HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Oi vijana mlio pata mirija ya asali na wengine HAta control number hamjapewa, kuweni na heshima Kwan huo ndio utumishi Bora, na una onekana umeelimika vya kutosha

Kuna maisha baada ya kupata mrija wa asali nyie, mtakuja kumbuka apa mjini Aya
 
Mkuu kukosa kazi kusikufanye ushindwe kutumia akili reasonably. Wenzio wote wanafanya saili na wanapata wewe hauna content unakandwa kutwa kuwalalamikia PSRS.

Nashauri ujifue ujue vitu uwe competent uweze kushindana kwenye soko la ajira.
Wenzangu na nani?kuna mtu nilikuja nae hapa kwenye jukwaa?unaongea kama vile unfikria kupitia tumbo
 
Jah bless us
 
humu ni mbeba ndoo za korie mkuu
tukija class mm nina bachelor ya uchumi
Usikate tamaa Mungu yu pamoja na wewe ....Ipo siku faraja/tumain litakuja kiongozi....usichoke kutafuta kiongozi usisikilize maneno ya watu yanayokatisha tamaa mshirikishe Mungu kwa kila jambo unalofanya...
Mama(Rais) anamatumain sana na vijana katika utendaji kazi
Ipo siku Asali utapata....
 
yaah champ
 
Kwa dalili ninazoziona hapa vijana wamaweza kwenda kumpiga mawe kitenge maana si makasirikiano haya๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Huyo ni mpuuzi sijawahi mquote hata siku 1 leo anakuja nyenyenyee hata kuandika kwenyewe kunampa shida ndio atoe ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ