HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sijui point yako iko wapi, lakini nachojua majina ya TRA yalitoka saa kadhaa baada ya tangazo la Rais..

Hii inakupa picha gani? Je majina yalikuepo ila yalikua yanacheleweshwa kwa makusudi kwa sababu ambazo mimi na wewe hatuzijui? Ama kuna nini?

Wingi wa saili haufanyi kuchelewesha mchakato kwasababu ratiba uwa zinapangwa kuanzia January (kwamba tutaanza na taasisi hii then itafata hii), hapa ndo tunakuja kupima ufanisi wao then tuna conclude kwamba inawezekana PSRS wameshindwa kutumiza majukumu yao
 
Blessed kaka!

Napambana na mm nipate hyo feeling
 
Na hapo ndo utaanza kuamini kuwa utumishi wanatenda haki bila upendeleo na hata kama pdf ina nusu page niamn mm hizo page utaona ni nyingii..

Mm siku nikipata asali then hyo ile page ya jina langu nta i print then ntaifanyiwa lamination kabisa
😄😄😄😄😄😄 nitakuiga kaka
 
Kam nshaedit cv kuendana na post je
 
Mama Samia ni mpenda haki, anataka haki itendeke kwenye Serikali yake hizo taasisi ulizo zitaja hapo juu usaili unafanywa na wao wenyewe .
Umesikia Kuna malalamiko ya ucheleweshaji ya usaili.

Uzembe upo psrs pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…