HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Duh 100k usd??
 
Mzee wa migration...

Upo sehemu salama kabisa mwaka huu wizara ya kilimo itachukua watu wa kutoshaaa,,

Yaan nchi inataka ilimee haswaa,

Hapo ulipo jipige kifua sema huu mwaka kopo la asali ntaingia
Saana sana, wajiandae kisaikolojia na kuomba sana, Mungu ni mwema wizara ina jambo lake huu mwaka muda wowote wanachukuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…