HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hapa sasa ndio tunaoneshana umwamba wa kung'amua mambo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Fact kwa facts

PSRS wamepona maana tungewasema hadi wakome

Ze Heby utata tayari umetenguliwa
 
Mwifwa umetisha mkuu,nakuvulia kofia 😂😂😂 alwaye ni mtu wa facts unaejda evidence sio polojo 😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…