishatoboa waweza waona wenzio kama wazembe na wasiojituma kabisa
Na haya ndio matokeo ya interview za kukalili....I am outNasikia dar kuna vituo vya tuition kabisa juu ya usaili psrs unakumbushia ya chuo? Kuna mwamba nilimsikia akionge,yeye alienda kupiga usaili wa tra akakutana na watu wanaulizana vituo wanavyosoma tuition[emoji23] watu wana hasira na asali mzee
Dah na hivi vikeka vya kb duh safar bado ndefu snaaaNipo kiwanda cha korie -wilmar hapa sido dsm .kibarua ni 5k ukiotea kitengo ni 8k per dei ila kulipwa mpaka yesu ashuke kila leo utaambiwa malipo kesho,
unaweza jiona slave in ure homeland . kukosa mrija wa asali kusikie kwa mtu sawadogo nimepauka balaa, huyu maza mhagama angeifafanua kauli yake maana tz kijana kama huna mishe ni afadhali kuzimu
tena safari bado mbichiiDah na hivi vikeka vya kb duh safar bado ndefu snaaa
8000 kwa siku alafu ya kuzungushwa, Kwani wewe binafsi una ujuzi gani mkuu?Nipo kiwanda cha korie -wilmar hapa sido dsm .kibarua ni 5k ukiotea kitengo ni 8k per dei ila kulipwa mpaka yesu ashuke kila leo utaambiwa malipo kesho,
unaweza jiona slave in ure homeland . kukosa mrija wa asali kusikie kwa mtu sawadogo nimepauka balaa, huyu maza mhagama angeifafanua kauli yake maana tz kijana kama huna mishe ni afadhali kuzimu
Kaka unasubiri database ya usaili/Saili zipi?Nipo kiwanda cha korie -wilmar hapa sido dsm .kibarua ni 5k ukiotea kitengo ni 8k per dei ila kulipwa mpaka yesu ashuke kila leo utaambiwa malipo kesho,
unaweza jiona slave in ure homeland . kukosa mrija wa asali kusikie kwa mtu sawadogo nimepauka balaa, huyu maza mhagama angeifafanua kauli yake maana tz kijana kama huna mishe ni afadhali kuzimu
Dahhh!!tena safari bado mbichii
una scrow majina 10, tayari pdf imeisha haloo
Haya mambo kaka ni suala la muda tu wakati wako ukifika, utashangaa mambo yote yanaenda sawa, Mungu ni mwema kwetu sisi wote na kila mtu atapata asali kwa wakati wake. Hamna kukata tamaa kaka mpk kieleweke na kama una received yoyote piga msuli heavy.Dahhh!!
Mm ku scrow mpk nimechoka saa hizi na download PDF then naenda search na weka jina naweka herufi moja moja then result inasoma ila jinsj navyozidi kuandika jina mwshon inanambia result no found, kwa ujungu hapoo hapoo na futa na hiyo PDF then nashusha pumzi najifariji one day yes! Huu mwaka haotoisha bila kupata asali
Asanteh Broo...Haya mambo kaka ni suala la muda tu wakati wako ukifika, utashangaa mambo yote yanaenda sawa, Mungu ni mwema kwetu sisi wote na kila mtu atapata asali kwa wakati wake. Hamna kukata tamaa kaka mpk kieleweke na kama una received yoyote piga msuli heavy.
Aluta continua, mapambano yaendelee kaka, naamini mazuri yanakuja mbeleni, napenda sana kuona vijana mnaongezeka kwenye dimbwi la asali , its matter of time...Asanteh Broo...
Tunasikitika lkn hatukati tamaa n "aluta continua"
Mbona mm ndio najua hivyo [emoji849]Kwa hiyo wakitoana wanatoa ktk mfumo gani!? Naomba unifumbue machoWatu wasichofaham wanafikiri psrs watatoa mkeka wa placement ulioandikwa MDA & LGA, kumbe ki uhalisia haiko hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma majina mkuu, wakati mwingine wanaweza kuikosea herufi moja ya jina lako ukakosa kujiona kumbe upo ndani.Dahhh!!
Mm ku scrow mpk nimechoka saa hizi na download PDF then naenda search na weka jina naweka herufi moja moja then result inasoma ila jinsj navyozidi kuandika jina mwshon inanambia result no found, kwa ujungu hapoo hapoo na futa na hiyo PDF then nashusha pumzi najifariji one day yes! Huu mwaka haotoisha bila kupata asali
Kuna dada mmoja namjua aliitwa police. Yupo dawati la jinsia na amesomea sociology. Hajui hata kupiga saluti. Mwingine ni IT. Huyu dogo ni balaa kwenye maswala ya tech. Alisomea UK, sasa hivi yupo polisi kitengo cha cyber na hajaenda depo.
Nafasi za kazi kibao zipo serklin lakn psrs wanabana bana sjui hata kwa nn wanakua kama wauza nyama buchani hela wanataka na nyama wantamni kubaki nayo kukukatia mnofu anaona jau
Nafikiri wewe ndio ni MJINGA kwa sababu hujaelewa nilikua nazungumzia nini acha kukurupuka kipimbi mkuuMkuu samahani lakini hebu jitahidi kuficha ujinga. Tangu lini PSRS akawa na jukumu la kutoa vibali vya ajira??? Aisee
Niliongea habri ya vibali pale?au una mihemuko tu mzeeMkuu samahani lakini hebu jitahidi kuficha ujinga. Tangu lini PSRS akawa na jukumu la kutoa vibali vya ajira??? Aisee