HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hongera mwaya
 
Hongera sana. Ukawe mtumishi mwema huko uendako.
NB:
Usitukimbie humu!!😁😁
 
Hongera mkuu kwa nafasi uliyopata, kama hutojali naomba utupe experience yako ya oral ilivyokua.

Why unahisi ulikandwa oral? Ulijibu maswali mangapi kwa usahihi (unaweza kutaja na idadi ya points)?

Ni placement ya moja kwa moja au database?

Karibu kwa majibu, na hongera kwa mara nyingine.
 
hongera afsa ,umetoboa post gani mkuu?
 
Hongera sana kwa kuingia kuwa mtumishi wa umma, na ukawe mtumishi mwema,
 
Na hapo ndo utaanza kuamini kuwa utumishi wanatenda haki bila upendeleo na hata kama pdf ina nusu page niamn mm hizo page utaona ni nyingii..

Mm siku nikipata asali then hyo ile page ya jina langu nta i print then ntaifanyiwa lamination kabisa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kaka ukipata placement unakuwa kila saa unaiangalia ile pdf, mpk unahisi wamekosea,... au unaenda kwenye web unaidownload tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani kiufupi unajifeel a human being, utafikia tu ni suala la muda tu siku yako inakuja...
 
Tumuombe
Maxence Melo na Timu yake watuondolee Huyu kijana Kwa kuwa anaharibu maana ya Uzi huu kuwepo Wasomi tukijadili mambo ya msingi sana...
JF Tunaomba mtuondelee Huyu kijana👇Hapa chini,Nina Imani Kubwa hata wenzangu watakubaliana nami humu ndani......
Hii ID ni tatizo sana kwenye huu uzi
Blender
 
Hawa waharibifu wa uzi Kuna wakati wanakua chachu ya mageuzi na mabadiliko. Aendelee kuwepo tena apatikane mwingine!
 
Hongera sana Mungu ni mwema.Kachape kazi,Ukawe mtumishi mwema.
Sekretarieti ya Ajira Endeleeni kuchapa kazi,Sisi Vijana tunafurahi sana kuona hizi comments,Muendelee kutenda Haki hivyo hivyo.
 
Check hio bureaucracy, unaweza ukafa njiani
 
Hawa waharibifu wa uzi Kuna wakati wanakua chachu ya mageuzi na mabadiliko. Aendelee kuwepo tena apatikane mwingine!
Mabadiliko gani? Kuna muda ambao wengi wetu tutatumia humu ni baada ya kufanya Oral tu au labda kabla ya Written,ila muda mwingi mtu inabidi utumie kujiandaa Kwa kusoma sana kuelekea Written na Oral.Hakuna Maajabu ya kufaulu usaili wa Utumishi kama hujipangi kisawa sawa na kujithamni kuelekea saili zingine.

Kuingia Oral ni Ushindi tosha, ndio maana hata wao hutoa Hongera, na uzuri unabakia kwenye Database, mini na rafiki Zangu wengi sana wamepata shavu kupitia Database......

Tujifunze sana kupitia
Mwifwa aliamini kwenye kujipanga ndio nguzo pekee ya Mafanikio. Huwezi ukasema unataka kuajiriwa Serikalini halafu ukasema unaikwepa PSRS, Hilo haliwezekani labda Ajira za vyombo vya Ulinzi na Usalama tu....

Mtu kama
Blender Huyu anaonekana ana hasira na PSRS na labda ana ndugu zake Wakubwa kwenye baadhi ya Mashirika, ndio maana ana hasira na Chuki na PSRS, ila angetambua tu PSRS ni Taasisi ya Serikali na ipo chini ya Ofisi ya Rais basi angewapa Heshima na angejitahidi kwenye kuongeza Juhudi na kumuomba Mungu Ili na yeye afanikiwe kupata kazi, muda wa kulalamika humu asingekuwa nao.
 
Interview ipi watu wanapewa majibu ya oral?
Psrs wanajificha kwamba eti wanasaidia wa lalahoi , kumbe wao kwa siku wanaingiza 100k + mbususu

Ajira ni haki kwa Kila mtanzania mwenye sifa stahili, Hacheni sera zenu ,zimepitwa na wakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…