Ahsante sana mkuu kwa ufafanuziTangazo lolote la ajira za umma likisema hata two months contract terms husilipuuze hizo huwa ni methodology za kushort list watu
mfano tangazo linasema two months contract barua ya ajira unasainishwa three years renewable contract hii ipo sana kwenye ajira za serikalini
Shukran Sana bro kwakututia moyo umu mpaka kuingia kwenye ili pipa la asaliHongera sana mkuu kwa kuondoka na mzinga wa Asali[emoji3][emoji3][emoji3]
Sasa bajeti ya Lunch utaisikia kwa majirani.
Kila la kheri, ukawe mtumishi mwema!
Huyo huenda alikuwa kwenye private sector na sasa akaamua kuingia GavoKuna mdada kamaliza chuo tokea 2013 ndio kapata kazi kwenye mkeka huu
Hahahaaa, huku Utumishi wa Umma vyeo vinafuata sheria na kanuniHapo NAOT wanapaswa kukupatia licheo likubwa kwa ukaguzi huu.
Hata kama ni contract unataka kusema walifanya wenyewe usaili wa nafasi hizo au wao ni competent kwa kuwa wamefanya kazi mwaka 1?Ndiyo,nmekujibu hapo juu boss na pdf nmeweka,wacha niongeze na screenshotView attachment 2559801
Mnyanpaa kaonyesha umahiri usishangae baada ya mwaka kijana akipandishwa cheo😃😃Hapo NAOT wanapaswa kukupatia licheo likubwa kwa ukaguzi huu.
Kuna wakati matamko tuu kama jeshini.Hahahaaa, huku Utumishi wa Umma vyeo vinafuata sheria na kanuni
Guys nimepata TMDA.. ALHAMDULLILAH
Hivi mtu akiomba Intern or volunteering job taasisi ya serikali ya EWURA .
Na amemaliza degree ya. Uhasibu na fedha (BAF) GPA ya 3.5 je anaweza Pata nafasi?
Hata kama ni contract unataka kusema walifanya wenyewe usaili wa nafasi hizo au wao ni competent kwa kuwa wamefanya kazi mwaka 1?
Waliolamba asali ni Legal officers na CPAWaliopata PURA hawa sio wamelamba asali ila wameondoka na mzinga wa nyuki kabisa
Kwenye Vyuo vikuu Wenye salaries nzuri ni Academia staff, waliobaki wote ni kama Tgs d,e tuVipi Laboratory technologist(MUCE)?
Asali yao ikoje?
Kama ni kwa uamuzi wa majopo hapo sawa ila kama ni uamuzi wa mtu mmoja(boss) lazima patakuwa na maswali ya kujiulizaKuna wakati matamko tuu kama jeshini.
Kweli Mkuu.Kama ni kwa uamuzi wa majopo hapo sawa ila kama ni uamuzi wa mtu mmoja(boss) lazima patakuwa na maswali ya kujiuliza
sio kweli mkuu vyuo vikuu salary scale zao zipo juu kidogo huwezi kukompare na halmashauri,mfano administative staff wao wanalipwa pgss ,na technical staff wao wanalipwa puss(mfano technologist wote na technical staff na hyo ipo juu kidogo ya pgss)Kwenye Vyuo vikuu Wenye salaries nzuri ni Academia staff, waliobaki wote ni kama Tgs d,e tu
na academic staff wote wao wanalipwa putssio kweli mkuu vyuo vikuu salary scale zao zipo juu kidogo huwezi kukompare na halmashauri,mfano administative staff wao wanalipwa pgss ,na technical staff wao wanalipwa puss(mfano technologist wote na technical staff na hyo ipo juu kidogo ya pgss)
Sikutaka wakose mkuu,kwani mtu akipata au akikosa Mimi sipati faida au hasara.Mkuu, una maana gani?? Ulitaka wakose au??
Sikutaka wakose mkuu,kwani mtu akipata au akikosa Mimi sipati faida au hasara.
Nahofia kazi za contract kuwa kichaka cha watu kupata kazi ofisi husika
Laboratory wanatumia PUSS na laboratory scientist ni PUSS 4, kwenye 1.4MKwenye Vyuo vikuu Wenye salaries nzuri ni Academia staff, waliobaki wote ni kama Tgs d,e tu
Na nadhani sijui kama hao jamaa walifanya interview! As long as walishapass interview kilichofanyika hapo ni kuwathibitisha kazini..Tangazo lolote la ajira za umma likisema hata two months contract terms husilipuuze hizo huwa ni methodology za kushort list watu
mfano tangazo linasema two months contract barua ya ajira unasainishwa three years renewable contract hii ipo sana kwenye ajira za serikalini