HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Naomba kuuliza, kwa kazi ambazo ni za mkataba wa mwaka mmoja, ukafika oral interview PSRS bahati mbaya ukakosa nafasi, ivi nao wanaingia kwenye utaratibu wa database kama hawa wa ajira za permanent ?
 
Hii ni issue ya kisheria wasaka asali.

Ipo hivi, Sheria ya Utumishi wa Umma ya Mawaka 2022 na Kanuni zake za mwaka 2003, Na ile Local Government Scheme, 2009. Hizi sheria zinac uajiri wa wafanyakazi wa serikali za mitaa kwa gredi ya officer (degree + )kwa serikali kuu kupitia @Sekritariati na kuziachia halmashauri uhuru wa kuajiri kwa wafanyakazi ambao ni non-officers.
 
V
Twitter ndo mtandao unapendwa na Wengi, yan huu Uzi ungekua umepelekwa kule na wachangiaji wakawa Wengi hivi, lazima kuna kitu utumishi wangekua wamefanya kuliko hali ilivyo kwa sasa
Vijana wengi wanafanya harakati lakini hawajuii misingi yake. Umeshauri vizuri, N/W kule yupo active, wahusika wapo active, tweet moja tu ingeleta asali kama zile za siku ya valentine kwa vijana.
 
Jamn ajira portal app kwangu haifunguki taangia juzi ila kuna jamaa zangu inafunguka fresh tatizo litakuwa nn?
 
Twitter ndo mtandao unapendwa na Wengi, yan huu Uzi ungekua umepelekwa kule na wachangiaji wakawa Wengi hivi, lazima kuna kitu utumishi wangekua wamefanya kuliko hali ilivyo kwa sasa
Mnataka mtubane mapwala
 
Tuletee taasisi yeyote ile unayoijua duniani ambayo imewahi toa matokeo ya oral interview. Then hakuna mchakato wa ajira ambao utatenda haki 100%. At least utumishi wanajitahid, tunaona walala hoi wakilamba asali kwenye taasisi mbalimbali.
 
hivi jamii forum haina option ya kumblock mtu husione comments zake??? me huyo jamaa natamani nifanye hivyo mana huwa ana comment negativity tu kwenye huu uzi wa walamba asali.

Kama hiyo option ipo kwa anae jua anielekeze nimblock chap nisiwe naona anachopost hapa.
 
Jamaa miyeyusho sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…