HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Umeongea kwa uchungu sana😥😥😁
 
Idadi yao imetumia wengine ni magalasa

Ebwana najiondoaje humu? sitaki kuuona huu uzi mimi
 
Kwani zile interview si zilikua zinaitwa MDA/LGA
Inawezekana ni za ministry kwenye MDA
MDA -Ministries, Departments, Agencies

LGA- Local Goverments Authorities

Ukielewe maana ya hayo maneno mawili ndo utaelewa sehemu kubwa ya hayo majina ya hivi vipidiefu vinavyotoka ni MDA na LGA, kwa hiyo wanawachukua mdogo mdogo tu, Cha msingi angalia tarehe ya interview utagundua
 
NAOMBA KUULIZA.

Kuna watu walipangiwa kituo cha kazi kupitia database kwa cozi za utawala kama HR,PUBLIC ADMINISTRATION?

Naombeni majibu ndugu zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…