Utumishi wanaenda mbele na kurudi nyuma, hawaeleweki. Ukiwaza kwamba sasahv watatoa pdf la February unashangaa wametoa la October.November na December bado kwani? Waingie January na February sasa.
Tunafanya nao kupitia psrs ya bara, yan hata post za MDAs na LGAs nao walifanya interview pamoja na watu wa bara. Written walifanya Zanzibar, oral wakaja utumishi DodomaOi watafuta mirija ya asali, mlisha wait kujiuliza Zanzibar wao wanafanya je saili zao 😂
Kapokea waziri?Database ipo tumempigia waziri soon tutampigia mama yetu. Tumechoka na siasa kwanini tudanganywe
Bado inaita tu haipokelewi basi tumpigie mama au mnasemajeKapokea waziri?
Mama anapenda sana kutembelea twitter. Nashauri Uzi mwingine ungefunguliwa kuleDatabase ipo tumempigia waziri soon tutampigia mama yetu. Tumechoka na siasa kwanini tudanganywe
Ndio Anaweza kuomba psrs,Wanafanyaje hawa jamaa na je wanaomba kupitia psrs hii au ya kwao huko?
Eeh au Instagram pia yupoMama anapenda sana kutembelea twitter. Nashauri Uzi mwingine ungefunguliwa kule
Kwa kifupi post za Zanzibar nizakwao pekeao, za bara nizawoteNdio Anaweza kuomba psrs,
Ila kama Post location ni za Zanzibar ,haziwekwi Psrs .
Yule Dogo Wa mtama anayepaka kalorite , atatusumbua San Twitter, labda iwe verified lakini je wachangiaji watakuwa bado wanafuatiliwa sanaMama anapenda sana kutembelea twitter. Nashauri Uzi mwingine ungefunguliwa kule
Kwani wanaweza kukufatiliaYule Dogo Wa mtama anayepaka kalorite , atatusumbua San Twitter, labda iwe verified lakini je wachangiaji watakuwa bado wanafuatiliwa sana
Sawa je ,post za ZRA zilipostiwa psrs?Tunafanya nao kupitia psrs ya bara, yan hata post za MDAs na LGAs nao walifanya interview pamoja na watu wa bara. Written walifanya Zanzibar, oral wakaja utumishi Dodoma
HAta uku JF ukiizubaa wanakudukua TU 😂Kwani wanaweza kukufatilia
Je huku jamii forum mtu anaweza kukufahamu
Waliomba zile za TRASawa je ,post za ZRA zilipostiwa psrs?
Hata NAOT ilikua vile vileWaliomba zile za TRA
Unauwakika Mzee na unachokiandika lakini,Waliomba zile za TRA
Ni kweli mkandaji 😁.Kwa kifupi post za Zanzibar nizakwao pekeao, za bara nizawote
Yan post ni za TRA alafu watu wapekekwe ZRA, uncle vpSawa je ,post za ZRA zilipostiwa psrs?
Kwenye app naona mtandao unasumbua ila website naona vile vile selected for oral.Kwenye app na website Status zinasemaje au mshaachana na status
Naona nimekosea jinsi ya kuadress, namaanisha zile za tra wazanzibari nao waliomba. ZRA sijawah ona zikitangazwa psrsUnauwakika Mzee na unachokiandika lakini,
Mm Nina maana yangu kuuliza ivi