Tatizo hamleti ushahidi, angalau mimi nimejitahidi kuleta nilichokiona, hii pia inatokana na mimi kuwa mdadisi kwa kuangalia placement mbalimbali za miaka ya vyuma.Tukiwasema PSRS tunaonekana Wanoko.. Haya WATOTO wa Maskini njoeni huku
Yaan haw jamaa bahat yao tu sahiv nimepata kazi ya kuniweka busy otherwise kila PDF ningekuw nairun ktk statistical instruments zangu lazima zilete queries.. Na ningewasagia kunguni mpk wanitekeHuu ni mkeka wa February 16, 2021 wenye majina ya SAMWEL BENSON SAANANE na OLIVA ENORD MLIGO ambao wameonekana kwenye mkeka wa leo tena.
Hili suala la multiple placement tulishalizoea endapo sahili zimefanyika kwa kufuata ila sio kama hivi ambapo imepita miaka 2 na watu wanaendelea na kazi kama kawaida.View attachment 2559781
Kuna shahidi zingine unaweza mharibia mtu kibarua ndio maana tunanyutigi. Ila kama hizi hazina shida kwa mhusika (Mwenye jina ndani ya Pdf)Tatizo hamleti ushahidi, angalau mimi nimejitahidi kuleta nilichokiona, hii pia inatokana na mimi kuwa mdadisi kwa kuangalia placement mbalimbali za miaka ya vyuma.
Kingine kilichonisaidia kati ya hao wawili, mmoja namfahamu, sasa nilipoona jina lake leo ndio nikashtuka na kwenda kuconfirm kwenye mkeka wao wa mwaka 2021
Tatizo hamleti ushahidi, angalau mimi nimejitahidi kuleta nilichokiona, hii pia inatokana na mimi kuwa mdadisi kwa kuangalia placement mbalimbali za miaka ya vyuma.
Kingine kilichonisaidia kati ya hao wawili, mmoja namfahamu, sasa nilipoona jina lake leo ndio nikashtuka na kwenda kuconfirm kwenye mkeka wao wa mwaka 2021
@Mwifwa wewe ulipasika kuwa CIA.Huu ni mkeka wa February 16, 2021 wenye majina ya SAMWEL BENSON SAANANE na OLIVA ENORD MLIGO ambao wameonekana kwenye mkeka wa leo tena.
Hili suala la multiple placement tulishalizoea endapo sahili zimefanyika kwa kufuata ila sio kama hivi ambapo imepita miaka 2 na watu wanaendelea na kazi kama kawaida.View attachment 2559781
Duh hapa kuna shida mahali...kwani psrs wanatumia njia gani kumuasign mtu kazi ?system yao inashndindwa kuvalidate kwmba mtu alishapata placement?duh maswali ni mengiWakuu huu mkeka una mshikeli kidogo kwa upande wa ASSISTANT DRUG INSPECTOR II wa TMDA.
Kuna watu wawili walishaajiriwa tangu February 2021 ila majina yao yanaonekana tena kwenye mkeka wa leo.
SAMWEL BENSON SAANANE na OLIVA ENORD MLIGO walishaajiriwa tangu 2021.
screen shot hii yenye majina mengi ni ya tarehe 16 February 2021 na hii yenye majina machache kwa upande wa Assistant Drug Inspector ni ya leo. Angalieni hayo majina.
Sekretarieti ya Ajira njoo mtoe ufafanuzi tafadhali.
Wapambanaji, uwanja ni wenu sasa kuwasuta hawa PSRS kwa kutoa hili boko View attachment 2559772View attachment 2559774
Shida ya ku outsource mifumo kwa wataalam wa nje. Siamini kama ule mfumo umeundwa na Mtu/Programmer wa ndani (kitengo/ega/Tz)Duh hapa kuna shida mahali...kwani psrs wanatumia njia gani kumuasign mtu kazi ?system yao inashndindwa kuvalidate kwmba mtu alishapata placement?duh maswali ni mengi
Mfumo ule ni wa egaShida ya ku outsource mifumo kwa wataalam wa nje. Siamini kama ule mfumo umeundwa na Mtu/Programmer wa ndani (kitengo/ega/Tz)
Kakwambia nani? Heheh wacha nifunge bakuri langu.Mfumo ule ni wa ega
Yeah kweli bana,ilikua one year contract.Mkuu sio kwamba zile za kwanza ilikua contract na ya sasa ni permanent and pensionable??
Unaweza kutusaidia kuconfirm hilo mkuu, ninaamini unaweza kututolea huu mkanganyiko.Mkuu sio kwamba zile za kwanza ilikua contract na ya sasa ni permanent and pensionable??
Hili jambo ata mimi sijaelewa , nilikua nawaza ivo, Hivi izi system zetu zinafeli wapi mtu kashaitwa kazini bado anaitwa tena [emoji56]Huu ni mkeka wa February 16, 2021 wenye majina ya SAMWEL BENSON SAANANE na OLIVA ENORD MLIGO ambao wameonekana kwenye mkeka wa leo tena.
Hili suala la multiple placement tulishalizoea endapo sahili zimefanyika kwa kufuata ila sio kama hivi ambapo imepita miaka 2 na watu wanaendelea na kazi kama kawaida.View attachment 2559781
Nami nimeingia mzigoni,nimeona hilo tangazo la TMDA ilikua kumbe ni ajira ya mwaka mmoja na lilitoka 2020 November,wakafanya interview 2021 nadhani.So i guess alimalizaga akaendelea kusaka asali sehem nyingine mpaka alipopata hyo tunayoiona leo.Tatizo hamleti ushahidi, angalau mimi nimejitahidi kuleta nilichokiona, hii pia inatokana na mimi kuwa mdadisi kwa kuangalia placement mbalimbali za miaka ya vyuma.
Kingine kilichonisaidia kati ya hao wawili, mmoja namfahamu, sasa nilipoona jina lake leo ndio nikashtuka na kwenda kuconfirm kwenye mkeka wao wa mwaka 2021
Majina yanafanana sanaHapana.
Ben kipindi anapotea ndio alikuwa ana miaka 32 tu akiwa single
Umethibitisha hilo?Yeah kweli bana,ilikua one year contract.
Ndiyo,nmekujibu hapo juu boss na pdf nmeweka,wacha niongeze na screenshotUmethibitisha hilo?