Database haichagui kada, inategemea na nafasi uliyoomba pamoja na nafasi iliyopatikana kama vina uhusiano, pia na ufaulu wako kwenye oral. Wapo wengi tuNAOMBA KUULIZA.
Kuna watu walipangiwa kituo cha kazi kupitia database kwa cozi za utawala kama HR,PUBLIC ADMINISTRATION?
Naombeni majibu ndugu zangu.
Nd tuna wait mzee ila nao wanachelewesh kdgSubiria utaitwa
Kwaio kila kitu wanakamilisha wenyewe, lkn nao pia wanachelewesh km utumish tUtumishi hawausiki mkuu kabisa na takukuru
Mfano huoNAOMBA KUULIZA.
Kuna watu walipangiwa kituo cha kazi kupitia database kwa cozi za utawala kama HR,PUBLIC ADMINISTRATION?
Naombeni majibu ndugu zangu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Doooooh.....View attachment 2556143
Brother, Kukosa Kazi PSRS haimaanishi kwamba hauna content au wewe sio competent. Wale jamaa wanamapungufu yao mengi tu. Mie nilifanya Oral 3 moja nimeikosa (nahisi nipo Database) mbili hazijarudi.Mkuu kukosa kazi kusikufanye ushindwe kutumia akili reasonably. Wenzio wote wanafanya saili na wanapata wewe hauna content unakandwa kutwa kuwalalamikia PSRS.
Nashauri ujifue ujue vitu uwe competent uweze kushindana kwenye soko la ajira.
Mtu akipata Kazi huko Serikalini anaungana na anakubali mapungufu ya PSRS na anakuw upande wao. Hii nchi ina Wanafki wengi sana.Daaah...
Hapo nyuma kidogo kabla ya baadhi yetu kupungua kutoka ujobless kwenda kwenye mirija ya asali lugha ilkuwa moja
Sasa hv naona tunaparuana balaaa....
Kushajengeka dhana ya watoto wa maskini na matajiri...
Wenye kulamba asali na ambao bado hawajalamba asali.....
Mm nishasema hata nikilamba asali haitanifanya kunyamazia mapungu ya wazi kabisa yanayotokana PSRS na wote watoa mirija ya asali.....na sio vyema vijana kuendelea kunangana sisi kwa sisi badala ya kusimama kwa pamoja
Wanaoilalamikia UTUMISHI wasionekane wana nongwa kisa tu hawajatoboa.......mapungufu ya utumishi aiseeee yanastressisha basi tu ukishatoboa waweza waona wenzio kama wazembe na wasiojituma kabisa
Huwezi kujipima uwezo wako wa kufanya interview PSRSBrother, Kukosa Kazi PSRS haimaanishi kwamba hauna content au wewe sio competent.
Wale jamaa wanamapungufu yao mengi tu..
Mie nilifanya Oral 3 moja nimeikosa (nahisi nipo Database) mbili hazijarudi.
Ila bahati nzuri nimepata kazi Int Org(__) recently. Hao PSRS wanazingua sana ktk sahili zao hata ujipangeje ni Mungu tu akunyooshee nothing about competence huko.
Exactly..Huwezi kujipima uwezo wako wa kufanya interview PSRS
Hivi mkuu, NAOT huwa wanakagua Data na Kufanya Data verification za afyaNaunga mkono hoja, Utumishi waendelee ingawa wana mapungufu yao pia.
Daaaaa, NAOT ni wakaguz wa hesabu za serikaliHivi mkuu, NAOT huwa wanakagua Data na Kufanya Data verification za afya
Kuna sehemu mkaguzi wa hesabu hawezi kukagua kwa ukamilifu pasipokuwa na mtu wa kadi husika hasa sekta ya afya.Hivi mkuu, NAOT huwa wanakagua Data na Kufanya Data verification za afya
Hongera sanaa mkuu.Brother, Kukosa Kazi PSRS haimaanishi kwamba hauna content au wewe sio competent.
Wale jamaa wanamapungufu yao mengi tu..
Mie nilifanya Oral 3 moja nimeikosa (nahisi nipo Database) mbili hazijarudi.
Ila bahati nzuri nimepata kazi Int Org(__) recently. Hao PSRS wanazingua sana ktk sahili zao hata ujipangeje ni Mungu tu akunyooshee nothing about competence huko.
Asante mkuuDatabase haichagui kada, inategemea na nafasi uliyoomba pamoja na nafasi iliyopatikana kama vina uhusiano, pia na ufaulu wako kwenye oral. Wapo wengi tu
Mkuu una adimika sanaa, huu uzi umepungukiwa na watu wenye kariba kama ya kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amina sana ndugu yangu nina imani katika mungu na sala zako zikasindikize baraka hizo inshallah
Amina sana ndugu yangu nina imani katika mungu na sala zako zikasindikize baraka hizo inshallah
Kuna aina hizi za ukaguzi ambazo zinaweza kujibu hoja yako.Hivi mkuu, NAOT huwa wanakagua Data na Kufanya Data verification za afya