HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Duuuu, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!!! Kazi Iendeleeee!!! Nasema Kazi iendeleee, [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuu! Mkuu kweli wewe ni Afisa Mkaguzi wakufanyie promotion chapchap.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haifiki atakuwa ni 900k,
Haiwezekani Tutorial alipwe 1.6m laboratory sc apate 1.4m huo ni uongo
Dogo una umri gani?
Vyuo vikuu: Warden,Admission officer II, Exam Officer II, Wahasibu,HR, Library wenye degree scale ni PGSS 6, 1.2M
Watu wa maabara Degree Scale ni PUSS 4, 1.4M, Diploma PUSS 2, laki 8+
Fanya vizuri homework yako kabla hujaleta ubishi
 
sio kweli mkuu vyuo vikuu salary scale zao zipo juu kidogo huwezi kukompare na halmashauri,mfano administative staff wao wanalipwa pgss ,na technical staff wao wanalipwa puss(mfano technologist wote na technical staff na hyo ipo juu kidogo ya pgss)
- naomba uniambie salary scale ya ACCOUNTANT (CPA), ENGINEERS,LEGAL OFFICERS, HUMAN RESOURCE OFFICER walio kwenye Higher learning?.
 
-kwanza hakuna Muhasibu Mwenye Degree 1, Muhasibu ni Yule CPA T
-Kama mtu mwenye Degree ya accounting tu analipwa 1.2m basi CPA atakuwa analipwa 1.6m+ sawa na tutorial assistant si ndio?

- na kiutumishi haiwezekani mtu mwenye degree ya maabara atofautiane Kwa laki2, kama mtu mwenye degree ya Human resources analipwa 1.2 basi mtaalam wa maabara alitakiwa alipwe more than 1.6m
 
Hicho ndo kinachonishangaza coz hawa watu walishafanya interview na records zao zipo!

Ila najiuliza vipi kwa Taasisi ambazo hazizalishi kivile na unakuta 60% ya wafanyakazi ni wa mkataba..
 
upo sahihi kaka ,watu wa it,engineering,na technical wa lab wote wenye degree zamani walikuwa wanaanza na pgss 7, sasa hao watu wa lab technologist walilalamika kwanini wao wanafanya kazi karibu na academic staff wakataka waongezewe, ndo serikali kwa vyuo vikuu watu wa lab technologist wakaintroduce hyo scale mpya ya PUSS..hyo ipo juu kidogo ya pgss, maana yake PUSS ipo katikati ya pgss na puts..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…