Post za Halmashauri wao hawaendeshi hizo sahili ingawa wanazitangaza kupitia website yao.TATIZO Wana tamaa sana, mpaka post za halmashauri Zina postiwa psrs alafu position ni 1,
Kila post wanataka kula asali ya 100k, HAta kama post ni 1, Hawaiachi ni mwendo wa kula vichwa TU Yan [emoji23].
Alafu ufanishi unakuja kuwashida ,
kwa sababu majukumu ni mengi wamejilimbikia kuliko uwezo wao wakufanya kazi.
Serikali ya Samia hili swala inabidi waliangalie kwa jiko la umakini ,
Hizi za kinondoni zipo hadi kwenye portalPost za Halmashauri wao hawaendeshi hizo sahili ingawa wanazitangaza kupitia website yao.
Wanazitangaza kwa sababu ya kutoa wigo mpana kwa watanzania wote kuona hizo nafasi ukinganisha na zikipostiwa kwenye website ya Halmashauri.
Hivi wewe huwa unatembelea website za Halmshauri mbalimbali kujionea matangazo yao? jibu najua ni Hapana, na huwa unatembelea PSRS sana na website za taasisi zingine.
Pia kila Halmashauri ikitoa tangazo la kazi, nakala huelekezwa PSRS ambapo wataitangaza. Nina imani PSRS hawazunguki Halmshauri ili wakaombe wapewe matangazo wayatangaze badala yake wao ndio hupelekewa hayo matangazo.
Kwa hiyo kauli yako ya kusema wanatangaza hadi Matangazo ya Halmashauri ili waweze kujizolea posho, hapo si sahihi.
Kwan hapo miaka m5 nyuma walikuwa wakiwapelekea nyie ,si baada jpm ku force Kila kazi zitumwe psrs Ili kuminya mirija ya asali ,Post za Halmashauri wao hawaendeshi hizo sahili ingawa wanazitangaza kupitia website yao.
Wanazitangaza kwa sababu ya kutoa wigo mpana kwa watanzania wote kuona hizo nafasi ukinganisha na zikipostiwa kwenye website ya Halmashauri.
Hivi wewe huwa unatembelea website za Halmshauri mbalimbali kujionea matangazo yao? jibu najua ni Hapana, na huwa unatembelea PSRS sana na website za taasisi zingine.
Pia kila Halmashauri ikitoa tangazo la kazi, nakala huelekezwa PSRS ambapo wataitangaza. Nina imani PSRS hawazunguki Halmshauri ili wakaombe wapewe matangazo wayatangaze badala yake wao ndio hupelekewa hayo matangazo.
Kwa hiyo kauli yako ya kusema wanatangaza hadi Matangazo ya Halmashauri ili waweze kujizolea posho, hapo si sahihi.
Watu wanaamini kisa jina limetoka PSRS kwamba hakuna connection, ila deep down hizi taasisi nyeti bado watu wanaeka jamaa zao.Hao ni watu wenu wa bahasha,
Hakuna mtoto wa masikini kama mnavyo wataja , anaweza lamba asali ya hazina, na Haito Kaa itokee
Sasa job post ni 1 alafu unataka vijana waitikie wito nchi nzima kazi yenyewe ni halmashauri, hivi nyinyi mbona mnapenda kujitakia matatizoPost za Halmashauri wao hawaendeshi hizo sahili ingawa wanazitangaza kupitia website yao.
Wanazitangaza kwa sababu ya kutoa wigo mpana kwa watanzania wote kuona hizo nafasi ukinganisha na zikipostiwa kwenye website ya Halmashauri.
Hivi wewe huwa unatembelea website za Halmshauri mbalimbali kujionea matangazo yao? jibu najua ni Hapana, na huwa unatembelea PSRS sana na website za taasisi zingine.
Pia kila Halmashauri ikitoa tangazo la kazi, nakala huelekezwa PSRS ambapo wataitangaza. Nina imani PSRS hawazunguki Halmshauri ili wakaombe wapewe matangazo wayatangaze badala yake wao ndio hupelekewa hayo matangazo.
Kwa hiyo kauli yako ya kusema wanatangaza hadi Matangazo ya Halmashauri ili waweze kujizolea posho, hapo si sahihi.
Mkuu si wanachomoa database kwenye hii mikeka inayotoka...ni vigumu kutoa wote 1700 pdf 1 hilo tulitoe tu akilini
Tanesco wamejaa wafanyakazi wa mikataba, sijui kwanini hawataki kuajiriHawa jamaa ni kama hawapo vile miaka karibia 5 sijaona watu wakiitwa, sijui watu wanaingia kimya kimya au ni niaje.. natamani ningepata majibu pia kuhusu hili shirika letu..
Nyingi za Halmashauri za nafasi moja moja ni hizi za Watendaji wa Mtaa/Kijiji.Hizi za kinondoni zipo hadi kwenye portal
NSSF?PSSPF?TBS na wengineo nao vp sjawh bahatika kuona post zaoTanesco wamejaa wafanyakazi wa mikataba, sijui kwanini hawataki kuajiri
NA unga hoja kwa 💯
Hayo mashirika (pssf na Nssf) tangu yaungane sijawah ona post zao. Sijui watu hawastafu, kuacha kazi au kufa??NSSF?PSSPF?TBS na wengineo nao vp sjawh bahatika kuona post zao
Sasa kama hujui unalaumu nini? Database haina watu wote mlifeli.waliofanya usaili nakufaulu ila wakakosa placement awali kutokana na ushindani wapo kwenye database ya waliofaulu usaili kulingana na kanuni za psrs.
mimi ukiniuliza binafsi najuaje kuwa nipo au sipo database siwezi kukujibu maana sifaham majibu yangu ya oral. ila kwa jinsi nilivofaulu awali na jinsi nlivojibu oral nina imani kubwa nipo . selected for oral interview kwenye web na app inamaanisha ulifaulu usaili au umepata placement.
hoja yangu nikwamba Sekretarieti ya Ajira inataita watu kwenye usaili na unakuta pengine watu hao tayari walifaulu saili za nyuma kwa kada iyo iyo.
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
Lile shirika limegeuzwa kitega uchumi Cha Wana siasaTanesco wamejaa wafanyakazi wa mikataba, sijui kwanini hawataki kuajiri
Kwa hiyo kwa mtazamo wako unaona ni sahihi nafasi 1 ya dereva wa Halmashauri(nimetolea mfano ila anaweza kuwa hata wa Shirika la Umma) kutangazwa public/nchi nzima ila si kwa Mtendaji wa Mtaa/Kijiji?Sasa job post ni 1 alafu unataka vijana waitikie wito nchi nzima kazi yenyewe ni halmashauri, hivi nyinyi mbona mnapenda kujitakia matatizo
Sio kweli mkuu watu wapo waliofaulu...waziri hawezi sema urongo...ni suala la muda tu na labda urasimuSasa kama hujui unalaumu nini? Database haina watu wote mlifeli.
Usimwamini sana MwanasiasaSio kweli mkuu watu wapo waliofaulu...waziri hawezi sema urongo...ni suala la muda tu na labda urasimu
Yan unaingia job directHayo mashirika (pssf na Nssf) tangu yaungane sijawah ona post zao. Sijui watu hawastafu, kuacha kazi au kufa??
wazenguaji tu hao wanaweka watu wao. alafu wanatoa matangazo ya kazi nafasi ambazo zina watu waliofaulu usali huko nyuma.Mkuu si wanachomoa database kwenye hii mikeka inayotoka...ni vigumu kutoa wote 1700 pdf 1 hilo tulitoe tu akilini