HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sijui walirenew huo mkataba maana jamaa ninayemfahamu alikuwa anaendelea kupiga kazi kama kawaida ilihali mwaka 1 ulishakata
Tangazo lolote la ajira za umma likisema hata two months contract terms husilipuuze hizo huwa ni methodology za kushort list watu
mfano tangazo linasema two months contract barua ya ajira unasainishwa three years renewable contract hii ipo sana kwenye ajira za serikalini
 
Hapo NAOT wanapaswa kukupatia licheo likubwa kwa ukaguzi huu.
 
kupata kazi bongo pana siri nzito mkuu,hongera kwa mlio toboa kiuhalali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…