HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nani anasababisha hizi expectations?

Placement zingekua zinatoka baada ya wiki 3 kama wanavyosema haya yote yasingekuepo na hata huu uzi usingekuepo.

Post imetangazwa June, interview November, sasa hivi tunamalizia March hawajatoa placement, hii ndo inasababisha watu wanakua wanawaza placement muda wote...imagine majibu yangetoka december or january, watu wangekua washamove on wanaendelea na mambo mengine.

Anyway ushasema umelamba asali, ni vigumu kuwaelewa jobless[emoji3]
 
Swala la placement sio la psrs linahusisha vitu vingi. PSRS hawalipi mishahara wala wao sio hazina. Majibu ya Oral wanaweza kuwa nayo hata siku ileile ya oral nani kapita nani kakandwa. Lakini when it comes to placement it is another issueisissueiss
Mbona miaka iliyopita mambo yalikua chapu, tena sio mbali (angalia trend za interview na placement kuanzia 2021 kurudi nyuma) michakato ilikua inaisha ndani ya mwezi hadi miezi 2....

Sasa hivi ni kama hatuelewi jinsi mambo yanavyoenda, tupo tupo tu
 
Tulifanya nae majina si yapo tangu written mpaka oral unaachaje kujua sa,we nae
 
Mbona miaka iliyopita mambo yalikua chapu, tena sio mbali (angalia trend za interview na placement kuanzia 2021 kurudi nyuma) michakato ilikua inaisha ndani ya mwezi hadi miezi 2....

Sasa hivi ni kama hatuelewi jinsi mambo yanavyoenda, tupo tupo tu
2021 Jiwe
 
Na ubaya ni kua mambo yao wanafanya random tu. Mfano mm nlishapotezea nkawa tu busy na mambo yangu kwa kujua kua pdf letu likitoka lazima nitapata taarifa mana sio anytime soon. Ila kumbe ukisinzia kidogo tu umepitwa,ndo nkaja kushtuka kumbe MDA LGA washaanza kutoa mmoja mmoja.

So mtu unatakiwa kufatlia kla pdf kila saa maana hujui lini na pdf gani[emoji2356],so lazima tu utataka kujua when when when kila saa.
 
Swala la placement sio la psrs linahusisha vitu vingi. PSRS hawalipi mishahara wala wao sio hazina. Majibu ya Oral wanaweza kuwa nayo hata siku ileile ya oral nani kapita nani kakandwa. Lakini when it comes to placement it is another issue
Toa placement ili aliyepata asihangaike na interview nyingine maana ni gharama sana pia kutoa mwanya kwa wengine...
 
Halafu mtu anaibuka kutetea utendaji wao bila kufikiri wanatesa kundi kubwa la vijana na sonona, THIS IS BULSHIUT
 
Enzi za udogoni, kama siku hiyo mboga za nyama zimepikwa tulikuwa tunaitwa kwa haya maneno.

Mama/Dada: yesamrichhhhhh

yesa: Abee mama/dada

Mama/Dada: shauri yako

yesa: [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]naijua hiyooooo. Alooo wacha nipambanie aisee maybe ntapata hizi za MDA this year then interview ya WCF maybe itakua mwakani,then ntafaulu oral WCF,ntaomba uhamisho kuhamia kwenye asali nzito zaidi.
Kila mtu anaruhusiwa kuota si eti[emoji23][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…