Sorry naomba niulize swali! Hivi mbona now days hakuna matangazo yoyote ya kazi kutoka shirika letu la umeme Tanesco! Nakumbuka post zao za mwisho waliajiriwa na utumishi kwa mkataba tena wa mwaka mmoja! Ama ndo wameshakuwa confirmed kazini kwa ajira ya moja kwa moja??Tangazo lolote la ajira za umma likisema hata two months contract terms husilipuuze hizo huwa ni methodology za kushort list watu
mfano tangazo linasema two months contract barua ya ajira unasainishwa three years renewable contract hii ipo sana kwenye ajira za serikalini
kama ana diploma atalipwa scale ya PUSS 2.1 ,na kama ana degree atalipwa PUSS 4.1Laboratory wanatumia PUSS na laboratory scientist ni PUSS 4, kwenye 1.4M
Sijui kwenye hao laboratory technologist
Hongera sana Mkuu! Karibu sana kwenye Public Service tulisukume gudurumu la Mama! Ingawa wengine bado tuko kwenye Renewable contract sio mbaya mdo mdo mambo yanasonga..Guys nimepata TMDA.. ALHAMDULLILAH
Ambacho kingine sijaelewa ni kuwa ukiangalia hilo tangazo la awali walihitaji watu 18 kwa ajili ya ajira ya mkataba ya mwaka mmoja!Sijui walirenew huo mkataba maana jamaa ninayemfahamu alikuwa anaendelea kupiga kazi kama kawaida ilihali mwaka 1 ulishakata
Mchakato ss hapo si ulianza upya so huenda walichemka kwenye mkando hao wa 2 ndo wakafanikiwa...lolote linawezknaAmbacho kingine sijaelewa ni kuwa ukiangalia hilo tangazo la awali walihitaji watu 18 kwa ajili ya ajira ya mkataba ya mwaka mmoja!
Lakini nashangaa ni watu 3 ndo wamelamba asali ya permanent! Je idadi ya watu 15 waliobaki ndo kibarua kimeota nyasi ama?
Ambacho kingine sijaelewa ni kuwa ukiangalia hilo tangazo la awali walihitaji watu 18 kwa ajili ya ajira ya mkataba ya mwaka mmoja!
Lakini nashangaa ni watu 3 ndo wamelamba asali ya permanent! Je idadi ya watu 15 waliobaki ndo kibarua kimeota nyasi ama?
Swali linakuja mpaka wanahitaji idadi ya watu 18 mwaka mmoja uliopita ina maana walikuwa wana uhitaji sana wa Manpower! Iweje waite watu 3 tu out of 18? Otherwise kama hao wengine wamerenew contract zao!Mchakato ss hapo si ulianza upya so huenda walichemka kwenye mkando hao wa 2 ndo wakafanikiwa...lolote linawezkna
Yaah nadhani iko hivyoHuenda wanaendelea kutumikia kwa mkataba. A contract renewal can be granted kwa kibali cha katibu mkuu utumishi na availability ya budget ya kuwalipa mishahara
Hapo sijui mkuu, mwenyewe nimejiuliza hivyo na kwanini hizo nafasi zote 18 wangezitangaza ili zipambaniwe kwa permanent kama hizi 3Ambacho kingine sijaelewa ni kuwa ukiangalia hilo tangazo la awali walihitaji watu 18 kwa ajili ya ajira ya mkataba ya mwaka mmoja!
Lakini nashangaa ni watu 3 ndo wamelamba asali ya permanent! Je idadi ya watu 15 waliobaki ndo kibarua kimeota nyasi ama?
Hivi hizi kazi za mkataba ua zina kanzidata baada ya placement kutoka?Hapo sijui mkuu, mwenyewe nimejiuliza hivyo na kwanini hizo nafasi zote 18 wangezitangaza ili zipambaniwe kwa permanent kama hizi 3
Basi itakuwa tumefikiwa tujiandae kisaikolojiaNadhan wanatoa kidogo kidogo,mana trade officer tulifanya 16 feb
Ndo hvo maa,kila pdf ikitoka lazma kujitafuta[emoji16]Basi itakuwa tumefikiwa tujiandae kisaikolojia
Hongera sanaGuys nimepata TMDA.. ALHAMDULLILAH
Kwenye kanuni za PSRS sijaona hii kituHivi hizi kazi za mkataba ua zina kanzidata baada ya placement kutoka?
N swala la muda mchezo hauhitaji hasira, kikubwa amepata.Kuna mdada kamaliza chuo tokea 2013 ndio kapata kazi kwenye mkeka huu
Yes Hamna namnaNdo hvo maa,kila pdf ikitoka lazma kujitafuta[emoji16]
Haifiki atakuwa ni 900k,Laboratory wanatumia PUSS na laboratory scientist ni PUSS 4, kwenye 1.4M
Sijui kwenye hao laboratory technologist
Hapo sijui mkuu, mwenyewe nimejiuliza hivyo na kwanini hizo nafasi zote 18 wangezitangaza ili zipambaniwe kwa permanent kama hizi 3
Amen, shukrani sana.Hongereni kwa wote mliopata placement na wa wale wa database tuendeleeni kuomba na kua na imani wakati wa Mungu ndio wakati sahihi
Hongera sana mwamba....kila la kheri kwenye kulamba asali[emoji2969][emoji2969]