HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Okay, kwanza kabisa ile nimeingia picha linaanza nikasahau kusalimia [emoji23][emoji23][emoji23]. Swali la kwanza introduce yourself/background info Naanza kujielezea sijafika hata nusu mama mmoja panelist anasema next question[emoji849] nikadata! swali jingine duties and responsibilities hili nikalionea maana lilijaa kwenye mfumo, pia nikaulizwa swali la kitaaluma, lilikuja very technical coz halikua na direct answers!

But naamin majibu nliyotoa yalikua sahihi kulingana na taaluma yangu. Swali la mwisho things which you consider as challenges of the post requested, hapa nkataja tatu tu na wao walitaka nne!. By the way changamoto kubwa ilikua ni idadi ya points wao wanataka 4/5 nikiload zinakuja maximum 2 au 3 [emoji848] nachoka.

But uzuri nilikua confident ndo maana licha ya kupuyanga kwenye baadhi ya maeneo sikutoka kwenye reli! Cha msingi ni kuwa honest, usidanganye! point zikija mbili tell them hizo ndizo unazozijua kwa wakati huo!
 
We Mzee sikiliza , matatizo yenu ya Psrs Si mnayajua Kuna TATIZO HAta Moja mlilolitaAtua.

Mpaka Raisi Samia anawasema hadharan, toeni placement haraka mashirika na taasisi Yana hitaji watu ,

Ina maana Raisi amepewa tahadhari na katibu mkuu(kmk) kwamba Psrs wanaenda kuichafua serikali yake.

Ili wapasa kutii maagizo ya amri jeshi mkuu lakini mmekaidi mpaka ivi sasa

Waziri nae akaja akasema mkeka wa database utaachiliwa mwezi February.

Maagizo haya yote ya viongozi wakuu hakuna hata Moja mlilofanyia kazi .

Kilichofuata Kila mtu anashangaa

mngekuwa ni watu mnao taka kutenda Haki , mngetekeleza maagizo ya viongozi wenu waliowateua.

Psrs nyie ni taasisi mnayo mkwamisha Raisi Samia maono yake ya kuhakikisha kila mtanzania mSomi anakuwa na maisha bora
 
🙏 Kwa kwel tunafarijika sana hasa wale ambao bado tunalisaka tonge, na Amin tutailamba Tu iyo asali, ni siku moja Tu itabadilisha maisha yetu ngoja tuendele kusubiria izo pdf.
 
UMejikaza lakini umweshindwa , anyway endelea kujikaza
 
Psrs wanajificha kwamba eti wanasaidia wa lalahoi , kumbe wao kwa siku wanaingiza 100k + mbususu

Ajira ni haki kwa Kila mtanzania mwenye sifa stahili, Hacheni sera zenu ,zimepitwa na wakati
Sera zipi za psrs zilizopitwa na wakati? Mwamba unaonekana unachuki binafsi na psrs. Piga msuli wa kutosha hakunaga zimamoto kule
 
Kama ni kweli umepata asali kupitia psrs , nakupa hongera sana, mshukuru mungu kwa kumtolea sadaka kidogo TU kwa watu wenye uhitaji pekee kwa mshahara wako wa kwanza na

kama unadanganya basi indelea kujikaza sana
 
Hujakutana na majanga ya psrs, miezi kumi hawajatoa placement hili nalo ni la kujiandaa? Waache watu watoe mapungufu yao ili taasisi iwe bora zaidi
 

Hongera sana mkuu,

Kumbuka kutoa Shukrani kwa mafanikio hayo uliyoyapata.
Pia, chukua muda huu kujipongeza kwa ushindi huo.

Mwisho, nakutakia ukawe mtumishi mtiifu mwenye kufata Sheria, kanuni na taratibu za kazi yako
 

Mbona HAta wewe hio nafasi ulio nayo ulipewa TU, Ili ukaisaidie family yako inayo kuzunguka
Kapewe na wewe kama rahisi kiasi icho
 
Interview ya trade officer tumefanya 16.2.2023.
Juzi tayari nmeona jina moja TU la mtu aliepata trade officer kapangiwa geita which means MATOKEO TAYARI YAPO.

So hapo bado majina 80(walitaka 81 people),kwa mfumo huo wa jina moja moja hadi 81 wote waishe ni leo kweli????

Mtu unakaa unajiuliza hupat majibu why wanafanya hivo,why wasitoe matokeo mana tunajua kabisa yapo tayari.
Ili maisha mengine yaendelee,mtu unashindwa hata kuplan vitu vyako mana unaishi kwenye uncertainty tu[emoji2356].

Haya basi maybe mna sababu zenu,basi communicate with us,tuambien kwamba bana eeh taratibu zipo hivi na hivi ndomana matokeo yanachelewa,tutaelewa na sio kutesana kibabe hivi[emoji2356].

Na tunauliza hata hatujibiwi maskin ya Mungu tunabak tunafarijiana wenyew na kupeana majibu ya kuassume tu[emoji2356]

Its so unfair[emoji22]...
 
Well said
 
Sera zipi za psrs zilizopitwa na wakati? Mwamba unaonekana unachuki binafsi na psrs. Piga msuli wa kutosha hakunaga zimamoto kule
Mm Sina chuki nanyie personal but nachukia bureaucracy ilyopo kwenye taasisi yenu inayo umiza vijana wengi wa ki Tanzania wanao tafuta asali
 
Ongezea hapo, afisa mifugo nafasi 75 walipata 2. Oral ya feb this year.
73 wote bado.
 
Pole Ndugu, tuendelee kupush non-stop,
Mungu Yuu pamoja nasi.

Hawa walevi wa kitengo watajua hawajui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…